Bila wanasiasa kubadili fikra ni ngumu sana kuondokana na umasikini

Manelezu

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
1,907
2,769
Leo ningependa kugusia a very dominant premise ya wanasiasa wetu, "Tuzaliane tuongezeke ili uchumi wetu ukue, au tukuze uchumi" kwa ufupi they believe there's a strong correlation between population increase/growth and economic development/growth.

Binafsi siamini suala kuongeza idadi ya watu kwa dunia ya sasa lina msaada sana katika kukuza uchumi sababu ya maendeleo ya sayansi na technology, ask yourself this, aren't countries like Singapore, Norway, Finland, Denmark, Israel, Netherlands, Sweden, Qatar and Switzerland small by population yet economically powerful and competitive globally?

Last time I checked, our country has a huge number of hungry, jobless and vulnerable people. Its not about numbers, you need a healthy, productive and skilled population.

We have failed to tap in the available human resources, watu kibao wana degrees, masters and PHD and they are jobless bado una encourage population iongezeke? Seriously? It will take a genius to conquere this level of insanity.

Dunia yote hii ya watu billion 7 ni soko lako if you're small enough to tap into it, kwani watu wa Asia, the Chinese wamewezaje kuteka soko la dunia?

Kwanini na sisi tusifikili globally? Bado tuna mawazo yale yale ya karne ya 15 - protectionism. Tupo kwenye uchumi wa liberal, and there's no way we can escape that, we just have to be competitive globally, na hauwezi kuwa competitive kwa mfumo wa elimu tulionao sasa.

Wanasiasa hebu muwe na fikra that goes beyond and global, let's utilize first the available human resources that is under utilized, ndio tuwazie kuencourage watu kuzaliana.

Tuwe watu kwenye akili kama Wazungu au watu wa Asia, tujiulize wao wamewezaje kupata soko dunia mzima? Kabla ya kuwaza kukuza viwanda hypothetically, tuwaze kwanza kutengeneza "middle class".
 
Back
Top Bottom