fedha

  1. Je, hili linawezakana vipi? Katibu Tawala Wilaya ya Mbarali azitaka CHADEMA, CUF na ACT kuwasilisha taarifa za vyanzo vya fedha na namba za akaunti

    Katibu Tawala Wilaya ya Mbarali, Michael J. Semindu ameviandikia barua Vyama Vya ACT Wazalendo, CUF na CHADEMA barua kuvitaka kuwasilisha taarifa zao katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya hiyo. Barua hiyo ambayo nakala imeenda kwa Mkuu wa Wilaya inavitaka vyama hivyo kuwasilisha; Muundo wa Uongozi wa...
  2. J

    Hayati Magufuli alisitisha ongezeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa Bwawa la Nyerere

    Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere. Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine. CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
  3. Tanzania itapata maendeleo makubwa iwapo fedha nyingi zitawekezwa kwenye tafiti na miradi ya uzalishaji na sio kwenye siasa

    Wakuu! Tumechelewa Sana kupata maendeleo ya kweli nchini tangu tupate uhuru kwa kuwekeza fedha nyingi kwenye siasa kuliko miradi ya uzalishaji. Nchi yetu iliamua kuwa kupiga domo kwenye siasa NDIO kulipe Sana kuliko utafiti wa mbegu Mpya za kilimo na ufugaji pale SUA. Miradi ya uzalishaji...
  4. Chadema wasipewe fedha za ruzuku zilizotokana na ubunge wa Mdee na wenzake

    Kama mbwai na iwe mbwai, Nashauri spika azuie fedha hizo zisichukuliwe na Chadema kwa kuwa wameonyesha kwamba Mdee na wenzake hawakuwa wabunge. Huwezi kula usichopanda. Maana hiki chama kikiona fedha huwa kinasisimuka
  5. I

    Unatumia fedha kiasi gani ndani ya wiki kwa ajili ya vocha?

    Dah, mimi binafsi natumia maximum shilingi 3000, na hapo naumiaga sana 😄😄.... Vipi nyie wenzangu?
  6. Waziri Mwigulu: Magari yetu ya Mizigo yanakwama sana Mpakani Horohoro, nitachukua hatua

    Nimekutana na ujumbe wa Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, aliouchapisha kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii nikaona niulete hapa kama taarifa. Ameandika: "Nikiwa safarini kuelekea Mombasa kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Fedha kutoka nchi za...
  7. Wanahabari 50 wa Tanzania kujifunza kuandika habari za fedha na biashara

    Taasisi ya Bloomberg Media Initiative Africa (BMIA) imetangaza kuanza kwa awamu ya pili ya programu ya mafunzo ya uandishi wa habari za fedha (FJT) kwa waandishi wa Tanzania. Mafunzo hayo yamelenga kuwawezesha waandishi wa habari wa fedha na biashara kuandika habari za kina zinazohusu sekta...
  8. Kisutu, Dar: Robert Kisena apandishwa Kizimbani kwa Utakatishaji fedha, asomewa mashitaka 33

    Robert Kisena (wa kwanza kulia) akiwa na washtakiwa wenzake Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo kasi (UDART) Robert Kisena na wenzake watatu wamesomewa mashtaka 33 katika kesi mbili tofauti kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ikiwemo Utakatishaji wa fedha na kuongoza genge la...
  9. Kauli za Marais kuhusu fedha kutoka nje

    Magufuli: Sisi ni matajiri, tunaweza kuwasaidia hata Ulaya, misaada/mikopo yao masharti magumu Samia Suluhu: Nimeenda Ulaya, pesa za miradi zilikwama tumezikwamua. Nipo nazitafuta za kaka Jakaya..
  10. Filbert Bayi Adaiwa Kufisadi Fedha za Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), Yeye Akanusha Asema Anachafuliwa

    KATIBU Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi anadaiwa kuhusika na ufisadi wa fedha zinazotolewa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kwa ajili ya maendeleo ya mchezo wa riadha hapa nchini. Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog kutoka kwa wadau wa mchezo wa riadha walio...
  11. C

    Ni nani alipendekeza Mwigulu awe Waziri wa Fedha na Makamba Jr awe Waziri wa Nishati?

    Habari Watanzania, Hivi kweli nchi ya Tanzania, Mwigulu aliyeibuliwa na JK, baada ya sakata la Escrow, kijana wa kazi chafu kabisa kutokea huko UVCCM wkt huo...mkaona ndie awe mtunga sera namba moja za Fedha, na mshauri mkuu wa Uchumi wa Rais ktk Taifa hili? Mlikuwa mnajaribu? Au kuna kazi...
  12. M

    Tangu mashambulizi ya Urusi yaanze, Ukraine imepokea misaada ya silaha na fedha kiasi cha dola za Marekani zaidi ya bilioni 12! Hizi zote ni mkopo!

    Ukraine received over $12bn in weapons, financial aid since start of war Ukraine has received over $12bn in weapons and financial aid since the start of Russia’s full-scale invasion on February 24, Ukraine’s Prime Minister Denys Shmyhal has said. Speaking at a high-level donors’ conference in...
  13. Makamu wa Rais Mpango amwambia Balozi Polepole kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi anayekwenda kuiwakilisha Tanzania Nchini Malawi Mheshimiwa Balozi Humphrey Polepole. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais mkoani Dodoma. Makamu wa Rais amempongeza...
  14. Sedoyeka: Katika bajeti ya mwaka 2022/23 Wizara imetenga fedha Shilingi bilioni 5.5 kwa ajili ya kuweka mazingira wezeshi ya kubuni, kuendeleza

    Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Eliamani Sedoyeka amesema katika bajeti ya mwaka 2022/23 Wizara imetenga fedha Shilingi bilioni 5.5 kwa ajili ya kuweka mazingira wezeshi ya kubuni, kuendeleza ubunifu pamoja na kujengea uwezo Taasisi na mbunifu mmoja mmoja. Prof...
  15. Wizara inayohusika na teknokojia ya habari na mawasiliano/ya fedha ianzishe kurugenzi ya uchumi wa kidijitali (digital economy)

    Nashauri wizara ya fedha, wizara ya teknokojia ya habari na mawasiliano zijikite katika kupenyeza na kueneza masuala ya uchumi ya kijiditali(digital economy). Waitwe wataalamu kutoka nyanja zote wafanye presentation na michakato ya jinsi watanzania wanaweza kufaidika na kuutumia uchumi wa...
  16. Tansesco kununuliwa na Fedha ya Dowans!

    Makamba anakwenda kuuza Tanesco yetu na watakao inunua ndio hao wanaolipwa mabilioni ya dowans, kwa kifupi, wanachukuwa hela zetu Serikalini tunawalipa halafu wanatumia fedha hiyo hiyo kuinunua Tanesco na kuimiliki, is a zero sum game, …
  17. SERIKALI HAINA FEDHA

    MAHITAJI YA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA NI MZIGO WETU SOTE NA SIYO SERIKALI PEKE YAKE. Kutokana na ukweli kuwa hakuna jipya chini ya jua. Leo baada ya kufuatilia maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wafanyakazi Duniani nililazimika kukaa katika maktaba yangu nyumbani na kutafuta...
  18. Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena afungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi, wajadili Mwelekeo wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2022/23

    Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi akimkaribisha Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Lawrence Tax ili afungue Kikao cha Baraza la Wafanyakazi kwa njia ya Mtandao (Video Conferencing). Waziri wa Ulinzi na...
  19. B

    Edward Hosea, constructive engagement uliyonayo itaua TLS. Serikali ikiwanyima fedha mtajiendesha vipi?

    Nadhani TLS Ina wanachama wasio na akili na mawazo yakujitegemea;wanachama wengi wana mawazo kama yalivyo maono ya Watumishi wa Umma kwamba serikali ikupe posho,salary,nyumba,matibabu nk lakini pamoja na vyote hivyo mtumishi huyu anashindwa kujenga japo nyumba huku asiye na kazi aliyepo Kijijini...
  20. S

    Ripoti za CAG: Itungwe sheria wale wote wanaotajwa au kuhusishwa na ubadhirifu wa fedha katika ripoti za CAG wasimamishwe kazi kupisha uchunguzi

    Huu ndio ushauri wangu, vinginevyo ubadhirifu huu wa kila mwaka hautaishi kwani wanajua hata wakituhumiwa, hakuna kitachofanyika, na kama ni kuchukua hatua basi, itategemea na utashi wa Raisi. Binafsi siku hizi sina hata hamu tena ya kufuatilia ripoti za CAG kwasababu naona ni kama kutufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…