fedha

  1. JamiiForums Tanzania Hatua tano (5) za kuchagua njia sahihi za kutengeneza fedha kwenye ardhi na majengo

    Somo kuhusu kuchagua njia za kutengeneza fedha kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo ni somo muhimu sana kwa yeyote anayewekeza kwenye uwekezaji huu. Rafiki yangu ukianza vibaya kuwekeza kwenye ardhi na majengo utashindwa kukuza uwekezaji wako kwa haraka kwa kutumia viwanja na majengo...
  2. JamiiForums Tanzania TANU na Sanduku la fedha la Abdul Sykes

    TANU NA SANDUKU LA FEDHA LA ABDUL SYKES 1950s Katika moja ya mijadala ya historia ya TANU na harakati za kudai uhuru wa Tanganyika niliwaahidi wasomaji wangu kuwapa historia ya sanduku la fedha la Abdul Sykes. Nikasahau kwa muda. Leo msomaji wangu mmoja kaniandikia kunikumbusha nitimize ahadi...
  3. JamiiForums Tanzania Wanawake mnaoomba fedha huwa hamna hisia?

    Mi naamini mapenzi ni hisia, kila mmoja anaonyesha hisia zake kwa mwenzake na maisha yanaendelea. Sasa kumekuwa na tabia kama ya kununua huduma, ili mwanaume apate penzi lazima amgharamie mwanamke, hata kama mwanamke ana kazi au biashara nzuri, bado ataomba apewe fedha; ukishindwa kumpatia...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia agusia uzembe, ufujaji fedha na mivutano Mkoani Mara. Aagiza Wakaguzi wa Ndani wabadilishwe

    Amesema utekelezaji wa Miradi unakwama kutokana na mambo hayo matatu, akiwataka Viongozi kuacha mivutano na Siasa ziende vizuri Amesema bado Fedha zinafujwa na kuliwa kwenye Miradi kadhaa ya Mkoa licha ya kuwepo Wakaguzi wa Ndani, akiwataka, "Wafanye kazi zao ili kuona haya madudu mapema"...
  5. JamiiForums Tanzania Mbarawa: Daraja la Tanzanite halilipiwi kwa sababu limejengwa kwa fedha za Serikali

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema fedha zilizotumika kujenga daraja la Tanzanite ni mkopo wa masharti nafuu kutoka Korea Kusini ambazo zitalipwa na Serikali ya Tanzania kwa asilimia zote. Amesema hii ndio sababu ya wananchi wanaotumia daraja hilo kutolipishwa fedha...
  6. JamiiForums Tanzania Saikolojia: Jinsi mnunuzi anavyoshindwa kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba

    Kazi ya kununua nyumba ni kazi rahisi sana ukilinganisha na kazi ya kuuza nyumba hasa kwa wanunuzi wa nyumba wasio wawekezaji. Ni vigumu kupata wanunuzi wa nyumba kuliko kupata nyumba unayotaka endapo una fedha tayari za kununulia nyumba unayoitaka. Kwa lugha nyingine, utatumia muda mrefu...
  7. JamiiForums Tanzania Rais anapoonesha mfumo ndio unaotoa fedha na si Rais

    Hapa kwetu kumezoeleka viongozi wa juu kutamba na kutoa matamko ya kumsifu Rais kwa kutoa fedha za maendeleo. Zambia mambo ni tofauti kabisa.
  8. JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango ifute matumizi ya fedha za sarafu na itengeneze noti mpya ya shilingi elfu 20 na elfu 50

    Matumizi ya fedha za sarafu yanaakisi ni kiasi gani watanzania bado wapo nyuma kiuchumi,ni risk kuzihifadhi kwa maisha ya sasa kwasababu hata kuzihifadhi tu mifukoni au kweny bahasha ni usumbufu mkubwa, Hivyo napendekeza watengeneze noti mpya ya elfu 20 na elfu 50 ili kuweza kupunguza idadi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Hii habari ya CRDB kuwarejeshea fedha wateja wenye mikopo ni ya kweli?

    Habari? Leo kwa nyakati tofauti nimeambiwa na watu wawili kuwa CRDB wamerejesha kiasi cha fedha kwa wateja walio na mikopo,na wamefanya hivyo baada ya kukokotoa mahesabu upya.Mwenye habari iliyokamilika kuhusu hili naomba anijuze.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Usikubali heshima kubwa kanisani mtizame Mungu, isipokuwa tu kama unaheshimika na huna Fedha wala madaraka

    Kesho ni siku ya kuabudu na kumtukuza Mungu. Simaanishi kwamba siku nyingine sifanyi hivyo Ila ninaposali Mimi jumapili ni siku maalumu ya ibada. Nimewiwa kuwaomba wanaoingia kanisani kuanzia kesho wajitafakari kuhusu heshima wanayopewa, je heshima inatokana na wao wanavyomytumikia Mungu au...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada yafadhali: Namna ya kurejeshewa fedha zilizozidi HESLB

    Naomba mwenye ulewa anisaidie namna ya kujaza maombi ya kuresha fedha iliyozidi Toka bodi mikopo Kwa njia ya online. Natanguliza shukrani.
  12. JamiiForums Tanzania Siri ya fedha

    Hi! Hakuna kitu kinachopendwa kama fedha. Yaani hata Mungu hajawahi kupendwa kama inavyopendwa fedha, ingawa watu wengi wanaigiza kumpenda Mungu kuliko fedha ila ukweli utabaki palepale kuwa fedha inapendwa kuliko vitu vyote. Kuna watu ni wapagani wanaabudu vitu vinavyoonekana kama miti, mawe...
  13. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa

    Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo Tarafa ya Mgeta wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa wanayoyatumia kufuatia madarasa hayo ambayo yamejengwa kwa mawe tangu mwaka 1970 kuanza kupasuka kisha kudondosha mawe. Chanzo: EastAfricaTv...
  14. JamiiForums Tanzania Simba Sc, Lawama hazitawasaidia, Mamilioni ya fedha anazotoa Azam kila mwezi kwa kila timu zimefanya ligi iwe na ushindani kuliko miaka iliyopita

    Kila timu inapokea si chini ya Milioni 40 kila mwezi kwajili ya kujiendesha, Hivi kwa akili ya kawaida tu unategemea ubora wa hizi timu uwe vilevile kama miaka ya nyuma?? 🚨 Simba SC lawama haziwasaidii, wekezeni uwanjani zaidi kuliko nje ya uwanja !! - Mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha inamsaidia sana Rais Samia kutekeleza miradi ya maendeleo

    Nchi inaenda vizuri sana. Mungu ni mwema. Ukizunguka huko mikoani (nje ya Majiji) utaona jinsi ambavyo halmashauri na maeneo yote ya kiutendaji yanavyofanya kazi za miradi kwa bidii na bila malalamiko. Kwa wasiofahamu, Serikali imemwaga fedha nyingi kwenye halmshauri zote nchi nzima. Huko ndipo...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Kuweka anwani za makazi kwenye makazi holela ni kupoteza fedha

    Ukienda jijini Mwanza ukipita kwenye makazi holela unakuta vibao vimewekwa eti anwani za makazi, huku ni kupoteza pesa yetu bure. Unapita kwenye njia zilizochangamana mara umeibuka junction moja kimewekwa kibao cha anwani ya makazi. Ushauri Anzeni kwa kutuwekea mitaa inayoeleweka tumieni hizo...
  17. JamiiForums Tanzania Ukimya katika ukusanyaji wa fedha kupitia tozo

    Habarini ndugu watanzania wenzangu. Moja kwa moja niende kwenye mada yangu, kumekuwa na ukimya juu ya makusanyo ya tozo kwenye miamala ya fedha kwa njia ya simu tofauti na hapo awali tulipotangaziwa jumla ya makusanyo yake. Nini kimebadilisha hadi kuwa na ukimya (usiri) huo na ilihali...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza mara mbili zaidi mzunguko wa fedha (M3) kutoka 6.5% hadi 12.7%

    Rais Samia Suluhu Hassan tayari ameongeza mara mbili zaidi mzunguko wa fedha yaani (M3) kutoka 6.5% hadi 12.7% === Katika kipindi cha miezi tisa sasa tangu Rais Samia Suluhu Hassan aingie madarakani Uchumi wa Tanzania umeendelea kuwa imara siku hata siku ambapo ulikuwa kwa wastani wa asilimia...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha ifumuliwe upya, ufisadi wake ni msiba mkubwa

    Wakati watanzania wanalia kwa ajili ya tozo na wengine wakizozana kuhusu mikopo, na ugumu wa maisha, Wizara ya fedha inaufisadi wa kutisha. Waziri mkuu alitangazia taifa kugundua wizi wa mabilioni ndani ya miezi 3. Kuanzia March 2021, hadi Mei 2021. Miradi mingi imekwama, na mashirika mengine ya...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Taifa haliwezi kwenda na fedha za tozo pekee

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema kumekuwepo watu wanaohoji kwanini Nchi imekopa japokuwa kuna fedha za tozo, akifafanua kuwa Taifa haliwezi kwenda na fedha za tozo pekee Ameeleza hayo akipokea taarifa ya utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo kwa Ustawi wa Taifa na Mapambano dhidi ya COVID-19...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…