fedha

  1. JamiiForums Tanzania Fedha za CWT zilitumika kuangalia mpira Cape Verde

    Mchunguzi Mkuu kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mercy Manyalika ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu alivyochunguza na kubaini fedha za Chama cha Walimu Tanzania,(CWT) zilivyotumika kwenda kuangalia mpira wa kombe la dunia mwaka 2018. Manyalika alieleza hayo...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Njia bora zaidi ya kupokea fedha kutoka US ni ipi?

    Natumaini mnaendelea vema katika harakati za kuusaka mkate wa kila siku. Nimekuja hapa nahitaji msaada, kuna malipo natakiwa kupokea, lakini njia nilizokuwa natumia kupokea fedha kutoka kwa watu wengine wa hukohuko US leo zimenigomea kwa huyu mtu anayetaka kutuma malipo. Nimetumia sendwave...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kujenga darasa kutokana na fedha za COVID-19

    TAMISEMI imetoa maelekezo kuwa gharama ya kujenga darasa moja kwa fedha za msaada wa Covid-19 ni Tshs.20,000,000. Kama majengo haya yatajengwa na Wakandarasi waliosajiliwa naona haya hayakutiliwa maanani:- (1) Mkandarasi aliyesajiliwa anapolipwa lazima akatwe withholding tax ambayo ni 10% ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chama cha Mapinduzi chaguzi zake za ndani sifa kuu ya mgombea ni fedha?

    Nilikuwa nafuatilia maadhimisho ya miaka 22 bila baba wa taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye sikuwai kumwona kwa macho nikashangaa sana na sikuelewa kuwa aliyokuwa anayaongea yule Mzee ni yakweli au ulikuwa unafiki wa kisiasa. Kama alikuwa muasisi wa Tanu na CCM na alikemea rushwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho

    Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho. Kama wewe unaponda kokoto tani 20, unatafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako kutokana na mapato uliyoyapata kwenye kazi ngumu ya kuponda kokoto. Kwa hiyo kama mpenzi wako anayumbisha...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Maagizo fedha za UVIKO-19 kutumia wakandarasi wazalendo ni ya kupongeza

    Nilimsikia Rais Samia akisema katika ujenzi unaofanyika watumie wataalamu na wakandarasi wazalendo. Haya ni maamuzi ya kizalendo sana na ya kupongeza sana. Hizo ndizo njia pekee za kutengeneza ajira na kukuza uchumi kwa watu wetu. Asia na Ulaya walishaanza mbinu hizo muda mrefu kwani...
  7. JamiiForums Tanzania Nina sarafu za sh 100, 200 na 500; natafuta wa kubadilisha na fedha za noti, au kwa anayejua utaratibu

    Habari wana JF, kutokana na shughuli nazofanya inanilazimu kupata pesa kama hzo, msaada mwenye kujua wapi naweza badilisha. NIPO SONGEA, 0623 306 403
  8. U

    JamiiForums Tanzania Hoja hii dhidi ya Shaka ni upuuzi

    HOJA HII DHIDI YA SHAKA NI UPUUZI Na Bollen Ngetti RAIS SSH katika kukwamua uchumi uliodorora kufuatia janga la Covid-19 na matumizi ya hovyo ya Fedha za umma ametafuta na kupata 1.3 Trilioni kutoka IMF. Fedha ambayo ameelekeza kutumika hapa hapa nchini kwenye miradi ya maendeleo na hivyo...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hospitali ya Seliani Arusha inayomilikiwa na Kanisa yazuia mwili wa Marehemu wakidai walipwe fedha za matibabu cash

    Nimepata Taarifa kutoka kwa familia moja ambao wameoa huko Mkoani Arusha zikisema walipata msiba wa Mkwe zaidi ya wiki Sasa lakini mazishi hayajafanyika kwa sababu Hospitali inadai haitotoa mwili hadi walipwe deni la matibabu. Taarifa zinadai wanafamilia wamepeleka zaidi ya nusu ya fedha na hati...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka: Sukuma ndani! "Mkibaini mchwa yeyote popote wa fedha za miradi ya Umma"

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka wakati akisoma Azimio la kumpongeza Mwenyekiti wa CCM ambaye ni amiri Jeshi Mkuu na Rais wa JMT Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa na nzuri zilizotukuka tena zilizofanyika kwa kipindi kifupi Shaka amewataka Viongozi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tafuta fedha au ingia mkataba na sekta binafsi wajenge uwanja wa Mpira wa kisasa Dodoma

    Raisi Samia, utafanya yote, ila kama unataka kuacha jina, basi fanya kila uwezalo kuhakikisha eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa kisasa mkoani Dodoma ujenzi huo unaanza na kukamilika kabla ya 2025. Kwa ukimya uliopo na muda uliokwishapita, ni vigumu sisi wananchi...
  12. JamiiForums Tanzania Fedha za kupambana na UVIKO19: Tenda ya Sept 29 na mwisho wa maombi Sept 30?

    Mapema leo Rais Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali ameeleza wazi kuwa hatovumilia viongozi wala RUSHWA. Hata Siku ya Jumapili wakati akizindua mpango wa Serikali wa kuinua uchumi na kukabiliana na UVIKO19 alisisitiza matumizi sahihi ya fedha za hizo huku akiwataka wasimamizi kuzingatia sheria...
  13. JamiiForums Tanzania Utaratibu ulioanzishwa na Serikali ya awamu ya sita wa kugawa fedha za miradi ya maendeleo kupitia majimbo ufutwe mara moja

    Kuna utaratibu uliletwa huko Tanzania fedha za miradi ya maendeleo kugawanywa na serikali kupitia majimbo mfano fedha za IMF 1.3 trilion, fedha za Tarura. Majimbo mengine yanabidadi ndogo ya wakazi, majimbo mengine yako mbele kimaendeleo kuliko mengine, na kutumia mfumu huu usimamizi wa fedha...
  14. JamiiForums Tanzania Tuliambiwa pesa za tozo za simu ndio zitatumika kwenye miradi ya afya na elimu sasa fedha za IMF je?

    Waziri wa Fedha awe mkweli maana kama kajisahau vile anaendelea kutoa hotuba, alituambia fedha za tozo zitahusika kwenye Ujenzi wa madarasa na huduma za afya, leo hii fedha walizopewa na IMF anataja miradi ile ile kwamba ndio itakayo tekelezwa, huenda labda mm sijaelewa vizuri pamoja na kuwa...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta na Nduguze wana mabilioni ya fedha waliyowekeza Uingereza

    Taarifa zenye ukubwa wa TeraByte 2.9 zimevuja zikiwa na taarifa kuhusu utajiri wa watu mashughuri duniani wakiwemo marais waliostaafu na walioko madadrakani Kwa nchi za Afrika taarifa za Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta zimeonekana katika taarifa hizo ambazo zinaonesha Kenyatta na nduguze wana...
  16. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Mwanamke adaiwa kujipatia fedha kwa kuua ndugu

    Taifa la Afrika Kusini limetikiswa na habari ya Nomia Rosemary Ndlovu (46) baada ya kupanga njama na kuua ndugu zake sita, huku akiwa anaandaa vifo vya ndugu wengine, akiwemo mama yake mzazi. Swali likawa, Rosemary ni nani? Historia yake ikoje? Kwa nini aliua ndugu zake? Wakati viulizo vikiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Chato inayotaka kuwa Mkoa yawa kinara matumizi mabaya ya fedha za umma

    Pamoja na malalamiko mengi mitandaoni, ya miradi isiyo na tija kwa Taifa huko Chato, ukweli umeanza kudhihiri. Wilaya ya Chato sasa ni rasmi, ni moja ya wilaya zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya fedha za umma. CAG ameamrishwa na Waziri wa Fedha Dk Nchemba kufanya uchunguzi wa kina kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hauwezi kupunguza madeni unayodaiwa na Taifa fulani kwa kutumia fedha za IMF au benki ya dunia alafu ukatembea kifua mbele ukisema unalitatua tatizo

    "Hauwezi kupunguza madeni unayodaiwa na Taifa fulani kwa kutumia fedha za IMF au benki ya dunia alafu ukatembea kifua mbele ukisema unalitatua tatizo. Afrika inahitaji usimamizi madhubuti wa vyanzo vyake vya kiuchumi. Afrika inahitaji kufanya kazi kwa bidii kuzalisha na kukuza vyanzo vyake...
  19. JamiiForums Tanzania SoC01 Matajiri hawaweki akiba ya fedha

    Rejea katika historia Hii ni kinyume kidogo Na utaratibu tuliozoea kusikia au kushauriwa na wataalamu Wa kiuchumi au wahamasishaji,motivational speakers. Dhana ya kuweka akiba imekuwa ikielezwa katika misingi ya vitu mbalimbali Na ikipata mashiko kutoka kwenye biblia Na vitabu vingine. Ingawa...
  20. JamiiForums Tanzania Nomia Rosemary Ndlovu; Askari aliyeua Ndugu Pamoja na Mpenzi wake ili Kujipatia Fedha za Bima (Insurance)

    Nchini Afrika Kusini kumekuwa na kesi iliyoteka hisia za watu huku macho na masikio ya watu wengi wakiifuatilia kesi hiyo iliyoanza kusikilizwa katikati ya mwezi Septemba. Kesi hiyo inamhusisha askari wa zamani ajulikanae kama Nomia Rosemary Ndlovu anaekabiliwa na mashitaka ya mauaji, kula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…