fedha

  1. JamiiForums Tanzania Tatizo sio mwanamke kupenda pesa, tatizo ni kukuomba hela huku huna hizo hela.

    Oh! Mara yule mwanamke anapenda sana Pesa, mara anatamaa sana. Mara anazingua nampiga chini! Tatizo sio kukuomba fedha, tatizo ni kwamba anakuomba fedha huku wewe huna? Nje ya mada : Dada poa mmoja Alisikika akisema " tarehe za mshahara biashara inakuwa nzuri sana.
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini IMF na Benki ya Dunia wameitenga Tanzania katika mgao wa fedha za Corona? Au ule utani kwamba sisi matajiri, wao wametuibia, uliwachukiza?

    Nashangaa,nchi zote zinazopakana na sisi zimepewa msaada wa haraka na benki ya dunia,IMF,na kuweka kidonda chumvi. Trump kaongea na marais wa nchi tunazopakana nazo na kuahidi misaada kedekede. Je ule utani wa kuwaita mabeberu wao walijua tunawachukia?sisi watanzania ni watu wa utani...
  3. JamiiForums Tanzania Taarifa ya utekelezaji miradi ya maendeleo kupitia fedha ya kuchochea maendeleo ya jimbo la Bukoba Mjini

    Kuelekea kumaliza kipindi chake cha utumishi katika jimbo la Bukoba mjini na katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. WILFRED M. LWAKATARE (Mb) na Waziri kivuri wa wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi anayo furaha kuwashirikisha mafanikio makubwa ya usimamizi wake juu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha na Mipango, Nadhani ni Wakati wa Kuchukua Hatua ili kukabili uchumi wakati huu wa COVID-19

    Ulimwengu umeshuhudia janga la Corona-virus na madhara yake katika uchumi wa nchi mbalimbali. Tanzania kama sehemu ya dunia inabidi kujifunza kutoka kwa nchi nyingine na kuchukua hatua stahiki. Hapa Tanzania baadhi ya Wafanyakazi wa kada mbalimbali wameshaanza kuonja machungu ya janga la...
  5. JamiiForums Tanzania Tuzidishe maombi ili corona iyeyuke, fedha zinazochangwa zitunzwe zikajenge hospitali au shule ya kisasa, Bukoba wanafaidi shule ya hela za tetemeko

    Nahimiza watanzania tupige gombo la kutosha, tufanye maombi Mungu atajibu. Tukeshe mabarabarani, makanisani, misikitini na kila mahala. Hakuna haja ya kupoteza hela zinazochangwa kupambana na corona, pesa hizo zikusanywe ziachwe baadae zitumike kujenga mashule na hospitali. Yalichangwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ni vigumu kwa Mwafrika Dr Tedros Ghebreyesus kuendelea kuongoza WHO, Marekani yaondoa fedha za mchango nyuma ya pazia, yashinikiza Tedros aondolewe

    Dr Tedros alianza kuonekana kwenye televisheni duniani akitoa maelezo mbalimbali kuhusiana na ugonjwa wa COVID-19. Pia aliweza kuonekana akijibu masuali mbalimbali ya waandishi wa habari juu ya maendeleo ya ugonjwa huo na taarifa zingine nyingi tu kupitia mitandao kama ya twitter na kadhalika...
  7. JamiiForums Tanzania Wadau hivi hapa Bongo unaweza kutoa fedha kupitia ATM kwa kutumia Card za bank za nje ya nchi ?

    Wadau hivi hapa Bongo unaweza kutoa fedha kupitia ATM kwa kutumia Card za bank za nje ya nchi ? Na kiwango cha mwisho cha kutoa ni tsh ngapi kwenye ATM mashine kwa siku?
  8. JamiiForums Tanzania ‪Tunatoa Wito kuwa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) lifanye ukaguzi Maalumu wa Benki Kuu ya Tanzania ili kubaini kinachofichwa

    #5YearsOfIncompetence
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje fedha za kununulia ndege zikaingizwa kwenye akaunti nyingine kabla ya kulipwa kampuni husika ya kutengeneza ndege?

    Hii ni tuhuma nzito sana na imetolewa na mwanasiasa mmoja machachari katika kuibua tuhuma na kwakweli imeaniacha hoi! Eti fedha zimetolewa benki kubwa na kuhamishiwa akaunti nyingine kabla ya kulipwa kwa kampuni inayotengeneza ndege!!! Tunasubiri majibu/ufafanuzi kutoka kwa wahusika kwani...
  10. JamiiForums Tanzania Uwekezaji - Sehemu ya kwanza

    UTAMBULISHO KUHUSU UWEKEZAJI Uwekezaji ni operesheni ambayo baada ya uchambuzi wa kina inaahidi kulinda mtaji pamoja kuleta marejesho (ya kifedha) kutoka kwenye mtaji huo. Maneno ya kuzingatia hapa ni “uchambuzi wa kina” “kulinda mtaji” na “marejesho”. Bila vitu hivi vitatu basi operesheni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msajili abaini usiri fedha vyama vya siasa

    OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa imemaliza kuhakiki vyama 19 vya siasa vyenye usajili wa kudumu na kubaini 18 havina uwazi katika masuala ya fedha kutokana na kutokuwa na mifumo sahihi ya kuweka fedha na kumbukumbu ya mapato na matumizi. Aidha, tathimini ya uhakiki huo uliofanywa na ofisi...
  12. JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia amerudishwa nyumbani kwa tuhuma za Upotevu wa Fedha Ubalozini

    Nimemsikia Mh Rais leo alipokua anapokea ripoti ya CAG na TAKUKURU huko chamwino Dodoma akisema amemrudisha nyumbani balozi wa Tanzania nchini Ethiopia kupisha uchunguzi wa upotevu mkubwa wa fedha Utafiti unaonyesha balozi huyu ni mama Naimi Hamza Azizi Na suala hili lilianza kuchunguzwa tangu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kanuni za Fedha: Jinsi ya kutengeneza pesa na kuendelea kuwa juu!

    Naandika thread hii kuwasaidia vijana walio wengi wanaokuwa wakihangaika kusaka the so called 'Utajiri' au kutaka kuwa na pesa na wanajikuta kila mara hawajui zimepotelea wapi. Kuna threads kadhaa humu JF. Natambua uwepo wa hii thread yenye kanuni 12 Kanuni 12 muhimu za kuzingatia kuhusu pesa -...
  14. JamiiForums Tanzania Katika kuzuia maambukizi ya Covina-19 Waziri wa fedha wa Uingereza amewataka waajiri walipata mishahara ya wanaojitenga na jamii

    Wanaojitenge kwa siku 14 ili wasieneze ugonjwa wanatakiwa kulipwa pesa kamili za mshahara. Serikali itawarudishia pesa hizo waajiri kutokana na kodi ili kuepusha biashara na uchuni kuanguaka. On 17 March, the Chancellor announced an unprecedented package of government-backed and guaranteed...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ije na mkakati wa kuhakikisha mabenki na mitandao ya simu wanapunguza gharama za kuhamisha fedha kielektroniki

    Hivi sasa mabenki wanatutumia sms wakitushauri tuache utaratibu wa kufanya miamala kwa kutumia cash money na badala yake tutumie huduma za kielektroniki(mobile banking) kufanya miamala hiyo kama njia mojawapo ya kupambana na ugonjwa wa corona. Binafsi naupokea ushauri huo ila nawashauri kwanza...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Kisheria: Nimeibiwa fedha mtandaoni

    Nimekuwa mteja wa mtandao mmoja wa simu hapa nchini kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Licha ya kupata huduma bora katika kipindi chote hicho, hata hivyo hivi karibuni nimekuwa Nikishuhudia wizi wa fedha nilizokuwa nikitunza kama akiba kwenye account yangu ya simu. Yaani unaamka tu asubuhi unataka...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Bunge la bajeti mwezi Aprili - Juni liendeshwe kidigitali fedha itayookolewa isaidie mapambano dhidi ya Corona

    Najua kwa uhakika wabunge wengi hawatapendezwa na ushauri huu ambavyo wakimbiza mwenge wa uvccm walivyochukizwa na hatua ya kusitisha mbio za mwenge lakini hakuna namna. Vikao vya bunge viendeshwe kwa njia ya mtandao na kwa bahati nzuri Spika Ndugai amewanunulia Computer wabunge wote. Fedha...
  18. JamiiForums Tanzania Ufisadi katika fedha za uchangiaji wa faini za za viongozi wa CHADEMA

    Chadema imeendelea kuwathibitishia wanachama wake wachache waliobaki kuwa ni chama cha kundi dogo la watu wanaojali maslahi yao binafsi kuliko maslahi ya mtanzania mwingine yeyote. Hii inathibitika katika zoezi lililomalizika la uchangiaji wa fedha kwa ajili ya faini za makosa waliyofanya...
  19. JamiiForums Tanzania Ukikutana na mtu aliyekuzidi akili, fedha au mafanikio, muulize swali hili moja kama unataka kufika viwango vyake

    Haijalishi umepiga hatua gani kwenye maisha yako, kuna mtu ambaye amepiga hatua zaidi kwenye eneo hilo. Na uwepo wa watu ambao wamepiga hatua zaidi yako ni kiashiria kwamba hata wewe unaweza kupiga hatua zaidi ya hapo ulipo sasa. Lakini je tunawezaje kupiga hatua kubwa kama ambazo wamepiga...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa umetukosea heshima wanandugu kwa kushindwa kutambua mchango wa fedha za familia

    Nimemsikiliza kwa makini ndugu yangu PETER MSIGWA kwenye hotuba yake na vyombo vya habari ambapo yeye na viongozi wengine wa Chadema waliokuwa gerezani wameachiwa huru baada ya kulipa faini. Kilichonishangaza ni MSIGWA kushindwa kutambua mchango wetu wa kifedha uliokuwa unaratibiwa na kaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…