fedha

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akikupenda atakupatia zawadi na wala hatakua na shida na fedha zako

    Leo ndio nimeamini mwanamke akikupenda atakupatia zawadi na wala hatokua na shida na fedha zako. Mwanamke mmoja mkali sana ameniletea zawadi Leo, nimefurahi sana hata usingizi hauji yaani. Tena akaniambia unastahili zaidi ya hivyo, nimebaki mdomo wazi. Bado nawaza aise. Nilichojifunza wanaume...
  2. JamiiForums Tanzania Video: Dkt. Mpango arejea ofisini, apokelewa kwa bashasha

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!
  3. JamiiForums Tanzania Nkasi: Watumishi 2 kuswekwa ndani kutokana na matumizi mabaya ya fedha

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Tekinolosia Mhe.Omari Kipanga amemwagiza mkuu wa wilaya ya Nkasi Saidi Mtanda kuwaweka ndani watumishi wawili akiwemo mkuu wa chuo cha maendeleo ya jamii cha Chala pamoja na katibu wa kamati ya ujenzi wa chuo hicho kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Waziri wa Fedha kuhusu Hotel Levy ya Halmashauri

    Kwanza pole sana. Mungu ni mwema natumaini unaendelea vizuri. Natumaini kuwa Wizara ipo mbioni kukamilisha bajeti ya 2021/22. Mimi nina ushauri kuhusu mapato ya HOTEL LEVY YA HALMASHAURI. Kwanza ni wajibu wa kila mfanyabiashara kulipia mapato ya Serikali ili kuwepo maendeleo kwa wananchi...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Abbas: Ndege tunanunua na huduma za kijamii tunawekeza fedha za kutosha, wanunaji waendelee kununa

    Msemaji mkuu wa serikali yuko mubashara TBC akielezea mafanikio ya awamu ya 5. Dkt. Abbas anasema pamoja na kununua ndege na watu wengine " kununa" serikali pia inawekeza fedha za kutosha katika Huduma za kijamii ikiwemo sh trilioni 2 kwenye sekta ya elimu. Hivyo wale wanaonuna wakiona...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

    Nimechoka, nilienda kusimamia interview watu wana degree za finance za kwanza na za pili na CPA wameshindwa kujibu swali la written interview lililohoji Noti ya Elfu kumi ina mnyama gani? Nimechoka. Sasa mtu anasomea mambo ya fedha ya kitu gani wakati hajui hata hela noti ya elfu 10 ina mnyama...
  7. JamiiForums Tanzania Mpira ni fedha na mali: Orodha ya clubs zilizoingiza fedha ndefu 2020/21

    Yanga mmechagua porojo mtavuna porojo. Simba Sc ileeeeeee ni moja kati ya vigogo wa Africa
  8. JamiiForums Tanzania Na hawa wanakatwa fedha kwenda mifuko ya hifadhi ya jamii?

    W
  9. JamiiForums Tanzania Tuhuma za kufanyika kwa ‘madudu’ dhidi ya fedha za kujikimu(Meals and accommodation) kutoka HESLB ndani ya Chuo Kikuu St. Augustine Mwanza

    Nimegundua kuna madudu na ubabaishaji mkubwa sana wa malipo ya fedha za Kijikimu(Meals and Accomodations) kwa wanafunzi wa Chuo kikuu cha ST. AUGUSTINE MWANZA, ambazo kimsingi ni fedha wanazokopeshwa wanafunzi Ili baadae wazilipe. Serikali inaingiza hela kwenye account ya chuo mapema tu, alafu...
  10. JamiiForums Tanzania Walioweka fedha zao Kwenye Benki zilizofilisiwa wakazichukue-BoT

    Bodi ya Bima za Amana imewataka Wananchi walioweka fedha zao kwenye Benki zilizofilisiwa na Benki Kuu ya Tanzania- BoT, kwenda katika matawi ya Benki ya Posta yaliyopo popote nchini, kuchukua amana zao ikiwa ni sehemu ya fidia kwa wateja waliowekeza kwenye benki hizo. Jumla ya benki 7...
  11. JamiiForums Tanzania Benki ya dunia yaipa Ghana fedha zaidi ili kununua chanjo za covid19

    Rais wa Benki ya Dunia(WB) David Malpass amesema wamefurahishwa na namna Ghana inavyojizatiti kutoa dozi za chanjo kwa wananchi wake WB ipo katika hatua za mwisho kuipa Ghana dola Milioni 100 sawa na takriban Tsh. Bilioni 232 ili kununua dozi zaidi za kuwatibu wananchi wake Awali WB ilijiatiti...
  12. JamiiForums Tanzania Wanasheria, wataalam wa fedha Kitaifa na kimataifa msaada please

    Naomba kuuliza ikiwa mtu aliuawa na hakutoa taarifa zozote kuhusu warithi wa fedha zake huko uingereza je, pesa hizo nani atapewa? Maana kuna mtu anansumbua yeye ni mkaguzi na msimamizi wa mambo yaa pesa huko, ananiambia eti nimtumie info zangu kama NIN, Address n.k azifoward pesa za mtu huyo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa kutuma fedha kwa simu kuanza Julai

    Dar es Salaam. Kuanzia Julai Watanzania wataweza kutuma fedha haraka kwa watu waliopo kwenye orodha zao za mawasiliano ya simu bila kutafuta namba za majina husika. Hiyo itawezekana kwa sababu Benki Kuu ya Tanzania (BoT) itazindua mfumo wake wa Malipo ya Haraka (Tips). Tips itahamasisha...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango: Mimi ni mzima, walionizushia kifo nimewasamehe

    Katika kuuaga mwili wa Balozi John Kijazi Karemjee, Rais Magufuli amesoma hadharani ujumbe mfupi wa simu aliyotumiwa na Waziri Mpango akimjulisha Rais juu ya Afya yake. Nukuu ''Mheshimiwa Rais asante nimepata ujumbe wako kupitia kwa mke wangu, kwa Neema ya Mungu naendelea vizuri, nakula na...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Fedha ya kupigia rangi viatu vya Traffic zinaharibu Noti zetu kwa malipo halali

    Katika Watanzania wanaoziharibu (Fedha za Noti) za Tanzania ni makondakta & madereva wetu wa vyombo vya moto yaani magari ya abiria na mizigo wakishirikiana na wasimamizi wa Sheria za nchi hii (Traffic). Fedha tajwa hapo juu hutolewa kwa njia ya kidhalilishaji kwa sarafu zetu na askari pia...
  16. JamiiForums Tanzania Moshi: Mkandarasi atoa wiki 1 kwa Serikali kumlipa fedha zake zaidi ya Bilioni 1

    Mkandarasi anayejenga stendi kubwa ya mabasi ya kimataifa ya Ngangamfumini, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro yenye thamani ya bilioni 28, ametoa wiki moja kwa serikali imlipe fedha zake ambazo ni zaidi ya bilioni 1 anazodai kabla hajasimama kuendelea na ujenzi wa stendi hiyo. Charles...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwa tunaojua Kusali hasa tuziombee sana Fedha na Ardhi zetu kwani Mchina Kazivamia kwa Kasi akitaka Kuzimaliza

    Sasa nimeamini kuwa Mchina kama aliweza Kuingia kwa Wabishi na Wababe Marekani na Uingereza angeshindwa vipi Kuziingilia Fedha za Tanzania pamoja na Ardhi yake pia? Ombi tu kwa wale Watanzania tunaojua hasa Kusali kwa Mwenyezi Mungu ni kwamba hebu tumuombe amfukuze Mchina aliyeng'ang'ania sasa...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Fedha hakuweza kuongea kama Mtaalamu wa Fedha mpaka Waziri wa Katiba anakuja kuongea kwa niaba ya Waziri wa Fedha

    Nimemsikiliza Naibu Waziri wa Fedha Bungeni mwana mama kwa kweli nimeshtuka sana, kwanza hakuweza kuongea kama mtaalamu wa fedha hotuba yote anasoma mbaya zaidi anasoma kama mtoto aliye darasani akijifunza kusoma. Kuna faida kama naibu unashindwa kukaimu waziri ambaye hayuko bungeni mpaka...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ninapenda kuishauri Wizara ya fedha kuangalia kodi zifuatazo ili ziwe nafuu/rafiki kwa mfanyabiashara

    Natumaini miezi hii ndiyo Serikali iko kwenye maandalizi ya kutayarisha bajeti yake ya mwaka 2021/22. Pamoja na hayo ninapenda kuishauri Wizara ya fedha kuangalia kodi zifuatazo ili ziwe nafuu/rafiki kwa mfanyabiashara au zijumuishwe kwa pamoja ili mlipa kodi anapolipa basi alipe moja kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yafuta shughuli za Nanenane mwaka 2021

    Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Tanzania, Profesa Adolf Mkenda ametangaza kusitisha shughuli zote za maonyesho ya Nanenane zilizokuwa zifanyike mwaka huu. Akizungumza leo Jumatano Februari 10 2021 bungeni Jijini Dodoma, Profesa Mkenda amesema fedha zote za umma bila kujali ni za wizara gani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…