Hello! Habari zanu wana familia ya JF

Fantastic boy

Member
May 10, 2022
15
15
Jina langu naitwa Elikana Nikodemo Elikana, Kiukweli nafarijika sana napokuwa humu japo nilikuwa bado sijajiunga rasmi ila sasa nashukuru tupo pamoja...!! Ahsanteni sanaaaa

Pia binafsi ningependa kuomba ushauri..!!
  • Mimi ni kijana ninayeamini sana kupitia sanaa itanifikisha katika malengo na itanikwamua kiuchumi...!! Ndoto yangu ni kuwa mtangazaji mkubwa wa radio pamoja na runinga..!!
  • Elimu yangu mwisho kidato cha nne nilipata four ya 31 yenye D mbili tuu English and swahili
  • Nilijaribu kazi mbalimbali ili kujipatia kipapto nikasome ila nilikwama pia support sikuipata kutoka kaa wazazi wangu!! Nimefanya sanaa ya uigizaji, Nimefanya sanaa ya Muziki mpaka muda huu nafanya SIMULIZI za sauti na pia fact mbalimbali za sauti ila bado ndoho yangu ni kuwa mtangazaji..!!
Tafadhali ndugu zangu kwa yeyote ambaye ataona yupo tayari kusikiliza kazi zangu baadhi na kunishauri ama kunisaidia ndoto yangu itimie anitafute, kiukweli sina msaada nimekwama kabisa kabisa..(Miaka 24 tu)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom