fidia

  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Faini ya Millioni 50 kwa kila chombo kilichopata ajali na Fidia ya Millioni 500 kwa kila kifo, ajali zote zingeisha ndani ya siku moja

    Habari za jioni ndugu na marafiki, Poleni sana kwa wote mnao endelea kuathirika na ajali zinazo endelea kutokea barabarani. Hili jambo limelilazimu kukaa chini namimi nitoe mapendekezo yangu ili tuweze kutokomeza ajali zinazo endelea kumaliza ndugu na marafiki zetu. Lakini kabla ya yote...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Simba, Yanga na TFF walamba fidia ya jezi feki. Azam walitoa oda jezi zao feki zichomwe moto

    Kama unakumbuka sakata la Oktoba 25, 2023 la kukamatwa Makontena yenye jezi feki za klabu za Simba, Yanga, Azam na Timu ya taifa zilizoingia kimagendo nchini. Wanahabari walikurupushwa usiku wakati wa ukamataji makontena hayo huku Afisa Habari wa Klabu ya Yanga Ally Kamwe akiwa mstari wa mbele...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ni lini tutataka nchi zilizotutawala, dini zilizotudanganya, kutuibia na kutuharibu zitulipe fidia kwa uharibufu na hasara vilivyotusababishia?

    Kwa wataalamu wa historia, sayansi ya jamii, na uchumi, umaskini na kubakia nyuma kwa Afrika ni matokeo ya ukoloni uwe wa kisiasa au kiimani au kiutamaduni kama siyo kijamii. Kupitia jinai hii, nchi za magharibi na za mashariki ya kati ziliingiza dini na kutuibia mali nyingi huku zikiharibu na...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Je, bodaboda wa Dar es Salaam kulipwa fidia? Rejea maneno ya Lema: “Bodaboda sio ajira”.

    Watanzania wengi hawapendi kujua ukweli. Nadhani hulka hii inatokana na wananchi kufungiwa nchini mwao na hivyo kukosa nafasi ya kuona jinsi nchi zingine zilivyoendelea. Kuna siku Lema alisema bodaboda sio ajira, watu walikuja juu na kusema kuwa kawakosea watu na ni kama anadharau ajira za...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC Wilman Ndile: Kama kuna Wananchi hawajalipwa fidia ya kuhama Bonde la Mto Ruhila waje ofisini milango ipo wazi

    Uongozi wa Wilaya umetoa maelezo kuhusu madai ya kuwepo kwa Wananchi ambao hawajalipwa fidia ya kuhama katika Bonde la Mto Ruhila ambapo wametakiwa kuhama ili kupisha sehemu hiyo ya hifadhi. Mdau wa JamiiForums alidai Wananchi wanaendelea kutumia bonde hilo kwa shughuli za kibinadamu kama vile...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Kila Mwananchi Kulipwa Fidia Anayostahili

    RAIS MWINYI: KILA MWANANCHI KULIPWA FIDIA ANAYOSTAHILI. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wananchi kuwa Serikali itamlipa kila Mwananchi haki yake na hakuna Mwananchi atakae sononeka kwa Kukosa fidia. Rais Dk.Mwinyi ametoa agizo la...
  7. Bams

    JamiiForums Tanzania Mbowe baada ya kupewa pesa iliyotajwa kuwa ni fidia, alitakiwa kuweka wazi ili isionekane kuwa ni hongo

    Ni wazi kuwa Mbowe alilipwa pesa nyingi inayotajwa kuwa ni fidia ya yeye kukaa gerezani kwa kesi ya kusingiziwa, na pia kwa kuharibiwa biashara zake. Lakini kwa nafasi yake kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani, na kwaajili ya kuleta uwazi katika uongozi, na kuzuia fikra za pesa hiyo...
  8. Chaz Joe

    JamiiForums Tanzania Je, kuna fidia yoyote ya kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Habari zenu wadau!, nahitaji ufafanuzi kidogo hapa, nilikuwa na Girlfriend wangu ambaye alipata ujauzito na kuniambia kwamba ni ujauzito wangu. Tangu hapo niliamua kwa upendo tu kumhudumia katika kipindi chote cha ujauzito hadi alipojifungua. Japo sikuwa naishi nae lakini nilimpatia mahitaji...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Sandaland wadai fidia ya Bilioni 3 dhidi ya Ally Kamwe kwa kukashfu Jezi za Simba

    Wakuu Kampuni ya Kisheria inayomsimamia Mfanyabiashara Sandaland the Only One ambaye ndie Mtengenezaji wa jezi za SIMBA imemtumia barua Meneja wa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ikidai fidia ya BILLION TATU kutokana na kauli za kumchafua Mteja wao na imepelekea kuathiri biashara zake. Wanadai...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je wahanga wa ajali ya kuangukiwa na ghorofa la kariakoo watalipwa fidia?

    Nimeona taarifa nyingi za pole ila sijasikia tamko lolote kuhusu fidia watakazolipwa wahanga wa ajali hiyo.
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la kulipa fidia ya mabilion nje ya nchi ni kubadili jina la nchi

    Bado tunaendelea kupigwa kwenye kesi za fidia na makampuni ya kigeni.. Tunalipa mabilioni ya shilingi na mabilion ya dola kwa makosa ya watu wachache tuu.. Mostly kutoka chama chawala Hakuna hata kesi moja tuliwahi kushinda.. Mikataba tuliyosaini kimagumashi inatutesa sasa.. Waliosaini kwa niaba...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Halmashauri Mkipima Viwanja "Road Reserve" Hatulipi Fidia - Bashungwa

    HALMASHAURI MKIPIMA VIWANJA ‘ROAD RESERVE’ HATULIPI FIDIA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali haitalipa fidia kwa wananchi ambao wamepimiwa viwanja na Halmashauri katika maeneo ya Hifadhi za Barabara zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria kwa ajili ya kuendeleza...
  13. Mzee wa Code

    JamiiForums Tanzania KERO Tuliohamishwa kupisha Mradi wa Bandari maeneo ya Kaskazini Unguja hatujalipwa fidia

    Mimi ni Mkazi wa Kaskazini Unguja, huku kwetu baadhi ya Watu ambao maeneo yetu yalichukuliwa kwa ajili ya uwekezaji wa Bandari ya Mafuta na Gesi hatujapata fidia. Hadi kufikia leo hii Oktoba 2024, inatimia Miaka miwili hatujafidiwa licha ya kuwa maeneo yetu yalikuwa na uwekezaji wa mazao na...
  14. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Marekani kulipa fidia kama njia ya kuizuia Israel kuishambulia Iran! Iran yasema ipo tayari kwa lolote!

    Katika hali inayoonekana kama njia ya kupunguza na kuondoa taharuki huko mashariki ya kati, serikali ya Marekani imesema ipo tayari kulipa fidia kutokana na madhara ya mashambulizi ya makombora kutoka Iran wiki iliyopita! On Sunday, Israeli TV channel Kan11 claimed that Washington had offered...
  15. Trainee

    JamiiForums Tanzania Kwa nini TANESCO hawatoi fidia kwa wananchi wanaowaharibia mali zao?

    Tumezoea miradi ya ujenzi wa barabara, majengo na viwanja mbalimbali, inapopelekwa mahali fulani na kukuta wananchi basi wananchi wanapewa fidia kwa uharibifu wa mali zao utakaosababishwa na ujenzi huo Lakini naona hali hii ni kinyume kabisa inapokuja miradi mingine kama maji ma umeme. Naomba...
  16. W

    JamiiForums Tanzania RC Tanga: Wawekezaji wasiolipa fidia wanyang’anywe ardhi

    Mkuu wa Mkoa amesema ana taarifa za baadhi ya wilaya kuwa na wawekezaji waliotakiwa kulipa fidia Sh400 milioni kwa wananchi takribani, lakini wameshindwa kulipa huku wakiendelea kushika ardhi ya wananchi. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Buriani amewaagiza wakuu wa wilaya kuhakikisha...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bilioni 2.5 Zilitumika Kulipa Fidia kwa Wananchi Waliopisha Ujenzi wa Barabara ya Kidatu - Ifakara

    BILIONI 2.5 ZILITUMIKA KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU – IFAKARA Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Tsh. Bilioni 2.5 zimetumika kulipa fidia kwa Wananchi waliopisha Ujenzi wa Barabara ya Kidatu – Ifakara

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo ndani ya hifadhi ya barabara ya Mita 22.5. Hayo yameelezwa leo Septemba 3,2024 Bungeni Jijini Dodoma...
  19. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili ya CCM kumburuza mahakamani Tundu Lissu, labda kudai fidia ya mabilioni

    Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini na vijisenti vyako, unatongoza tongoza hovyo, unaishia kuwekwa mtu kati unalipa fidia ya ugoni.

    unaweza kuchukulia poa ila ukweli ni kwamba bwana na mke wake wanaweza panga njama za kula pesa zako. Hizi ishu zimeishafanyika sana sema tu huwa ni chini chini mtaani. Bwana anajua unatembea na mke wake alafu na yeye akiangalia hali yake apechi alolo na pesa ya kulipa mabaunsa wakufumue choo...
Back
Top Bottom