familia

"Família" is the seventh single by Brazilian rock band Titãs, released in 1987. The song is about the everyday issues of a family.It was once covered by Molejo on their 1998 album Família. The song was featured on the Rede Manchete telenovela Corpo Santo.
In 2013, bass player and vocalist Nando Reis (now an ex-member) recorded a new version of the song with his sons Théo and Sebastião. The new version is being used as the opening theme of the 2013 season of Rede Globo's Malhação. While Sebastião played acoustic guitar, Nando Reis and Théo sang, sharing the same microphone, like The Beatles used to do, "in order to create a more familiar atmosphere", according to Reis.

View More On Wikipedia.org
  1. Mbwa aina ya Bulldog wajeruhi familia

    Usiku wa kuamkia leo Tarehe 8/1/2024 majira ya saa Nne usiku Familia ya Ndugu Nicholaus Kunju ilishambuliwa na Mbwa na kuisababishia madhara Kwenye sehemu mbalimbali za miili yao,walio shambuliwa ni Mke wake pamoja na watoto. Walikuwa Mbwa aina ya Bull dog ambao anawafuga kwa ajili ya ulinzi...
  2. Heartbreak 💔. Upendo Wetu Ni Muhimu 💕

    "Ingawa mioyo yetu inapitia maporomoko. 💔➡️❤️ [" #UpendoWetuNiMuhimu"] , Lakini Kuna Siku ambazo moyo unahisi uzito wa yale yote unayo yapitia katika maisha, iwe katika utafutaji wa kifedha, misukosuko ya kimapenzi au kifamilia, kumcha mungu katika ibada. [ #SikuKwaSikuJourney ] • Je, wewe...
  3. Wengine mnaoa familia gani? Milioni 22 mahari pekeee? Nonsese

    Hivi kuna wanaume wwngine wapoje? Yaani unamuomba msamaha mwanamke mrudiane hivi unajua akili za mwanamke akijua kwamba weww mwanaume ni bwege?mjinga au mpumbavu? Ok ila nisiseme sana maana kuna watu wanasema maumivu ya mapenzi ni yanauma sana ila sijajua aisee ila wewe umewahi kupigwa na...
  4. Kabla hujaisema serikali kushindwa jiangalie wewe mwenyewe umeweza kuongoza Familia yako

    Habari za Mwaka Mpya Wakuu! Kuna Watu ni wepesi sana kutoa vibanzi katika macho ya wenzao ilhali wao wako na boriti. Serikali imeshindwa! Rais gani huyo! Viongozi wa nchi hii ni wajinga sana! Maneno ni mengi. Sawa. Ni haki yao. Lakini Haki inapotea pale ambapo mtu hastahili kukosoa kile...
  5. Tuzifahamu familia 13 za Illuminati zinazoiendesha dunia na maisha ya binadamu katika nyanja zote

    TUZIFAHAMU FAMILIA 13 ZA ILLUMINATI ZINAZOIENDESHA DUNIA NA MAISHA YA BINADAMU KATIKA NYANJA ZOTE. Kwa nini ni muhimu kuzifahamu familia 13 za illuminati? Katika kitabu kinachoitwa"Holy blood Holy Grail" unaweza kuona umuhimu wa kuzifahamu familia hizi 13 zinazoutikisa ulimwengu bila ya...
  6. R

    Familia ya Godbless Lema ni familia bora ya wanasiasa kwa mwaka 2023

    Umoja uliopo miongoni mwa Lema, mke wake na watoto ni wakuigwa. Wamelelewa kiimani, wanaishi kwa haki na awajawahi kuacha kutafuta kesho iliyo bora kwao na kwa wengine. Ni familia bora kwa mwaka 2023 ambayo wanasiasa wengi wenye madaraka itawachukua miaka kadhaa kuishi maisha ya hawa watu. Wana...
  7. Watu watatu wa Familia moja wafariki katika ajali ya gari Pwani

    Watu watatu wamefariki na wengine kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyohusisha lori na gari ndogo aina ya Toyota Alphard iliyotokea katika Kijiji cha Mbwembwe, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi mkoani humo Pius Lutumo amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa amepata...
  8. Tunapofika mwisho wa mwaka, haya ni mambo ambayo tunapaswa kujihadhari nayo

    Tunapofika mwisho wa mwaka, inafaa tujadili mambo tunatakiwa kujihadhari nayo tunapokwenda mbele. Nasita sasa kulihusisha jina la Nyerere na mambo ninayotaka kuyaandika sasa. Lakini wote tunataka maendeleo ya kiroho kwa hiyo ni bora tuyajadili mambo ambayo yanaweza kutukwamisha. Ni mambo...
  9. Mo Dewji na familia yake ambayo haioneshwi kwenye tv

    Asili ya Mo ni Gujarat ambapo kuna jamii kubwa ya wahindi weusi, kwa hiyo usipagawe sana .
  10. Nipeni ujuzi wa kujiendeleza kimasomo, nikiwa na familia inayonitegemea

    Hello happy Sunday... Ni muda tena narudi kwenu baada ya kitambo. Rafiki wa muda mrefu amepata changamoto kidogo,kwamba amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo ndani ya mkoa alipo na wakati huo ana mke na mtoto mmoja na nimuajiriwa wa serikali . Kujiendeleza huko kunakuja kwa sababu ya kuwa...
  11. Jamaa graduate anaangaliwa na familia yote na njia za hela hana ana miliki vyeti

    Vijana wa hivi wapo wengi kwa sasa depression itatumaliza vijana
  12. Oven ya ukubwa gani itafaa kwa matumizi ya familia ya watu 6?

    Wakuu salamu kwenu, Heri ya mwaka mpya 2024. Sasa wakuu, nahitaji kununua oven kwa ajiili ya matumizi ya familia ya watu 6-8. Ni oven kampuni gani nzuri itanifaa na za ujazo wa litre ngapi?
  13. Wabunge nchini Marekani wamepiga kura za kumwondoa Rais Biden madarakani kwa tuhuma za Rushwa na matumizi mabaya ya madaraka kuitajirisha familia yake

    Wabunge nchini Marekani wamepiga kura kukosa imani na Rais wao Joe Biden kwa malalamiko ya kwamba Rais anatumia madaraka yake kula rushwa, kutakatisha fedha na familia yake kuwa na utajiri wa mabilioni huku vyanzo vikitiliwa mashaka. Matokeo ya kura, Wabunge 221 wameunga mkono, wabunge 214...
  14. Netanyahu, kawambia familia za Mateka wa Israeli: Sitaweza kuwarudisha Mateka baada ya Hamas kukataa mazungumzo

    Wanaukumbi. Netanyahu to the Israeli prisoners’ families: I will not be able to return them all, and the families left the meeting angry. Sources: Hebrew Channel 12, Al Jazeera. 🚨🇵🇸 Hamas RESPONDS to NETANYAHU: "There will be no negotiations or exchange of detainees until Israel’s...
  15. R

    Kiimani zipo familia zikikaribishwa kwenye tawala lazima vifo na ajali viwe vingi; tujifunze kuchagua kwa kuongozwa na roho wa Mungu

    Zipo familia zikipewa nafasi ya kuongoza damu lazima itamwagika kwa wingi sana kwenye Taifa husika. Siyo watu wakuleta baraka bali ni watu wanaoambatana na laana. Zipo familia zikipewa nafasi wanaonungunika wanaongezeka ghafla. Manung'uniko yakizidi watu wanaacha kuombea kheri na hapo shetani...
  16. R

    Kama familia ya Sabaya imerejeshewa madaraka basi dhulma inalipa mapema kuliko haki

    Tuliona danadana mahakamani siku siyo nyingi mara tukaambiwa ameshinda kesi. Wakati tunatafakari mara paap mzazi wa mtuhumiwa ni Mwenyekiti wa chama mkoa. Funzo kubwa tunalopata hapa nikuwatesa wasiojitambua hadi wajitambue kwa sababu ni wajibu wao kujua mema na mabaya. Hii siyo Ishara nzuri...
  17. Je, Mahusiano gani mtu anatakiwa kuwa na familia yake?

    Je, Mahusiano gani mtu anatakiwa kuwa na familia yake? Kwa kutumia akili timamu mahusiano yote yanatakiwa kuwa kama ya mfanyabiashara na kanuni za biashara kwa maana yatushirikiane na watu kwa kubadilishanamaadili tofauti yanayofanana natunayoyapenda kama ubunifu, michezo au muziki na falsafa...
  18. Kilichopo Manyara ni humanitarian crisis. Saidia familia hata moja na utazidishiwa zaidi

    Watu 50 labda zaidi wamefariki. Miundo mbinu haswa ile ya familia masikini imeharibika vibaya mno. Majeruhi wengi wapo hospitalini. Nyakati kama hizi Sadaka yako inaweza kubadilisha mustakabali wa maisha yako. Sadaka yako inaweza tumika kuwapa faraja masikini walioathirika na naamini Mungu...
  19. Kwanini utajiri wa familia za Kitanzania sio endelevu vizazi kwa vizazi? Je chanzo ni Siasa na Utawala au ulozi?

    Hili swali kila siku najiuliza sipati majibu sahihi. Utajiri wa mababu zetu umeenda wapi? Uhakika ni kwamba walifanya kazi na walikuwa na mali za kutosha lakini kwa sasa hazionekani tena.
  20. F

    Mfuko wa familia , wanaochanga 5000 kila mwezi, wafikisha mapato zaidi ya milioni 100. familia zingine zinapaswa kuiga njia hii

    Mfuko wa familia ya marehemu kiswaga ya kyela mbeya wawa mfano au
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…