Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela imetakiwa kuhakikisha inawalipa kwanza fidia wananchi kabla ya kuchukua maeneo yao kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo.
Mtanda amesema hayo katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Kata za Sangabuye, Bugogwa na...
Hizo ni sauti za wanawake wakisema hawataki fidia wanataka watoto wao waliouawa kwenye Uchaguzi Oktoba 29, 2025 na baaada ya Uchaguzi,
kifupi mgeni hataki soda anataka 700 yake
Sisi ni Wananchi wa Kijiji cha Mitatuni, Jimbo la Mtambile, Wilaya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba katika eneo letu tunaloishi kumepita mradi wa ujenzi wa Barabara ya Mtambile hadi Nanguji inayojengwa na mkandarasi IRRIS.
Malalamiko yetu mkandarasi huyu alijenga njia kwa kujaza kifusi kingi bila...
Wananchi 1,730 wanaopisha njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa Kilovoti 220 kutoka Masasi hadi Mahumbika wanatarajiwa kupewa fidia ya Shilingi Bilioni 5.1 ambazo Serikali imezitenga katika mwaka wa fedha wa 2025/2026.
Taarifa hiyo imetolewa mapema leo Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa...
Chama cha Reform UK kimetishia kuzuia utoaji wa visa kwa raia wa nchi zinazodai fidia kutokana na utumwa. Nigeria, Ghana, Kenya, Jamaica pamoja na nchi nyingine 15 za Afrika na Karibiani zinaweza kuathiriwa.
Zia Yusuf, msemaji wa masuala ya mambo ya ndani wa chama hicho, amesema madai ya fidia...
Chama cha Reform UK kimesema kuwa kitapiga marufuku utoaji wa visa mpya kwa watu kutoka nchi zinazodai fidia ya utumwa kutoka kwa Uingereza, iwapo kitapata nafasi ya kuunda serikali ijayo. Zia Yusuf, msemaji wa masuala ya mambo ya ndani wa chama hicho, aliiambia The Daily Telegraph kuwa wito wa...
Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi ameibua mjadala mzito baada ya kufichua kuwa serikali ya Kenya iko kwenye mazungumzo na serikali ya Russia kusaidia kurejesha Wakenya wanaodaiwa kupigana vita upande wa Urusi.
Akizungumza na Citizen TV leo, Mudavadi alisema kuwa hali ni mbaya zaidi...
Mahamana Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imeamuru Kampuni ya UDA Rapid Transport Ltd kumlipa fidia ya Sh. milioni 88.8 Frank Zebaza, baada ya kugongwa na basi la mwendokasi, ambapo pia imebainika kuwa Dereva Hafidhi Ally alikuwa akiendesha basi hilo kwa mwendo hatarishi ambaye pia...
Nani anayeamua kwamba upande fulani ndo umlipe upande mwingine wakati wote wameumizana ma kutiana hasara..
Kwa mfano sasa hivi kwenye vita ya Ukraine na Urusi je wanajua kabisa kwamba mwishoni kuna mmoja inatakiwa amlipe mwenzake fidia.
Na je nchi moja ikigoma kumlipa fidia mwenzake hatua gani...
Rais Donald Trump amefungua kesi ya kashfa dhidi ya BBC katika mahakama ya shirikisho ya Miami, akidai fidia ya hadi dola bilioni 10.
Trump anaituhumu BBC kwa kuandaa makala ya Panorama iliyoonyesha kauli zake za Januari 6, 2021 kwa namna iliyohaririwa vibaya, na kufanya ionekane kama...
Huyu mama anayepigwa hapo inadaiwa alipanga biashara yake mahali siyo pake. Mwenye eneo alikuja, akashika biashara ya huyu Mama na akaanza kumpiga akidai alipwe fidia, mpaka msamaria mwema alipomuomba amwache tu.
Wenye kujua sheria msaidieni huyu mama jamani apate haki, kunyanyaswa hivi siyo...
Shauri lililofunguliwa Invisible court liko hatua za Mwisho.
Court hio imemkuta na hatia mtuhumiwa
Sasa upande wa utetezi wanaomba shauri hilo liondolewe, Lakini imekuwa ngumu kwa kuwa Sababu zilizotolewa hazijakidhi Matakwa ya kisheria pia pande zote mbili wameshindwa kumaliza nje ya uwanja...
Hili la Kipunguni kutolipwa fidia ya ardhi zaidi ya miaka 20 linafikirisha sana. Wananchi wanalipwa kwa awamu na kimakundi kidogo kidogo sana.Kulikoni! Uchaguzi ungekuwa wa huru na haki CCM ingepata shida sana Kipunguni. Hili serikali limalizeni.
Salami wakuu, Kuna swali nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu
Hivi ikitokea ukapelekwa gerezani kwa tuhuma labda hata ya wizi au ubakaji then baada ya kukaa gerezani Kama mwaka ikaja kubainika kuwa wewe sio mhusika kwa maana nyingine ulibambikiwa kesi
Je. Kuna fidia yoyote unayopewa ukizingatia...
Samia na solicitor general wamepata wakili jembe ambaye atatuvusha Tanzania kwenye kesi mbalimbali hasa za kimataifa, sio hizi za mchongo ambazo Rostam alisema mabilionea hawawezi kukubali kutumia mahakama ambazo mtu wa Serikali amelala na mchepuko anampigia jaji kumpa maelekezo namna ya kesi na...
Nafikiria kufanya hivo kwa kodi ninayodaiwa ni 250000 nafikiria kuacha kitanda na godoro maana maisha yamekuwa magumu sana
Japo ninapoenda nimeshalipa kodi tayari
Akiongea mbele ya wanahabari mkuu wa mkoa wa Tanga amesea, Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi Afrika Mashariki (East African Crude Oil Pipeline – EACOP) kutoka Hoima, Uganda hadi Bandari ya Chongoleani, Tanga, ni moja ya miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa kwa ushirikiano wa...
Ndugu wanajamvi,
Napenda kuibua hoja kuhusu jambo linaloumiza wananchi wengi – suala la kutolipwa fidia kwa nyumba zinazotakiwa kupisha upanuzi wa barabara visiwani Zanzibar.
Mfano halisi ni barabara ya kuelekea Paje (Unguja Kusini). Kuna nyumba moja imebaki katikati ya ujenzi wa barabara, hali...
Wanaharakati Hawa walifika Tanzania ili kuhudhuria kesi ya Mwenyekiti wa Chadema ikiwa inatajwa au kusomwa mahakamani. Hawakufanikiwa kufika mahakamani ila walikamatwa na watu wenye kusadikika ni Marisa wa vyombo vya usalama. Waliteswa sana na mwisho walitupwa kwenye mipaka ya nchi zao...
Mwanaharakati maarufu katika mitandao ya kijamii aishiye Marekani, Mange Kimambi na nyota wa muziki wa kizazi kipya nchini Isihaka Nassoro maarufu Aslay, wamefunguliwa kesi ya madai kortini, wakidaiwa fidia ya Sh5 bilioni.
Katika hati ya madai, Mange anatajwa kuwa mkazi wa Los Angeles...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.