Ngoja nikupe mifano ya hesabu inayoeleza faida za kutumia mfumo wa gesi kwenye gari yako.
1. Ukijaza gesi ya Tsh. 17,000 unaweza kusafiri kilomita zaidi ya 200.
Tsh. 17000 = Km. 200
? = Km. 1
Km. 1 = Tsh. 17000/200 = Tsh. 85
Kikawaida ukijaza lita moja ya petroli unaweza kusafiri kilomita...
Habari wakuu.
Siku za karibuni pamekuwa na utapeli wa aina nyingi na aina mbalimbali unaohusiana na fedha. Kama bahati nasibu, kamari, network marketing, pyramid scheme, ponzi schemes, "online business" na aina nyinginezo za utapeli.
Hao matapeli wanakuaminisha kuwa utapata faida kubwa na...
Serikali imeanza uchunguzi wa ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi uliofanywa na Serikali ya Rais John Magufuli, kupitia alichoita, “Sheria ya Plea Bargain," Raia Mwema imeelezwa. Taarifa kutoka serikalini na baadhi ya watu walioswekwa magerezani na kutolewa kwa utaratibu huo, zinaeleza kuwa...
DKT. SAMIZI ATEMBELEA NA KUKAGUA MIRADI YA BARABARA NA MADARAJA ILIYOJENGWA KWA FEDHA ZA SERIKALI YA RAIS SAMIA.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt Florence George Samizi kipindi hiki cha mapumziko ya Bunge ameendelea kufanya ziara Jimboni kwa kufanya shughuli za maendeleo...
Bernard Aritua Afisa na Muwakilishi wa Taasisi hiyo amesema hawawezi kutoa Ufadhili wa kujenga miundombinu hasa Barabara, kutokana na ukosefu wa Sera za Kifedha na Kanuni za Sekta ya Uchukuzi.
Benki ya Dunia imesema Sudan inapaswa kufanyia marekebisho Sera zenye changamoto kwa misaada ambazo ni...
Amemaliza chuo si miaka mingi sana, hajabahatika kuajiriwa bado.
Mungu alimuona na kumjaalia ajira ya muda mfupi ya sensa iliyofanyika hivi punde, si haba, kamilioni hivi alikashika na kwa hakika ilikuwa pesa nyingi sana kwake kwani alikuwa hajawahi kufanya dili lolote la kufikia kiwango hicho...
RAIS SAMIA AMWAGA MABILIONI YA FEDHA ZA RUZUKU YA MAENDELEO JIMBONI LUDEWA- NJOMBE.
"Asante sana Mhe. Rais Samia Samia Suluhu Hassan kwa Fedha nyingi za Ruzuku ya Miradi ya Maendeleo kwenye Jimbo letu la Ludewa. Haijawahi kutokea fedha kuletwa mapema hivyo kabla ya msimu wa mvua kuanza, hii...
Hapa nchini tangu zamani tumekuwa tukisikia, kushiriki au kuona (kushuhudia) MIRADI mbalimbali inayoanzishwa na kusimamiwa na Serikali kwa lengo la kuleta maendeleo kwenye Jamii husika. Mfano: Miradi ya Maji, Umeme, Barabara, Shule, Vyuo na Vituo vya Afya n.k
Miradi hii baadhi imekuwa...
Nitaendelea kuuimba huu wimbo Hadi DOLA (the state) wausikie!
Kama mishahara ya kufuru na maposho ya makubwa yataendelea kumwagwa kwenye siasa zetu tusahau MAENDELEO ya kweli KWA nchi yetu!
Kama ma PhD holders na maprofesa wataacha kufanya tafiti zao na kukimbilia siasa Ili wapate MAPESA...
Wakuu kama mnavyojua kuna mchakato wa kutafuta vazi la taifa huko na kuna kamati zimeundwa, hizi zote zitakula muda na fedha
Nashauri vazi la taia liwe hili kwani linamtambulisha mtanzania popote pale duniani na ni la kisasa pia
ZIKO WAPI TRILIONI 360 ZA WATANZANIA? JE NI KESI YA MADAI HALALI AU MADAI HEWA? JE MAWAZIRI WA FEDHA WANATOSHA AU HAWATOSHI?
Leo 12:15hrs 23/09/2022
Ndugu zangu Mh Luhaga Mpina ni Mbunge pekee kwa sasa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano anaetukumbusha na kutuonesha watanzania dhati ya...
Wewe! Wewe Makinika!
Wanyamwezi wa jimbo la Igalula sio wajinga!wanaziona sarakasi zako!
Tumia akili
Serikali imejitahidi kufikisha umeme vijijini Sasa ni jukumu lako kuhakikisha unasambazwa kwa wapiga kura wako!KUTUMIA mfuko wa jimbo anza kwenye vijiji ambavyo TAYARI umeme ushafika lakini...
Mheshimiwa Rais kuna UPIGAJI MKUBWA unaenda kufanyika hapa, tunakuomba uwe mkali kama Hayati Magufuli ili fedha hizi tulipwe sasa. Walikudanganya kwamba tungelipwa kufikia Septemba 15, hadi leo hii ni SARAKASI tu zinaendelea.
Mheshimiwa Rais tunakuomba ufike Mwanza na kutoa maelekezo, fedha...
Wachambuzi wa masuala ya Uchumi wamesema viwango vya juu vya ada za kubadilisha fedha wakati wa malipo ya miamala ya kuvuka mipaka inaathiri sana biashara ya kikanda.
Kutokuwepo kwa sarafu moja ya Jumuiya ya Nchi 7 za Afrika Mashariki na kushindwa kuoanisha mfumo wa malipo ni miongoni mwa mambo...
Muswada huu unapendekeza kufanya mrekebisho katika Sheria tano ambazo ni Sheria ya Ushuru wa Bidhaa, Sura ya 147, Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Sheria ya Ushuru wa Barabara na Mafuta, Sura ya 220 na Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani, Sura ya 148.
Muswada huu umegawanyika katika...
Kama hana hiyo taarifa basi mfikishieni hizi taarifa.
Mchele kwa sasa low quality unaupata kwa 3000-3200, high quality unaenda mpaka 4000. Unga, maharage, dagaa, tambi, ngano zote zinazidi kupaa.
Wakati kama huu sasa ndiyo tulitakiwa tuone matumizi sahihi ya tozo, eneo la vyakula ni nyeti sana...
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba wasaidie mgao wa fedha za tozo ulizokusanya walimu wa Sekondari ya Hassanal Damji waweze kujenga vyoo waondokane na aibu hii kubwa.
Barua ya Wazi kwa Waziri wa TAMISEMI, Mhe Innocent Bashungwa
Sisi wananchi Bagamoyo ambao ni Wazazi wa wanafunzi wa Shule ya...
TANZANIA BILA TOZO INAWEZEKANA.
Leo 12:15hrs 10/09/2022
Tozo ni makato yanayofanywa katika kila hatua ya mtu kutaka kuitumia fedha yake, jambo ambalo halishauriwi kwenye kodi,chukulia kwa mfanyakazi aliyelipwa mshahara wake benki,akitoa anakatwa tozo wakati tayari ameshakatwa kodi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.