Naibu Gavana wa benki kuu Dr Kibese amesema wananchi wasiwe na wasiwasi wiwote kwani benki ina akiba ya fedha za kigeni za kutosha.
Dr Kibese amesema hata kama uzalishaji utasimama kwa miezi 6 benki kuu ina akiba ya kutosha kuendesha nchi.
Dr Kibese amesema hayo katika mahafali ya shule ya...
Mbunge wa jimbo la Igalula, Venant Protas ameomba kutengwa fedha kaajili ya ujenzi wa daraja katika kata ya Loya ambalo watu zaidi ya ishirini wanapoteza maisha kwa kusombwa na maji hasa akinamama wajawazito wanaofuata huduma kata jirani na wanafunzi.
Venant amesema Daraja hilo limekuwa...
Anguko kubwa la thamani ya sh ya tanzania lilishuhudiwa mwaka 2015 april, ambapo kwa muda wa mwezi mmoja thamani ya shilingi ya Tanzania ilipolomaka toka sh 1650 kwa dola moja hadi sh 2010 kwa dola moja, hili lilikuwa ni anguko la asilimia 21% ndani ya mwezi mmoja.
Hints:
Tukio hili lilitokea...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) afanye ukaguzi maalum wa Akaunti ya Pamoja ya Fedha za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni fungamano baina ya nchi mbili huru, Tanganyika na Zanzibar, zilizoungana na kuweka...
Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa katika vikao husika na kubandika katika mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kwa kila kipindi cha mwaka wa fedha kinapoisha.
Ni wajibu wa kila mwananchi kufuatilia taarifa hizo ili kulinda maendeleo...
Mbunge wa Viti Maalum, Esther Bulaya, amesema sio sawa kwa Mtumishi aliyeitumikia Tanzania kwa miaka mingi kumpangia matumizi ya fedha ya fedha yake kwa kumpa asilimia 25 huku asilimia 75 unasema utamlipa polepole.
Bulaya amesema Uongozi wa Hayati Dkt. Magufuli ulilazimisha kuweka mfumo mbovu...
Hizi huduma ni za muhimu sana ila mara nyingine zinaweza kukusababishia usumbufu ambao unaweza kujutia kuzitumia
Mara kwa mara nimekuwa nikituma hela kutoka Airtel kwenda TTCL. Kama mara 3 hivi kwa siku tofauti baada ya kutuma pesa unaletewa meseji na Airtel kwamba hela imeenda na unaona kabisa...
Sasa najiuliza ikiwa ripoti ya CAG imeonesha madudu je, ni jinsi gani sasa kama taifa tumeingiaje uchumi wa Kati? Ikiwa tumeibiwa Sana namna hii.
Kuna bandiko linatembea nazani ni kutoka timu Sukuma Gang kujibu tuhuma za Msoga gang.
=====
MWAMBIENI CAG, SISI TUMERIDHIKA!
1. Mwambieni CAG...
Akichambua ripoti ya CAG, Zitto amesema taarifa ya CAG imeibaini MSD inaidai Serikali zaidi ya sh bilioni 300 na MSD ili ijiendeshe inahitaji sh bilioni 500 fedha ambayo inalingana na gharama ilotumika kununua ndege moja.
Tumezoe kwenye familia tukiulizwa anayedaiwa na Marehemu ajitokeze, anamdai Marehemu ajitokeze. Kauli hii inaungwa mkono na kampeni yakuandika husia.
Husia serikalini nikukabidhi Mali na dhamana uliyopewa kwa mrithi wako. Ni bahati mbaya kwamba Mzee wetu JPM alitwaliwa katika ulimwengu huu bila...
Wakuu habari zenu mimi ni mtoto wenu Emmanuel Kasomi leo hii nataka kuongea na CAG aache kitete, asiogope na Afunge.
Ukifuatilia report za CAG anazo toa kuna sehemu anazilinda.
Kwa wanao fuatia report za CAG amelaani sehemu nyingi kua zilijiendesha kwa Hasara.
Swali kwa CAG
Je, katika report...
Hasara na upotevu huu unaotokana na taarifa za CAG ambapo wanasiasa waliochambua report ya CAG aliepita,Prof. Assad, waliibua utata wa matumizi ya shilling ya shilling trilioni 1.5 na hii ya hivi karibuni inatueleza hasara ya billion 150 katika uendeshaji wa ATCL.
Hasara na upotevu huu...
Kwa kuwa kila anayesimama anasema tutamuenzi kiongozi wetu Hayati JPM, basi waziri wa ujenzi na yule wa fedha msije kusahau kuwa kabla ya umauti kumkuta mzee wetu alikuwa ameagiza TANROAD kuanza kushughulika na barabara za jimbo la Kibamba kwa maana ni jimbo pekee ndani ya Dar ambalo lina chini...
TCRA, nawaomba muichunguze kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom kwa kukata fedha unaponunua muda wa maongezi kwa hoja kuwa mteja uliomba/ulijiunga na huduma fulani ambayo hutakiwa kulipia kwa kukatwa fedha mara tu unaponunua muda wa maongezi.
Mimi binafai ni mhanga wa hili jambo kwani...
CAG ni mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serilali lakini mara nyingi inaonekane GAC anakagua mahesabu ya serikali, lakini hafanyi udhibiti wa matumizi ya fedha za serikali.
Kazi ya CAG inapaswa pia kudhibiti jinsi fedha za serikali zinavyotumika, la sivyo naona hatutaondokana na haya...
Kuna akina mama watanzania ambao ni vichwa na wanafanya maajabu kusaidia watanzania.MMojawapo ni huyu mama Dr. Frannie Léautier mwenyeji wa Lushoto na Karibuni alikuwa Makamu wa Raisi wa Benki ya Maendeleo ya Africaambako aliteuliwa tarehe 9 may 2016
Pia mekuwa MWENYEKITI wa Mkoba Private...
Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amefika bungeni na mke wake pamoja na watoto wake watano.
Mwigullu leo anawasilisha Mpango wa maendeleo wa taifa.
Spika Ndugai amesema hao watoto watano ndio wale wanaojulikana kisheria kwani kimsingi idadi ya watoto wanaijua akina mama.
Chanzo: TBC...
Endapo hatutokusanya kodi kwa wingi Je tutapata wapi fedha za kuendeshea nchi?
Mfano naomba mnisaidie maswali haya:
1. Tutapata wapi fedha za kuwalipa wafanyakazi mishahara kila mwezi?
2. Tutapata wapi fedha za kuwakopesha wanafunzi wa vyuo vikuu mikopo ya elimu?
3. Tutapata wapi fedha za...
Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe.
Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza.
Yaani kote...