fedha

  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Juliana Masaburi Aibana Wizara ya Ardhi Kuhusu Kutumia Fedha za Kigeni Katika Malipo ya Upangishaji Nyumba

    MBUNGE JULIANA MASABURI AIBANA WIZARA YA ARDHI KUHUSU KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KATIKA MALIPO YA UPANGISHAJI NYUMBA Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum, ambaye swali lake namba 15 kwa niaba limeulizwa na Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini, Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo...
  2. JamiiForums Tanzania Majaliwa: Suala la Picha ya Rais Samia kuwekwa kwenye fedha litajadiliwa

    Akijibu hoja ya Ng'wasi Kamani kuhusu kuwekwa kwa picha ya Rais Samia kwenye fedha zetu Bungeni leo, PM Majaliwa amesema suala hilo litajadiliwa kwa kina. "Maamuzi ya kuweka picha kwenye noti mara nyingi yanafanywa na kiongozi mwenyewe kwa kushauriana na Benki Kuu, kwa kuwa umelileta hili na...
  3. JamiiForums Tanzania Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania

    Naunga mkono wazo la Mbunge kuweka Picha ya Rais Samia kwenye Sarafu ya Tanzania ili kutunza kumbukumbu na alama muhimu ya Maendeleo ya Nchi yetu. BoT fanyeni haraka wazo hili. === Mhe. Waziri Mkuu mwaka 2006 Bunge hili lilipitisha sheria ya Benki Kuu ya Tanzania ya kuipa mamlaka benki hii...
  4. JamiiForums Tanzania Waratibu wa Afya ngazi zote wametakiwa kuhakikisha wanasimamia fedha za chanjo na lishe zinazotolewa na Wadau pamoja na Serikali

    Na WAF - DAR ES SALAAM Waratibu wa Afya ngazi zote wametakiwa kuhakikisha wanasimamia fedha za chanjo na lishe zinazotolewa na Wadau pamoja na Serikali zinafika zinapokusudiwa kwa wakati ili kupunguza tatizo la Ukosefu wa elimu ya lishe na magonjwa ya mlipuko. Hayo yamesemwa na Naibu katibu...
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wizara ya Fedha kuhusu kuongeza mapato kupitia usajili wa namba za magari

    Waziri wa Fedha pamoja na wasaidizi wako nataka niwashauri kuhusu kodi ya plate number binafsi [Majina kwenye plate Namba] za vyombo vya moto (Magari) kama tunataka kuongeza mapato huduma hiyo iwe na watumiaji wengi Ishuke iwe kwa mwezi, serikali iweke Tsh laki moja kwa mwezi [100,000] itapata...
  6. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa misikiti ni kichaka cha upigaji wa fedha za wafadhili

    Ndugu zangu waislamu, nimekuwa nikitembea maeneo mengi sana, misikiti inajengwa hata sehemu kusipokuwa na waumini wa kuswali ndani ya misikiti hiyo. Muda wote inakaa imefungwa tu, misikiti imekuwa ni nyumba za popo. Misikiti hii mingi inajengwa kwa fedha zinazotolewa na wafadhili. Vipo vitu...
  7. JamiiForums Tanzania Kanuni: Ili kukabiliana na upungufu wa fedha za kigeni lazima Shilingi ishuke thamani

    Katika kanuni za uchumi kawaida nyumbani ni lazima kuongeza mapato na uzalishaji. Kwa level ya nchi katika kukabiliana hali mbaya ya uchumi nchi hufanya mambo kadhaa kuhakikisha uchumi unakuwa imara. 1. Kuongeza export 2. kununua dhahabu 3. kupunguza matumizi ya serikali. 4. Mikopo ya hela za...
  8. JamiiForums Tanzania Kutokana na kuendelea kuharibika kwa miundombinu ya barabara kwa mvua, Waziri wa TAMISEMI aagiza marekebisho kwa fedha za dharura

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ameuelekeza Wakala wa barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kutumia Bilioni 40 fedha za dharura kukarabati miundombinu ya madaraja na barabara zilizoharibiwa na mvua za Elinino zinazoendelea kunyesha...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa Elimu: Prof. Mkenda, kituo cha Walimu (TRC) Mawenzi Moshi Manispaa wanakusanya michango kutoka kila shule bila kibali chako

    TANGAZO KWA WAKUU WOTE WA SHULE MOSHI MANISPAA: Wakuu wa Shule za msingi Moshi Manispaa, Mkoa wa Kilimanjaro ,tafadhali wasilisheni michango kwa ajili ya chakula cha walimu watakaohudhuria semina kesho, tarehe 25.01.2024. Kila shule au kituo kinatakiwa kuchangia bila kukosa ni TSh. 100...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada wa mwenye taarifa za fedha za simba sc

    Habari ya muda huu wakuu, Niende moja kwa moja kwenye swali langu , mwanachama aliyeshiriki kwenye mkutano mkuu wa simba na anajua taarifa za fedha ? Au anielekeza sehemu ya kupata online
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mzunguko wa fedha kwa sasa ni kidogo sana

    Ndugu zangu kuna tatizo gani mzunguko wa fedha umekuwa ni kidogo sana. Biashara haziendi kabisa na kama vile biashara zimesimama kabisa. Kama nchi tunaelekea wapi?.
  12. JamiiForums Tanzania Uahirishaji wa kesi ni chanzo cha kupoteza muda na fedha kwa wananchi

    Je, kesi mahakamani inachukua muda gani hadi kusikilizwa? Hili ni suala linalomkabili mama mmoja mkazi wa Kawe ambaye alinunua kiwanja Mapinga kutoka kwa bodaboda mmoja anaemwamini. Hata hivyo, alipokwenda kuangalia ardhi hiyo, aligundua kwamba kuna mtu tayari ameshaanza kujenga, na baadaye...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam imetumia mabilioni ya fedha kuziba mashimo barabarani, miezi miwili baadaye 80% ya mashimo yaliyozibwa yamerudi

    Kwa mtu ambae hana fani ya uhandisi angeona kwamba Dar es Salaam ya Chalamila ilifanya kazi nzuri sana miezi ya October na November 2023, kuziba mashimo mengi sana yaliyokuwa barabarani. Lakini baadhi ya mainjinia walituambia kilichokuwa kinafanyika ulikuwa ni utoto na kupiga fedha za serikali...
  14. JamiiForums Tanzania Ngara: Taarifa ya Kupokea Mamilioni ya Fedha Kutoka kwa Rais Samia Kwenda Jimbo la Ngara

    Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO anapenda kuwajulisha wananchi wote wa Jimbo la Ngara kuwa kazi yake ya uwakilishi inaendelea kulipa baada ya kushiriki kuipitisha Bajeti ya Serikali sambamba na kufuatilia fedha za kujenga miundombinu mbalimbali ndani ya Jimbo la Ngara...
  15. JamiiForums Tanzania Unaweza kurudisha Muamala wa Fedha iliyotumwa kimakosa kwenye akaunti yako ukiwa umefulia mbaya?

    Chukulia umekata ringi balaa halafu mtu kajichanganya katuma fedha kwako iwe kwenye akaunti ya Benki au Simu halafu akaomba urudishe, utatuma hiyo hela?
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mnaotoa fedha kupitia NMB wakala kuweni makini

    Habar za muda huu! Niende kwenye mada husika. Leo nilikuwa na jamaa yangu kuna sehemu tunaenda tupo na pikipiki, so jamaa akaona tupitie kwenye ATM atoe fedha kwa ajili ya mafuta. Tunaingia kwenye ATM, hapo kwenye ATM kuna sheli ya mafuta lakini mabasi yanayoenda mikoani wanapita hapo kwa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru ya Uchaguzi wanayoitaka ili iwe huru kweli iendeshwe na fedha za wanaotaka kuchaguliwa siyo na Serikali

    Kumekuwepo na kelele za mda mrefu za uhuru wa tume ya uchaguzi. mambo yanayoguswa ni :- inavyoundwa watumishi wake Kwa mswada uliopelekwa bungeni na inavyopendekezwa inalekea suala la namna inavyoundwa na kupatikana watumishi wake yakapata majibu. Lakini bado lipo suala la nani ataipa fedha za...
  18. JamiiForums Tanzania Makusanyo ya kodi ya nusu mwaka wa fedha 2023/2024

  19. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Rais Samia kaelekeza Bonyokwa iongezewe fedha ili maji yatoke Saa 24

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa eneo la Bonyokwa Jijini Dar es Salaam lina kero ya kutopata Huduma ya Maji kwa takriban Wiki 5, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema maelekezo yametolewa kwa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha wakazi wa...
  20. U

    JamiiForums Tanzania TAHLISO yageuka genge la mtaji wa fedha kwa viongozi wa TAHLISO

    UTANGULIZI TAHLISO ni Jumuiya ya Wanafunzi wa elimu ya Juu (Vyuo na Vyuo Vikuu) Tanzania. Ilisajiliwa mwaka 2004 ili kuwa sehemu ya kuziunganisha serikali hizi/wanafunzi hawa kwa ajili ya kuwasilisha changamoto, maoni na mapendekezo yanayogusa maslahi ya wanafunzi wote wa Elimu ya Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…