fedha

  1. JamiiForums Tanzania Kitengo cha kudhibiti fedha haramu chaelemewa

    Kitengo cha kudhibiti fedha haramu Nchini Tanzania kimeelemewa na miamala iliyotiliwa mashaka ambayo inatakiwa kufanyiwa uchunguzi. Hayo yamebainishwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Omary Kigua, Juni 7, 2022 Bungeni Jijini Dodoma akiwasilisha taarifa ya kamati...
  2. JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha yaomba kuidhinishiwa Trilioni 14.94 kwa mwaka 2022/23

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ameomba Bunge kuidhinishia Wizara hiyo Bajeti ya Trilioni 14.94 kwa Mwaka wa Fedha 2022/23. Akizungumza Bungeni amesema miongoni mwa changamoto zilizoikumba Wizara hiyo ni mfumuko wa bei katika soko la ndani na kasi ndogo na ukuaji wa Pato la...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapinga Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya CCM

    Mkurugenzi wa Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amesema; "Tunapinga kitendo cha Serikali kutumia fedha za umma kukarabati viwanja vya michezo vinavyomilikiwa na CCM, huu ni ubadhirifu wa Fedha za umma." "CCM kama wemeshindwa kuendesha viwanja ambavyo walivipora kutoka kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia ili kufupisha muda wa ukarabati wa nyumba ya kukuingizia fedha

    Njia mojawapo ya kuongeza thamani ya nyumba yako ya uwekezaji ni kuifanyia ukarabati. Ongezeko la thamani ya nyumba kutokana na ukarabati wa nyumba hutegemea sana maarifa sahihi aliyonayo mwekezaji husika. Hivyo, ili uweze kufanya ukarabati wenye tija zaidi unahitaji kuwa na maarifa sahihi na...
  5. JamiiForums Tanzania HESLB, naomba kupata maelekezo juu ya allocations za fedha za kujikimu wakati wa mafunzo kwa vitendo(Field)

    Habari za wakati huu kwenu. Kwanza nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ukuu wake na rehema tele atupazo katika maisha haya. Nimekuja hapa, nikiamini nitapata msaada na ushauri wa kimawazo juu ya suala tajwa hapo juu. Ipo hivi, mnamo mwaka 2020 bodi ya mikopo elimu ya juu (HESLB) ilifanya...
  6. JamiiForums Tanzania LUKU za kidijitali ni matumizi mabaya ya fedha

    Kwa mara nyingine tena TANESCO inajiingiza katika gharama zisizo za lazima kwa kutaka kutekeleza mpango wa kubadilisha luku kuwa za kidigitali. Kama ilivyokuwa kwa kubadilisha nguzo za miti na kuweka nguzo za zege. TANESCO itaondoa LUKU ambazo hazina matatizo yoyote kwa mteja auTANESCO na...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Napokea mshahari ngazi ya TGS D naishi kijijini naona fedha hiyo hainikidhi kabisa mahitaji yangu.

    Sasa najiuliza nyinyi wa mjini mnaopokea mshahara ngazi hii mnawezaje na maisha yalivyo sasahivi?
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini CWT inatesa Waalimu na kuiba fedha zao kila uchao?

    Ndugu za wanaJamiiForums, nimepata taarifa leo hii kwamba kumbe CWT ambacho kimekuwa chama cha walimu kwa muda mrefu sasa kimepata chama mwenza ambacho ni chama cha CHAKUHAWATA. Taarifa hii nimeambiwa na mwalimu mmoja leo hii. Mwalimu huyo amesikitika kuona kwamba pamoja na yeye kujiungana na...
  9. JamiiForums Tanzania Fedha za alama za mitaa zinatoka mfuko upi?

    Nauliza je, ni wananchi wanaweka alama za mitaa kwa fedha zao au mfuko wa halmashauri? Maana nimeona sehemu raia wanalalama. Huko kwenu jamani nani anaweka hizi alama?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Shule ya Serikali kuagiza Kidato cha Tano wachangie fedha za wapishi na walinzi Tsh.30,000 - hii ndiyo elimu bure?

    Wakuuu kwema Hii ndio elimu bure? Kwanini serikali isiajiri wapishi ikawalipa? Inauma sana.
  11. JamiiForums Tanzania Je, hili linawezakana vipi? Katibu Tawala Wilaya ya Mbarali azitaka CHADEMA, CUF na ACT kuwasilisha taarifa za vyanzo vya fedha na namba za akaunti

    Katibu Tawala Wilaya ya Mbarali, Michael J. Semindu ameviandikia barua Vyama Vya ACT Wazalendo, CUF na CHADEMA barua kuvitaka kuwasilisha taarifa zao katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo. Barua hiyo ambayo nakala imeenda kwa Mkuu wa Wilaya inavitaka vyama hivyo kuwasilisha; Muundo wa Uongozi wa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alisitisha ongezeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa Bwawa la Nyerere

    Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere. Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine. CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania itapata maendeleo makubwa iwapo fedha nyingi zitawekezwa kwenye tafiti na miradi ya uzalishaji na sio kwenye siasa

    Wakuu! Tumechelewa Sana kupata maendeleo ya kweli nchini tangu tupate uhuru kwa kuwekeza fedha nyingi kwenye siasa kuliko miradi ya uzalishaji. Nchi yetu iliamua kuwa kupiga domo kwenye siasa NDIO kulipe Sana kuliko utafiti wa mbegu Mpya za kilimo na ufugaji pale SUA. Miradi ya uzalishaji...
  14. JamiiForums Tanzania Chadema wasipewe fedha za ruzuku zilizotokana na ubunge wa Mdee na wenzake

    Kama mbwai na iwe mbwai, Nashauri spika azuie fedha hizo zisichukuliwe na Chadema kwa kuwa wameonyesha kwamba Mdee na wenzake hawakuwa wabunge. Huwezi kula usichopanda. Maana hiki chama kikiona fedha huwa kinasisimuka
  15. I

    JamiiForums Tanzania Unatumia fedha kiasi gani ndani ya wiki kwa ajili ya vocha?

    Dah, mimi binafsi natumia maximum shilingi 3000, na hapo naumiaga sana 😄😄.... Vipi nyie wenzangu?
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Magari yetu ya Mizigo yanakwama sana Mpakani Horohoro, nitachukua hatua

    Nimekutana na ujumbe wa Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, aliouchapisha kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii nikaona niulete hapa kama taarifa. Ameandika: "Nikiwa safarini kuelekea Mombasa kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Fedha kutoka nchi za...
  17. JamiiForums Tanzania Wanahabari 50 wa Tanzania kujifunza kuandika habari za fedha na biashara

    Taasisi ya Bloomberg Media Initiative Africa (BMIA) imetangaza kuanza kwa awamu ya pili ya programu ya mafunzo ya uandishi wa habari za fedha (FJT) kwa waandishi wa Tanzania. Mafunzo hayo yamelenga kuwawezesha waandishi wa habari wa fedha na biashara kuandika habari za kina zinazohusu sekta...
  18. JamiiForums Tanzania Kisutu, Dar: Robert Kisena apandishwa Kizimbani kwa Utakatishaji fedha, asomewa mashitaka 33

    Robert Kisena (wa kwanza kulia) akiwa na washtakiwa wenzake Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (UDART) Robert Kisena na wenzake watatu wamesomewa mashtaka 33 katika kesi mbili tofauti kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiwemo Utakatishaji wa fedha na kuongoza genge la...
  19. JamiiForums Tanzania Kauli za Marais kuhusu fedha kutoka nje

    Magufuli: Sisi ni matajiri, tunaweza kuwasaidia hata Ulaya, misaada/mikopo yao masharti magumu Samia Suluhu: Nimeenda Ulaya, pesa za miradi zilikwama tumezikwamua. Nipo nazitafuta za kaka Jakaya..
  20. JamiiForums Tanzania Filbert Bayi Adaiwa Kufisadi Fedha za Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Yeye Akanusha Asema Anachafuliwa

    KATIBU Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi anadaiwa kuhusika na ufisadi wa fedha zinazotolewa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kwa ajili ya maendeleo ya mchezo wa riadha hapa nchini. Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog kutoka kwa wadau wa mchezo wa riadha walio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…