fedha

  1. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania Tubadilike; Kutumia fedha nyingi kuwekeza kwa watoto kumepitwa na wakati

    Zamani hizo watu wajanja walikuwa wakiwekeza kwenye watoto na kuwasomesha kwa gharama, hadi chuo huko then waje kuajiriwa walipwe mshahara mzuri wawatunze. Kwa kiasi kikubwa kama mtoto wako alikuwa 'kichwa' miaka hiyo ya 1960-2000 huko hii ilikuwa formula iliyoleta matunda Ila kwa miaka ya...
  2. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Wazee wa mkoa wa Tanga wapokea fedha kiasi cha 1.3M kwaajili ya tambiko la kuruhusu ujenzi wa barabara

    Wazee wa Kijiji Cha KwaMsisi kilichopo Wilayani Handeni Mkoani Tanga wamekubali kupokea Shilingi Milioni 1 na laki 3 kwaajili ya Kufanya Tambiko katika Ujenzi wa barabara ya afrika mashariki inayopita kijijini hapo Hapo Awali wazee hao walimtaka Mkuu wa Wilaya Hiyo Siriel Nchembe kupewa Tsh...
  3. K

    JamiiForums Tanzania NAOMBA TU KUELEMISHWA JUU YA FEDHA ZINAZOTOLEWA NA MHE. RAIS KATIKA MIRADI MBALIMBALI

    Nimekuwa nikisoma kupitia vyombo vya habari kuwa Mhe. Rais leo ametoa billioni kadhaa kwenye mradi fulani. Je fedha hizi zinatoka fungu gani na huku nikifahamu kuwa kila senti ya Serikali uidhinishwa na Bunge. Au inawezekana Mhe. Rais anatumia fungu lake la Ikulu. Nimeuliza swali kwa ajili ya...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kuwekeza fedha nyingi kwa mtoto wako hasa kwenye elimu na malezi; Je, huwa ni uwekezaji au ni wajibu?

    Kumekuwa na hali ya wazazi kutumia fedha nyingi kwa watoto wao ili waweze kupata elimu bora au malezi bora. Wapo wazazi wengine wapo tayari walale njaa, ili watoto wao waweze kwenda kusoma shule ya chekechea ya milioni 5 kwa mwaka. Sasa najiuliza, kutumia fedha nyingi kwa mazingira hayo, je...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri Wangu Kuhusu Miradi Inayojengwa na Msaada wa Fedha za COVID-19

    Nimekuwa nikiona kupitia luninga jinsi viongozi wa Kata, Tarafa, Wilaya, Mikoa na hata Taifa wanavyohangaika na kukamilishwa kwa miradi hii. Walipewa agizo kuwa miradi hii iwe imemalizika katika muda wa miezi mitatu. Mimi binafsi natofautiana na agizo hili. Kwa Mhandisi anayejua maana ya ujenzi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kumkwamisha Rais Samia Suluhu ni kuikwamisha Tanzania

    ==== Ukweli ni kwamba, lipo kundi ndani ya Taifa hili tukufu la Tanzania linaloinyooshea vidole Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba imekumbwa na Rushwa na Ufisadi wa kutisha ghafla. Kundi hili hatari kwa Taifa letu linamwona Rais Samia Suluhu Hassan...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashtukia upigaji Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA)

    Kutoka ziara ya Rais Samia, Bandari Kuu Dar es Salaam. Ujenzi wa matenki ya kuhifadhia mafuta, kwanini TPA ilianza ujenzi wa matenki mapya wakati PUMA ina matenki yako tupu na hayatumiki kwanini yasitumike hayo kulikuwa na sababu gani ya kujenga mapya kama sio uchochoro wa kupiga fedha??? 2...
  8. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinayakimbiza mawazo yako mazuri unapozishika fedha

    Rafiki yangu mpendwa, Wengi wetu huwa tunakutana na hali hii. Pale unapokuwa huna fedha unakuwa na mawazo mazuri sana. Unakuwa na mipango mizuri kwamba ukipata fedha utazitumiaje vizuri ili upate manufaa makubwa. Ukimuona mtu mwenye fedha anazitumia vibaya, unajiambia huyo hajui matumizi...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna faida gani kuzikwa na viungo ambavyo Kuna watu wanavihitaji? Iletwe sheria ya kuwapa incentives (motisha) watu wataovigawa wakifa.

    Sioni faida yoyote ya mtu kuzikwa na vium=ngo ambavyo kuna watu wanavitafuta kwa udi na uvumba ili kutibu matatizo yao. Sote tunajiuonea, uhaba wa viungo umefanya kuwepo kwa soko haramu kwa mfano makundi ya kigaidi kama Boko Haram hukamat watu na kuwanyofa viungo na kuviuza kwa bei ili...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wito wa serikali kuzitaka Taasisi za fedha kushusha viwango vya riba upewe mkazo

    Salam ndugu wana JF! Moja kwa moja kwenye maada, ndugu zangu kwa muda mrefu kumekuwapo na wito na maagizo mengi ya serikali kuzitaka taasisi za fedha kushusha riba wanazotoza katika mikopo wanayotoa kwa wanananchi. Kila linapojitokeza tukio linalomkutanisha ama Rais, Makamu wa Rais, Waziri...
  11. mama D

    JamiiForums Tanzania BoT - Mkutano wa 20 wa Taasisi za fedha Tanzania 25th & 26th November 2021

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Tupate muelekeo wa uchumi toka kwa Govana, Wizara na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
  12. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla: Kwenye kero nilizozikuta wapo wanaume wanaonyanyaswa. Kuna wanawake wana fedha wanahitaji tu wanaume wa kuwaoa

    Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Amos Makalla amesema kwenye dawati la jinsia kuna wanaume aliowaita marioo wanakuja kulalamika kunyanyaswa na wanawake wenye fedha kwani huwapatia vitu alafu wakiachana wanawanyang'anya kila kitu hivyo hurudi nyuma kimaisha kwa kuwa mwanaume suruali. ======== Mkuu...
  13. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Sabaya: Ushahidi wa Video za CCTV waonesha shahidi akitoa fedha benki alizomkabidhi Ole Sabaya

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imelazimika kuahirisha kuendelea kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita baada ya shahidi wa 10, Francis Mrosso kudai kuwa anajisikia vibaya. Leo Novemba 24, 2021 shahidi huyo wa Jamhuri...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimehamisha fedha kutoka Benki kwenda M-Pesa yenye makosa, nifanye nini?

    Ndugu wanabodi, Nimehamisha kimakosa fedha kutoka account ya benki kwenda M Pesa ya mtu lakini nikawa nimekosea. Nimepiga customer service ya benk kwa sasa wamefunga na nikipiga voda 100 imeishia kunipeleka Wassap.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa madarasa nchi nzima; Kuna hatari naiona mbele juu ya fedha za IMF

    Habarini wadau. Nimejaribu kupitia juu ya miradi inayoendelea wilaya Mbinga na Songwe. Kama Tanzania nzima ndio inatekelezwa kwa utaratibu wa namna hiyo lazima basi uzalendo wetu upo kwenye matumbo yetu. Na ni hatari sana kuwa na watu wa aina hii katika taifa letu. Miongoni mwa mambo...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi afanya ziara wilaya ya Kyerwa. Wananchi waishukuru Serikali kuwapelekea fedha nyingi za miradi

    KATIBU MKUU UVCCM Ndg. KENANI LABAN KIHONGOSI AFANYA ZIARA WILAYA YA KYERWA,WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI KUWAPELEKEA FEDHA NYINGI ZA MIRADI. 14.12.2021 Katibu mkuu wa Uvccm Ndugu Kenani Kihongosi amefanya ziara wilaya ya Kyerwa kukagua utekelezaji wa Ilani Ya Uchaguzi ya Chama cha mapinduzi...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha: Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha Toleo la Kwanza, Agosti 2021 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha Wizara ya Fedha na Mipango...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Family intelligence; Utajuaje mchumba wako ni muaminifu kwenye mapato au Fedha?

    FAMILY INTELLIGENCE; UTAJUAJE MCHUMBA WAKO NI MWAMINIFU KATIKA MAPATO/FEDHA? Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Basi Mimi Taikon nikajiingiza katika Mkondo WA mapenzi. Nikasema Acha niyapime mambo yote yaliyomo huko, kisha nitoe Hesabu Kwa kadiri ya akili yangu ilivyo Kwa wakati huu ningali kijana...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania CCM inapaswa kuchunguza kiasi cha fedha kilichotumika katika ziara za Kinana na Nape?

    Kuna muda huwa tunakaa kimya tu. Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika? Can it be accounted for?
  20. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wasanii na Watu wanaoonyesha Vitu vya Thamani Mtandaoni Kuchunguzwa na Mamlaka ya Mapato

    Mamlaka ya Mapato nchini Kenya (KRA) inawafuatilia watu wanaochapisha vitu vya anasa kwenye mitandao ya kijamii ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuwabaini watu wanaokwepa kodi. Mchapisho yanayoonesha magari ya anasa, majumba ya kifahari, na sherehe (parties) wanafuatiliwa na maafisa wa KRA...
Back
Top Bottom