fedha

  1. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu UVCCM Ndg. Kenani Kihongosi afanya ziara wilaya ya Kyerwa. Wananchi waishukuru Serikali kuwapelekea fedha nyingi za miradi

    KATIBU MKUU UVCCM Ndg. KENANI LABAN KIHONGOSI AFANYA ZIARA WILAYA YA KYERWA,WANANCHI WAISHUKURU SERIKALI KUWAPELEKEA FEDHA NYINGI ZA MIRADI. 14.12.2021 Katibu mkuu wa Uvccm Ndugu Kenani Kihongosi amefanya ziara wilaya ya Kyerwa kukagua utekelezaji wa Ilani Ya Uchaguzi ya Chama cha mapinduzi...
  2. JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha: Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha Toleo la Kwanza, Agosti 2021 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha Nyenzo ya Kufundishia Elimu ya Fedha Wizara ya Fedha na Mipango...
  3. JamiiForums Tanzania Family intelligence; Utajuaje mchumba wako ni muaminifu kwenye mapato au Fedha?

    FAMILY INTELLIGENCE; UTAJUAJE MCHUMBA WAKO NI MWAMINIFU KATIKA MAPATO/FEDHA? Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Basi Mimi Taikon nikajiingiza katika Mkondo WA mapenzi. Nikasema Acha niyapime mambo yote yaliyomo huko, kisha nitoe Hesabu Kwa kadiri ya akili yangu ilivyo Kwa wakati huu ningali kijana...
  4. JamiiForums Tanzania CCM inapaswa kuchunguza kiasi cha fedha kilichotumika katika ziara za Kinana na Nape?

    Kuna muda huwa tunakaa kimya tu. Hivi ile the so called Ziara ya kuamsha chama ya Nape na Kinana ilikiwa necessary?Kiasi gani cha fedha kilitumika? Can it be accounted for?
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wasanii na Watu wanaoonyesha Vitu vya Thamani Mtandaoni Kuchunguzwa na Mamlaka ya Mapato

    Mamlaka ya Mapato nchini Kenya (KRA) inawafuatilia watu wanaochapisha vitu vya anasa kwenye mitandao ya kijamii ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuwabaini watu wanaokwepa kodi. Mchapisho yanayoonesha magari ya anasa, majumba ya kifahari, na sherehe (parties) wanafuatiliwa na maafisa wa KRA...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Bashe: Bilioni 119 zimenunua mazao ya nafaka kwa mwaka wa fedha 2021/2022

    📍🇹🇿NEEMA KWA WAKULIMA WA MAZAO YA NAFAKA "CPB na NFRA zinanuanua nafaka 'CASH' bila kuwakopa wakulima Nchini, kwa Mwaka wa fedha 2021/2022 serikali imetumia jumla ya Bilioni 119 katika manunuzi ya mazao ya Nafaka kutoka kwa wakulima na vikundi vya wakulima. Mazao hayo yatauzwa katika Masoko ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mgao Fedha za IMF kwa Afya umejaa upendeleo

    Kwanza niipongeze serikali kwa investment kubwa ya Afya kupitia hizi pesa za IMF, japo pia tungeweza ongeza zaidi kwa sababu sehemu kubwa ililenga kwenye afya. Pamoja na hayo yote huu mgao ulipashwa uzingatie mgawanyo wa kikanda. Kuna sehemu miaka na miaka hawakuwa na huduma za CT scan wala...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tamisemi kuweni makini na yanayoendelea kwenye mgawanyo fedha za ujenzi za kujengea Hospitali na Shule

    Habari wanajukwaaa. Mimi ni mdau wa elimu na pia wa maendeleo ya wananchi kwa nimekuwa mfatiliaji mzuri wa maswala ya ujenzi hasa kipindi hiki ambacho tamisemi kupitia Rais wetu Samia Suluhu wamezamilia wanafunzi wote watakaoanza kidato cha kwanza mwakani waripoti wote.Lakini nimegundua...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Lawrence Mafuru aliewahi kuwa MD wa NBC Bank na Msajili wa Hazina ateuliwa kuwa Kamishina wa Sera Wizara ya Fedha

    Ndugu Laurence Mafuru Ambae amewahi kua mkurugenzi Mkuu wa NBC Bank na Msajili wa Hazina ameteuliwa kua kamishna wa Sera wizara ya fedha. Hakuna mahala uteuzi huo umetangazwa ila nimebahatika kuona tangazo kutoka kwenye taasisi yake ya Bankable Institute kwamba amejiuzuru majukumu ya mshirika...
  10. JamiiForums Tanzania Siasa ya ujenzi wa madarasa: Fedha zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi wa madarasa mapya na ujenzi unaohitaji kukamilishwa

    Nimejaribu kupita katika maeneo kadhaa vijijini na nilichokibaini ni kuwa kuna majengo mengi mno ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambayo hayajakamilika kutokana na na uhaba wa fedha lakini hivi karibuni Serikali imepata fedha ambazo zimeelekezwa katika ujenzi wa madarasa...
  11. JamiiForums Tanzania Bilionea Saniniu Laizer achangia Tshs. Milioni 5 kwenye ujenzi wa ofisi ya chama cha walimu Tanzania (CWT)

    YALIYOJIRI SIMANJIRO: Mfanyabiashara wa madini ya Tanzanite nchini Tanzania, Saniniu Laizer amechangia Sh5 milioni za ujenzi wa ofisi ya chama cha walimu Tanzania (CWT) ili kuboresha utendaji kazi wa walimu. Laizer maarufu bilionea Laizer ametoa fedha hizo Jumamosi Oktoba 30, 2021 kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Fedha za COVID-19 ungezitumia kuandaa mtaala mpya wa elimu kuliko kujenga madarasa

    Mama yangu, kuliko kuboresha elimu mbovu, mbaya, iliopitwa na wakati, isioajirisha, mzigo kwa taifa! Ni bora fedha zingetumika kuandaa mtaala mpya kabisa ambao ungesaidia vijana kujiajiri!elimu yenye vitendo zaidi kuliko huu upumbavu na ujinga wa kukariri unaohalalishwa na utaahira unaoitwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake mnaipenda 10,000?

    Kwa binadamu kuomba au kutoa fedha ni jambo toka enzi. Na kuombwa hela kwa mwanaume ni ufahari, nina swali kwenu nyie baadhi ya wanawake Hivi ni kwanini wengi hupenda kuomba au kuhitaji 10,000 mkiwa au akiwa na shida? Hii pesa ina siri gani?
  14. JamiiForums Tanzania Meya Mji wa Moshi awa mkandarasi ujenzi wa madarasa kwa fedha za IMF

    Bila mkuu wa wilaya ya Moshi kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasi wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa Moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa. Swali la msingi, halmashauri imempata mkandarasi asiyejulikana...
  15. JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa Hati zenye shaka na hati mbaya za ukaguzi kwa mwaka 2019/20

    Ripoti za Ukaguzi za mwaka 2019/20 zinaonesha kuongezeka kwa Hati Zenye Shaka na Hati Mbaya zilizotolewa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa na Miradi ya Maendeleo. Mwenendo wa Hati zilizotolewa katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa a Miradi ya Maendeleo ni kama ifuatavyo; Hati za Ukaguzi...
  16. JamiiForums Tanzania Chuo cha SAUT kampasi ya Arusha chang’ara tuzo ya utumiaji mzuri wa fedha za bodi ya mikopo nchini

    Mwandishi wetu, Arusha Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu nchini (HESLB) imekitunuku chuo cha Mtakatifu Augustino (SAUT) kampasi ya Arusha tuzo ya utunzaji mzuri wa kumbukumbu wa fedha za wanafunzi. Mbali na hilo pia bodi hiyo imekitaja chuo hicho kuwa ni miongoni mwa vyuo bora nchini...
  17. JamiiForums Tanzania Ni muhimu kiasi gani kwa nchi kudhibiti fedha za kigeni?

    Wakuu, tuliona jinsi JPM alivyofunga brueau de change ghafla na kuweka wanajeshi wakilinda. Hii ilikuwa oparesheni kubwa na ya kushtukiza. Bila shaka ilikuwa na umuhimu mkubwa sana. Naomba kuelimishwa umuhimu wa nchi kucontrol fedha za kigeni.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

    Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa" ____________________________________________ Magufuli anabiringika kaburini. Tulikuwa tunaambiwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Usimamizi mbovu wa mifumo ya huduma mtandao hutumika kuiba mabilioni katika kutoa huduma. Rais, agiza ukaguzi wa mifumo yako utanishukuru

    Nilianza kupata ubuyu huu kwenye mjadala wa vijana flani nikashtuka Sana, katika udadisi na kujielimisha kupitia maandiko mbalimbali ya huduma mtandao ( e- services) nikagundua ipo haja yakuikumbusha serikali umuhimu wa kufanya ukaguzi maalumu katika mifumo ya utoaji huduma zinazolipiwa kwa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Watendaji na walimu wakuu wanavyoenda kuteseka na fedha za COVID‐19 za IMF

    Nawasalimu sana kwa jina la JMT yetu pendwa! Baada ya mheshimiwa raisi kuagiza fedha za IMF kwenda kwenye elimu na kujenga madarasa ili watoto wa kidato cha kwanza mwakani wasipate tabu ya kusubiri, na TAMISEMI kazipangia bajeti na kuzigawa, kazi imeanza huku chini (wilayani). Viongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…