fedha

  1. JamiiForums Tanzania Elimu ya fedha ambayo BoT wanapaswa kuifahamu

    CASH IS NOT THE KING Najua wengi ni ngumu sana kuamini hiki ninachoenda kukiandika lakini sikuzote ukweli haufichiki na hata ambao wataamini naamini watashangaa sana, ukweli ni kuwa dunia ipo speed sana na kama bado hujui kinachoendelea basi nitaenda kuweka wazi kila kitu bila uwoga kuhusu...
  2. JamiiForums Tanzania VIDEO: Gavana wa BOT akimpongeza Sabaya kufanikisha kukamatwa kwa fedha bandia

    Tazama video
  3. K

    JamiiForums Tanzania Je, hizi fedha anazotoa Mhe. Rais zinatoka kwenye fungu gani?

    Leo nimeshuhudia kupitia luninga Mhe. Waziri Mkuu akihabarisha umma wa Watanzania kuwa Mhe. Rais ameridhia kutoa Tshs.300 billioni kwaajili ya ujenzi wa majengo ya Wizara mbalimbali pale Dodoma ikiwa ni pamoja na Ikulu. Sasa swali langu:- Bunge lina utaratibu wa kujadili bajeti na kuipitisha...
  4. JamiiForums Tanzania Unaweza tengeneza mfereji wa FEDHA pasipo KURISK?

    Inasemekana kwamba ili unase mfereji wa fedha lazima urisk moja au vyote ya vifuatavyo MUDA(TIME) UHAI(breath of life) MONEY Unapowekeza muda mfano kusoma shule, kujifunza skills tofautitofauti kunaweza kusaidia kupata FEDHA Unapohatarisha uhai wako kwa ajili ya kazi flani mfano KUIBA...
  5. JamiiForums Tanzania Daniel Chongolo akemea watendaji wa Serikali wanaochelewesha kuidhinisha fedha za miradi ya maendeleo nchini

    DANIEL CHONGOLO, KATIBU MKUU WA CCM CHONGOLO AKEMEA WATENDAJI WA SERIKALI WANAOCHELEWESHA KUIDHINISHA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Godfrey Chongolo, akiambatana na Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, kukagua miradi na...
  6. JamiiForums Tanzania Fedha inatoka wapi na inakwenda wapi?

    naomba wanauchumi watuelekeze kama kutakuwa na makosa 1. Fedha zote zinatoka bank kuu(BOT) kabla ya kusambazwa kwa raia na bank zote zilizochini ya benki kuu 2. Bank kuu inatengeneza fedha za aina mbili ya kwanza ni virtual(isiyoshikika) na ya pili ni paper money 3...
  7. JamiiForums Tanzania SoC01 Je, umejiandaa na mabadiliko ya mfumo wa fedha?

    Katika hatua za mwanzo kabisa za Maisha ya mwanadamu hakukuwepo na kitu kinaitwa Pesa. Njia pekee ya kununua na kuuza ilikuwa ni kupitia mabadilishano. Unahitaji ngombe wangu unanipa gunia kadhaa za mahindi. Tumemalizana, kitaalamu iliitwa Barter Trade). Mfumo huu ulikuwa na mapungufu mengi...
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Mvuta sigara Tanzania hutumia kiasi cha Tsh Milioni 16.9 hadi Tsh Milioni 42.3 kununua sigara kipindi chote cha maisha yake

    Bei za baadhi ya sigara nchini Tanzania kutokana na majibu ya wauzaji wa Sigara mnamo mwezi July 2021 wilayani Pangani Mkoani Tanga. BAADHI YA SIGARA BEI ZA SIGARA HIZO KWA SASA BEI YA PAKTI MOJA BEI YA SIGARA MOJA Winston & Master Club Tsh1600/= Tsh 100/= Sports Club & Sm...
  9. JamiiForums Tanzania Papa Francis aliwahi kukataa msaada wa fedha wenye tarakimu 666

    Jaribio la Rais wa Argentina Mauricio Macri kutoa zaidi ya dola milioni moja kwa hisani/msaada iliyoungwa mkono na mmoja wa watu wake maarufu nchini Papa Francis alirudishwa nyuma mapema wiki hii, wakati kiongozi wa Katoliki alipokataa zawadi hiyo inaonekana kwa sababu kiasi kilikuwa na nambari...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya washinda medali ya dhahabu na fedha mtawalia kwenye mbio za marathon kule Tokyo

    Kama kawaida Wakenya wanaendelea kukusanya medali kadhaa kule, vipi majirani kunaye anatajika hata kuonekana tu kwenye TV. • Fellow Kenyan Brigid Kosgei took silver and Molly Seidel of the United States took bronze • Battling hot and humid conditions, Chepng'etich dropped out around the 30km...
  11. JamiiForums Tanzania Iramba: DC Suleiman Mwenda aagiza walimu wanaodai fedha za uhamisho na madai mbalimbali kulipwa stahiki zao

    DC MWENDA AAGIZA WALIMU WANAODAI FEDHA ZA UHAMISHO NA MADAI MBALIMBALI KULIPWA STAHIKI ZAO. Na Mwandishi wetu: Mkuu wa wilaya ya Iramba, Mhe. Suleiman Yusuph Mwenda amewaagiza maafisa Elimu msingi na sekondari kuwalipa walimu wanaodai stahiki zao mbalimbali. DC Mwenda ameyasema hayo wakati...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali itenge fedha za kukarabati shule za Msingi nchi nzima, hali ya shule hizo ni mbaya

    Kwenye bajeti ya Serikali juu 2021/22 sijaona fedha zilizotengwa na Serikali kukarabati shule za Msingi Tanzania. Shule nyingi za Msingi Tanzania sasa zimekuwa magofu. Hapa Kilosa Mkoa wa Morogoro kuna shule ya msingi inaanguka.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI tafadhali tafuta fedha uandae semina elekeza ya wateule wapya

    Nadhani maisha yalivyo ni kwamba watoto wa viongozi wakihitimu vyuo awatafuti tena kazi wanasubiri uteuzi. Kwa ukubwa nafasi hizi zilizotoka naomba waziri atumie busara kuandaa semina elekezi la sivyo uchumi wetu utakufa kabisa. Ni sawa mmeamua V8 zipaki nyumbani kwenu yaani baba, mama na...
  14. JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe ungemshauri nini huyu dada?

    Habari Kaka, mimi ni Mama wa watoto wawili, nimeolewa ndoa yangu ina miaka 7 sasa, mwkaa jana nilikorofishana na mume wangu, nilimfumania na dada wa kazi. KutoKana na kunidhalilisha nilichukua jukumu la kuondoka ili kumuacha, lakini alikuja kuomba msamaha nikamsamehe, lakini nilishindwa...
  15. JamiiForums Tanzania Hashpuppi, tapeli wa Nigeria akiri makosa ya utakatishaji fedha

    Raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu kwa jina la Hashpuppi amekiri makosa ya utakatishaji fedha katika mahakama nchini Marekani. Hashpuppi, aliyejipatia umaarufu kwa maisha yake ya anasa mitandaoni, ambapo ana wafuazi zaidi ya milioni 2.5 katika mtandao wa Instagram, amekiri makosa ya utapeli...
  16. JamiiForums Tanzania Orodha ya Miji na Wilaya zenye mzunguko mkubwa wa Fedha na Uhakika wa Mapato

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Tanzania. Ifuatayo ni List ya Miji,Majiji,Manispaa na Wilaya 50 Kati ya 184 ambazo zina mzunguko Mkubwa wa fedha na kwamba wananchi wake Wana kipato cha uhakika na hivyo kuwa maeneo yanayofaa zaidi kwa fursa za biashara mbalimbali. Mpangilio umewekwa kwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania SoC01 MAONI: Elimu haihusiani na Fedha, ila Elimu ya Fedha

    Limekuwa ni swali katika Bongo za vijana wengi, kipi ni bora ama muhimu zaidi katika ulimwengu wa sasa baina ya Fedha na Elimu? Bila shaka kama swali la aina hii angeulizwa kijana wa miaka ya 80’ jibu lake lingekuwa “ELIMU NI BORA KULIKO FEDHA!” na bila wasiwasi wowote angekuwa sahihi kwa jibu...
  18. JamiiForums Tanzania Wasanii Wa Ngoma Za Asili Watakiwa Kujisajili Kupata Fedha Za Mfuko Wa Sanaa

    Serikali imesema kuwa wasanii wa ngoma za asili wanatakiwa kujisajili kwa maafisa Utamaduni wa Wilaya ili waweze kupata fedha za Mfuko wa Utamaduni na Sanaa ambapo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 mfuko huo umetengewa bilioni 1.5. Kauli hiyo imesemwa Julai 24, 2021 na Mkurugenzi Msaidizi...
  19. JamiiForums Tanzania Vodacom imetutangazia hasara vipi kuhusu faida na fedha za CSR?

    Nimemuona CEO wa Vodacom akijiingiza kwenye Siasa kwa kujidai kuonesha hasara wanayoipata eti watu kuacha kutumia miamala. Sijawahi kumsikia akitutajia faida ipatikanayo na zaidi sijawahi kusikia shule,zahanati ,au kituo cha afya kilichojengwa kwa fedha za Corporate Social Responsibility kutoka...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Nimetazama dakika 45 ya Mhe. Mwigulu Nchemba -Waziri wa Fedha jana jumatatu nimemuelewa katika haya

    Dakika 45 za Mhe. Mwigulu Nchemba nilisikiliza kwa umakini mkubwa na baadaye nimekubaliana naye juu ya tozo ya miamala ya simu kwa sababu zifuatazo:- (1) Alitamka wazi kuwa makato yanayoelezwa na watu kuwa ni kubwa ni upotoshaji. Yeye alisema kama mtu atatuma mathalani Tshs.1,000,000 makato...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…