Leo Rais Samia wakati akitoa hotuba ya kufunga mwaka 2021 ameitaja akiba ya fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 6,253. Nikajua labda lafudhi ya kizanzibari imenichanganya au kosa la usomaji.
Kumbe ndivyo alivyoandikiwa kwenye hotuba yake, najiuliza mchakato wote wa maandalizi ya hotuba...
Awamu iliyopita Rais, Makamu, Waziri Mkuu na viongoozi wote wa Serikali walitueleza wazi kwamba wanajenga Kwa fedha za ndani.
Chama cha Mapinduzi na taasisi zake zote walizunguka kutuambia Serikali ya CCM inajenga kwa kutumia fedha za ndani.
Bunge na units zilizopo chini yake walituambia...
Ingekuwa Mungu anawauliza vijana wa leo wachague kati ya Hekima na Fedha unadhani wangechagua kipi?
Mfalme Sulemani akiongoza kikao cha Baraza la Wakeze. Taswira kwa hisani ya google.
Nipo Afrika Kusini Kwa mapumziko ya uzee ila pia kuangalia Dunia inavyoendeshwa Katika maeneo mbalimbali ya Dunia. Hapa Afrika Kusini limetoka tamko la kuzuia kuuzwa Kwa funguo za chmba alichokuwa anaishi Mzee Mandela gerezani. Funguo hiyo imepangwa kupigwa mnada na wazungu huko ulaya Tarehe...
Zamani hizo watu wajanja walikuwa wakiwekeza kwenye watoto na kuwasomesha kwa gharama, hadi chuo huko then waje kuajiriwa walipwe mshahara mzuri wawatunze.
Kwa kiasi kikubwa kama mtoto wako alikuwa 'kichwa' miaka hiyo ya 1960-2000 huko hii ilikuwa formula iliyoleta matunda
Ila kwa miaka ya...
Wazee wa Kijiji Cha KwaMsisi kilichopo Wilayani Handeni Mkoani Tanga wamekubali kupokea Shilingi Milioni 1 na laki 3 kwaajili ya Kufanya Tambiko katika Ujenzi wa barabara ya afrika mashariki inayopita kijijini hapo
Hapo Awali wazee hao walimtaka Mkuu wa Wilaya Hiyo Siriel Nchembe kupewa Tsh...
Nimekuwa nikisoma kupitia vyombo vya habari kuwa Mhe. Rais leo ametoa billioni kadhaa kwenye mradi fulani. Je fedha hizi zinatoka fungu gani na huku nikifahamu kuwa kila senti ya Serikali uidhinishwa na Bunge. Au inawezekana Mhe. Rais anatumia fungu lake la Ikulu. Nimeuliza swali kwa ajili ya...
Kumekuwa na hali ya wazazi kutumia fedha nyingi kwa watoto wao ili waweze kupata elimu bora au malezi bora. Wapo wazazi wengine wapo tayari walale njaa, ili watoto wao waweze kwenda kusoma shule ya chekechea ya milioni 5 kwa mwaka.
Sasa najiuliza, kutumia fedha nyingi kwa mazingira hayo, je...
Nimekuwa nikiona kupitia luninga jinsi viongozi wa Kata, Tarafa, Wilaya, Mikoa na hata Taifa wanavyohangaika na kukamilishwa kwa miradi hii. Walipewa agizo kuwa miradi hii iwe imemalizika katika muda wa miezi mitatu.
Mimi binafsi natofautiana na agizo hili. Kwa Mhandisi anayejua maana ya ujenzi...
====
Ukweli ni kwamba, lipo kundi ndani ya Taifa hili tukufu la Tanzania linaloinyooshea vidole Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba imekumbwa na Rushwa na Ufisadi wa kutisha ghafla.
Kundi hili hatari kwa Taifa letu linamwona Rais Samia Suluhu Hassan...
Kutoka ziara ya Rais Samia,
Bandari Kuu Dar es Salaam.
Ujenzi wa matenki ya kuhifadhia mafuta, kwanini TPA ilianza ujenzi wa matenki mapya wakati PUMA ina matenki yako tupu na hayatumiki kwanini yasitumike hayo kulikuwa na sababu gani ya kujenga mapya kama sio uchochoro wa kupiga fedha???
2...
Rafiki yangu mpendwa,
Wengi wetu huwa tunakutana na hali hii.
Pale unapokuwa huna fedha unakuwa na mawazo mazuri sana.
Unakuwa na mipango mizuri kwamba ukipata fedha utazitumiaje vizuri ili upate manufaa makubwa.
Ukimuona mtu mwenye fedha anazitumia vibaya, unajiambia huyo hajui matumizi...
Sioni faida yoyote ya mtu kuzikwa na vium=ngo ambavyo kuna watu wanavitafuta kwa udi na uvumba ili kutibu matatizo yao.
Sote tunajiuonea, uhaba wa viungo umefanya kuwepo kwa soko haramu kwa mfano makundi ya kigaidi kama Boko Haram hukamat watu na kuwanyofa viungo na kuviuza kwa bei ili...
Salam ndugu wana JF!
Moja kwa moja kwenye maada, ndugu zangu kwa muda mrefu kumekuwapo na wito na maagizo mengi ya serikali kuzitaka taasisi za fedha kushusha riba wanazotoza katika mikopo wanayotoa kwa wanananchi.
Kila linapojitokeza tukio linalomkutanisha ama Rais, Makamu wa Rais, Waziri...
Mkuu wa mkoa wa Dares salaam Amos Makalla amesema kwenye dawati la jinsia kuna wanaume aliowaita marioo wanakuja kulalamika kunyanyaswa na wanawake wenye fedha kwani huwapatia vitu alafu wakiachana wanawanyang'anya kila kitu hivyo hurudi nyuma kimaisha kwa kuwa mwanaume suruali.
========
Mkuu...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imelazimika kuahirisha kuendelea kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita baada ya shahidi wa 10, Francis Mrosso kudai kuwa anajisikia vibaya.
Leo Novemba 24, 2021 shahidi huyo wa Jamhuri...
Ndugu wanabodi,
Nimehamisha kimakosa fedha kutoka account ya benki kwenda M Pesa ya mtu lakini nikawa nimekosea. Nimepiga customer service ya benk kwa sasa wamefunga na nikipiga voda 100 imeishia kunipeleka Wassap.
Habarini wadau.
Nimejaribu kupitia juu ya miradi inayoendelea wilaya Mbinga na Songwe. Kama Tanzania nzima ndio inatekelezwa kwa utaratibu wa namna hiyo lazima basi uzalendo wetu upo kwenye matumbo yetu.
Na ni hatari sana kuwa na watu wa aina hii katika taifa letu.
Miongoni mwa mambo...
KATIBU MKUU UVCCM Ndg. KENANI LABAN KIHONGOSI AFANYA ZIARA WILAYA YA KYERWA,WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI KUWAPELEKEA FEDHA NYINGI ZA MIRADI.
14.12.2021
Katibu mkuu wa Uvccm Ndugu Kenani Kihongosi amefanya ziara wilaya ya Kyerwa kukagua utekelezaji wa Ilani Ya Uchaguzi ya Chama cha mapinduzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.