fedha

  1. JamiiForums Tanzania Wanaotumwa kuwachukulia fedha za TASAF wazee na wasiojiweza wanawaibia

    Imeibainika kuwa baadhi ya ndugu, jamaa, marafiki na hata majirani wanaowachakulia fedha za mfuko wa TASAF wahusika wa makundi maalumu kama vile watu wenye ulemavu. Vipofu, wazee nk. ambao hawawezi kufuata wenyewe fedha za mfuko huo, wamekuwa wakiibiwa kwa kupewa fedha Pungufu au kutopewa kabisa...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI Tunaomba usitishe mafunzo haya, huu ni upigaji wa fedha na mafunzo yatolewe online

    Kwa heshima na taadhima ninamuomba Waziri wa Tamisemi asitishe mafunzo haya kwani katana tija na ni upotevu mkubwa wa fedha Za umma. 1. Mafunzo Haya watumishi wanasafiri kipindi cha sikujua Za mwisho wa mwaka 2. Mafunzo Haya tafanyikie kwenye kila mkoa au kila Wilaya 3. Fedha Za mafunzo Haya...
  3. JamiiForums Tanzania Fedha/ uchumi Ni uhuru

    Katika masuala ya Uhuru , fedha au uchumi ndio kitakufanya kuwa Huru. Nje na hapo utakuwa mtumwa iwe kwenye ndoa au popote Kama hauna kitu haiwezi kuwa na maamuzi katika maisha yako na hii Ni kwa wote
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania yawekwa kwenye uangalizi Maalumu hadi itekeleze ahadi ya Kupambana na Utakatishaji Fedha na Ufadhili wa Ugaidi

    Hatua hiyo imefanywa na Kitengo Maalum cha Kimataifa cha Udhibiti wa Fedha Haramu (FATF) kwa kuziweka Nchi 4 za Afrika Mashariki (Tanzania, Uganda, Sudan Kusini na DR-Congo) ambazo zimeahidi kuongeza hatua kali katika kupambana na Utakatishaji Fedha na Ufadhili wa Ugaidi na Kuenea kwa Silaha...
  5. JamiiForums Tanzania Mwandishi nguli na Mkuu wa Dawati la Uchunguzi JF, Simon Mkina achaguliwa kushiri mafunzo ya kung’amua na kuzuia Utakatishaji Fedha

    Mkuu wa Dawati la Uchunguzi (Investigative Desk) la JamiiForums, Mwandishi Mwandamizi, Simon Mkina amechaguliwa kushiriki mafunzo maalum ya mwaka mmoja ya kung'amua na kuzuia Utakatishaji Fedha Duniani. Mkina anakuwa mshiriki pekee kutoka Afrika (kwa awamu hii) kati ya Waandishi 12 wa Habari za...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Serikali hasa TAKUKURU tuambieni nani amekula fedha za vijana wa timu ya taifa under 15? Wameshinda milioni 180 wamepewa elfu 20 wakatelekezwa na TFF

    Watanzania tunaukatili fulani usio semwa. Timu ya Taifa imeshinda mshindi wa pili na kulipwa milioni 180 + lakini TFF baada ya michezo wamepanda mashangingi yao wakarejea DAr es salaam tena wakichukua hata jezi za vijana hawa wadogo na kuwaacha waendelee kuteseka. Cha zaidi walichofanya wamewapa...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania Inategemea Wahisani Kuendesha Bajeti ya Fedha

    Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/2024 ni Tsh trilioni 44.38, sawa na $17.6 bilioni. Mafungu makubwa mawili ya fedha zilizotengwa ni ulipaji madeni na uendeshaji wa shughuli za utawala. Bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2023/2024 Katika fedha hizo Tsh trilioni 6.31 zitatumika kulipa deni la taifa...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba awataka Watanzania kuacha tabia ya kuhifadhi fedha nyumbani

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewataka Watanzania kutumia benki kuhifadhi fedha zao ili kuhakikisha usalama wa fedha zao na usalama wao na kuacha tabia ya kuhifadhi fedha nyumbani. Dkt. Nchemba aliyasema hayo Jijini Dodoma wakati akizindua Tawi la Benki ya watu wa Zanzibar (PBZ)...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wanaficha costs za safari na sababu ya kuwa huko maana Watanzania wamekuwa wakilalamika matumizi ya hovyo ya fedha zao

    Haiwezekani Second on Top nationa l ranking administratively/power atoke nchini for 30 days halafu uwaambie wenye akili eti alikuwa kwenye kazi maalum. Watu si wajinga wajue! 1. Mnaficha gharama z safari be it matibabu or else other bussiness 2. Mnaficha ugonjwa Yatajulikana maana huko...
  10. JamiiForums Tanzania Mradi wa SGR lot no 4, YAPI MERKEZ yaanza kufunga virago, inasemekana ni baada ya serikali kukosa fedha za kuwalipa

    Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Watanzania wenzetu, kaya zaid ya elfu 3 zinakosa ajira ya moja kwa moja baada ya mradi wa Tabora-Isaka, kusimama, na YAPI MERKEZ kuanza kulipa wafanyakazi wake stahiki zao. Batch ya kwanza imelipwa Jumatatu iliyopita, batch ya pili majina yatatoka Jumatatu ya...
  11. JamiiForums Tanzania Viatamizi vya BBT vya Unenepeshaji Mifugo ni hoi bin taabani. Raisi aliyetoa fedha anafichwa ukweli. Ngombe hawanenepeshwi ni vurugu tupu

    Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo; 1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa...
  12. JamiiForums Tanzania Fedha na Mungu ndiyo mtetezi wako, jitahidi utafute kwa bidii hivyo vitu viwili

    • Siku ukikamatwa kwa kosa la kuzurura mjini hapo mtetezi wako ni Mungu na fedha tu, vinginevyo utapewa hata kesi ya mauaji. • Siku ukishikwa na ugonjwa barabara hapo mtetezi wako ni Mungu na pesa tu. • Siku ukifukuzwa kazi ndipo utajua kuwa mtetezi wako ni pesa na Mungu tu. • Siku...
  13. JamiiForums Tanzania Kanuni 50 Za Kukusaidia Kutengeneza Fedha Kwenye Uwekezaji Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo

    Darasa la leo ninakushirikisha moja ya kanuni chache za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Kanuni ambazo ni muhimu sana kuzifahamu. Ni kanuni ambazo unatakiwa kuzifanyia kazi mara kwa mara ili uweze kuona matunda ya kanuni hizo. Kwa kuzifanyia kazi na kuona matokeo yake, imani itajengeka juu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Komredi Shemsa Mohammed Aitaka Serikali Kutenga Fedha Kukamilisha Miradi ya SEQUIP & BOOST Mkoani Simiyu

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu kimeitaka serikali kutenga bajeti ili kukamilisha maboma ya zanahati, vyumba vya madarasa, nyumba za walimu ambazo zimejengwa kwa nguvu za wananchi. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa huo, Shemsa Mohammed wakati akiongea kwa nyakati tofauti na...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Watoa huduma za fedha punguzeni riba ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo rasmi

    Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za kifedha wapunguze gharama za upatikanaji wa huduma za fedha zikiwemo riba na ada ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo rasmi. Wito huo umetolewa leo (Jumatano, Novemba 22, 2023) wakati anafungua Wiki ya Huduma ya Fedha...
  16. JamiiForums Tanzania RC wa Arusha atembelea Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongela (katikati), akiwasili katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha yanapofanyika Maadhimisho ya Wiki ya Huduma za Fedha Kitaifa, yenye kauli mbiu “Elimu ya Fedha, Msingi wa Maendeleo ya Uchumi”. Kushoto ni Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uendelezaji wa...
  17. JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Halmashauri 2 wasimamishwa kazi kwa kushindwa kusimamia Miradi ya Maendeleo

  18. S

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye ushahidi au mfano wa BOT kuchukua hatua kwa watu binafsi na Taasisi zinazoto mkopo bila kuzingatia sheria ya huduma ndogo xa fedha?

    HIili swala la mikopo uumiza mitaani na na kwa njia ya online, limegeuka kilio na maumivu kwa watu wengi na ushahidi ni kuongezeka kwa nyuzi(thread) kuhusu mikopo umiza hapa hspa JamiiForums. Malalamiko haya hayajaanza leo, jana wala juzi, bali ni ya muda mrefu na bahati nzuri serikali ikaja na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Nani anatoa fedha za miradi, Rais au Serikali kutokana na bajeti yake?

    Mara nyingi nimewasikia viongozi mba;i mbali mfano Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi Watendaji na wengine wengi wakisema tunamshukuru Mhe. Rais kwa kutoa mabilioni kadhaa katika mradi fulani. Naomba mnielemishe. Je, ni Mhe. Rais ndiye anayetoa fedha za miradi yote kutoka...
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waziri Mchengerwa njoo Halmashari ya Ngara Watumishi Wapya hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Sisi watu wa ajira mpya kada mbalimbali tofauti na Elimu na Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera hatujalipwa fedha za kujikimu. Mfano Kada ya Maliasili na Mazingira, hatujalipwa fedha za kujikimu na tunazungushwa sana, fedha zikiingia Halmashauri wanazipangia vipaumbele vyao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…