Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,560
- 8,632
Hello happy Sunday...
Ni muda tena narudi kwenu baada ya kitambo.
Rafiki wa muda mrefu amepata changamoto kidogo,kwamba amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo ndani ya mkoa alipo na wakati huo ana mke na mtoto mmoja na nimuajiriwa wa serikali .
Kujiendeleza huko kunakuja kwa sababu ya kuwa karibu na kituo chake cha kazi muda wa ziada baada ya kazi.
Swali ni je?
-Kuna mtu aliishafanikisha jambo hilo?
-Je mbinu gani ni bora na rahisi atakazozitumia kuweza kumtenga na majukumu ya kifamilia kwa muda na kutulia kusoma?
Natanguliza shukrani....