Netanyahu, kawambia familia za Mateka wa Israeli: Sitaweza kuwarudisha Mateka baada ya Hamas kukataa mazungumzo

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,978
32,387
Wanaukumbi.
Netanyahu to the Israeli prisoners’ families: I will not be able to return them all, and the families left the meeting angry.

Sources: Hebrew Channel 12, Al Jazeera.

🚨🇵🇸 Hamas RESPONDS to NETANYAHU:

"There will be no negotiations or exchange of detainees until Israel’s aggression against the Gaza strip stops.

We hold Netanyahu fully responsible for the lives of the Israeli hostages and for obstructing the completion of the exchange deall.
=========================
Netanyahu alikuwa na mkutano na familia za Mateka wa Israeli, baada kuulizwa vipi ndugu zetu lini watarudi. Akawajibu kuwa sitaweza kuwarudisha wote, wana familia wote wakaondoka kwenye mkutano kwa hasira.

Vyanzo: Kiebrania Channel 12, Al Jazeera

Hamas WAJIBU KWA NETANYAHU:

"Hakutakuwa na mazungumzo au kubadilishana Mateka na Wafungwa hadi uchokozi wa Israeli dhidi ya ukanda wa Gaza ukome.

Tunamwajibisha Netanyahu kikamilifu kwa maisha ya mateka wa Israel na kuzuia kukamilika kwa makubaliano ya kubadilishana wafungwa.
 
Attachments

  • IMG_7456.jpeg
    IMG_7456.jpeg
    48.9 KB · Views: 6
Israeli media: Today has been the most violent day since the start of the ground operation in the Gaza Strip, as we witnessed fierce fighting with the resistance factions in the Gaza Strip.
 
Wanaukumbi.
Netanyahu to the Israeli prisoners’ families: I will not be able to return them all, and the families left the meeting angry.

Sources: Hebrew Channel 12, Al Jazeera.

🚨🇵🇸 Hamas RESPONDS to NETANYAHU:

"There will be no negotiations or exchange of detainees until Israel’s aggression against the Gaza strip stops.

We hold Netanyahu fully responsible for the lives of the Israeli hostages and for obstructing the completion of the exchange deall.
=========================
Netanyahu alikuwa na mkutano na familia za Mateka wa Israeli, baada kuulizwa vipi ndugu zetu lini watarudi. Akawajibu kuwa sitaweza kuwarudisha wote, wana familia wote wakaondoka kwenye mkutano kwa hasira.

Vyanzo: Kiebrania Channel 12, Al Jazeera

Hamas WAJIBU KWA NETANYAHU:

"Hakutakuwa na mazungumzo au kubadilishana Mateka na Wafungwa hadi uchokozi wa Israeli dhidi ya ukanda wa Gaza ukome.

Tunamwajibisha Netanyahu kikamilifu kwa maisha ya mateka wa Israel na kuzuia kukamilika kwa makubaliano ya kubadilishana wafungwa.
Israel wanaitaka GAZA kwa udi na uvumba, walisikia HAMAS watavamia, wakanyuti ili wapate kisingizio cha kuvamia GAZA.
KWANINI?
GAS AND OIL. PERIOD...
 
Sema ambition ya Netanyahu ni kuifuta Hamas! Kitu ambacho kitachukua muda mrefu na wakati mwingine kisifanikiwe kabisa!
 
Ni kweli Vita siyo kwa ajili ya Kubadilishana Mateka
Suppose ungekuwa ni wewe umetekwa. Hatuishi mara 2 hapa Duniani. Kuwa na huruma kwa wenzako wanaopitia katika hali ngumu kama hao mateka. Suluhu ya mazungumzo ni njia bora zaidi katika kuokoa maisha ya watu na kukomesha umwagaji damu wa kimbari.
 
Unadhani Vita ya Israel na Palestine ni Sawa na Tanzania na Uganda 😂😂🐼
 
Israel wanatakiwa wajue kwamba hao mateka washapotea, wao waendelee kuchapana tuu kiume. Wavaa kobazi watawaua tuu hao mateka.
Amani hununuliwa na uhai na damu za watu, hiyo ndiyo kanuni ya dunia na kimbingu.
Damu zao zitanunua amani ya Israel kwa muda wote.
Wanajeshi wetu walionunua amani yetu kwa damu na uhai wao. Leo hatuna kitisho cha kuvamiwa na uganda.
Hao wayahudi wasipende ndg zao kuliko Taifa. Wanapenda sana kuishi.
Wala hawaoni wanajeshi wao wanaokufa vitani wanafia nchi yao.
Netanyahu usiwasukilize piga kazi hadi ushidi dhidi ya magaidi upatikane
 
Back
Top Bottom