Zacht
JF-Expert Member
- Jul 17, 2020
- 1,115
- 2,446
Kuna ripoti ya uchunguzi imetolewa (BIBI FILES) wakati vita ikiendelea kati ya Iran na Israel. Ripoti hiyo ni video inayomuonyesha Netanyahu akifanyiwa mahojiano na vyombo vya usalama kuhusu tuhuma za ubadhirifu wa fedha.
Katika ripoti hiyo, Netanyahu anakiri kuwa alitoa ufadhili wa kifedha kwa Hamas ijiimarisha , kwa lengo la kufanya Gaza ibaki katika hali ya kutokua na utulivu na hivyo kuzuia Wapalestina wa Gaza na West Bank wasiungane.
Kama mnakumbuka, Qatar ilianza kutoa misaada kwa watu wa Gaza kwa madai ya kusaidia mishahara ya wafanyakazi, mafuta, na mahitaji ya kibinadamu. Kuanzia mwaka 2018, Israel (chini ya uongozi wa Netanyahu) iliidhinisha misaada hiyo iingie Gaza.
Kilicholikuwa kinafanyika nyuma ya pazia ni kwamba Netanyahu alikuwa anaruhusu fedha ziende kwa Hamas kupitia Qatar kwa kivuli cha misaada. zaidi ya dola bilioni 1 zilitolewa, kwa kiwango cha takriban dola milioni 35 kila mwezi. Netanyahu aliruhusu pesa hizo kupita katika mipaka ya Israel, na wakati mwingine zililetwa hata kwenye mabegi
Fedha hizo zinadaiwa kusaidia kuimarisha uwezo wa kijeshi wa Hamas, ikiwa ni pamoja na kujenga mahandaki na kununua silaha. Wengi walikuwa wanajiuliza Hamas wanapata wapi fedha za kuendelea kupigana dhidi ya nchi yenye nguvu kama Israel, huku wengi wakiamini kuwa Iran ndiyo mfadhili mkuu. Hatimaye ukweli unaanza kujitokeza.
Hata tukio la Oktoba 7 lilikuwa limeandaliwa kimkakati, Mossad ndio imetengeneza mazingira litokee,wiki chache kabla ya Oktoba 7, 2023, Israel iliomba Qatar kuongeza msaada huo.
Hio hapa chini video fully ya netanyahu akifanyiwa interrogation
View: https://x.com/i/status/2037699139685814299