faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. Watu wako serious —baada tu ya kujifunza na kujua faida zake wameanza kuyapanda majumba. Huu mmea unasurvive popote

    Watu wako serious —baada tu ya kujifunza na kujua faida zake wameanza kuyapanda majumba. Huu mmea unasurvive popote hata kama unaishi nyumba ya kupanga, panda kwenye ndoo na uweke chumbani kwako. Mdharau asili hufa kikatili
  2. Nimepiga punyeto asilimia 75 % ya umri wangu sasa namashaka na sperm zangu

    Kama kichwa cha habari kinavyosema nilikua mraibu wa punyeto kupita kiasi takribani robo tatu 3/4 ya umri wangu na maisha yangu.. Nilianza uraibu wa punyeto baada ya kubalehe tuu na niliijua kupitia kwa kiongozi wa dini ambaye mpaka leo na muona kuwa ni shetani. yeye ndiye aliyenifunza kupiga...
  3. M

    Hivi kuoa Kuna faida Gani?

    Mlioko kwenye ndoa mtuambie faida ya kuoa na wanawake kwanini mnapenda sana muolewe au ndo huwa mnatafuta pa kuponea?????
  4. 🔥 FAIDA ZA KUHAMA MTAA BAADA YA KUANZA KUPATA MAFANIKIO 🔥

    🩸 "Sio dharau, ni self-protection!" 1. 👉 Unajiokoa na wivu wa mtaa Mtaa una macho lakini hauna moyo. Watu waliocheka na wewe jana, wakiona unainuka, ghafla wanakuona kama adui. Kuhama ni kukwepa sumu ya midomo, wivu, na roho za kwanini. 2. 👉 Unajilinda na marafiki wanaotaka kula mafanikio yako...
  5. Kuoga kuna faida gani?

    Wakuu tangu niko mdogo nimezoeshwa kuoga kila siku ila sijawahi kuona faida yake Vipi kama nisipooga nitanuka halafu baada ya miezi harufu itakata na sitanuka tena. Si itakuwa niko huru maishani mwangu. Nakuwa sihitaji kuoga tena. Kwani uchafu ukizidi kwenye ngozi kuna madhara gani ya kiafya...
  6. M

    Faida ya elimu Tanzania iko wapi?

    Askari wa kidato Cha nne ana posho ya usafiri, chakula, vinywaji na akiwa na elimu ya diploma au degree au fani nyingine nayo inalipwa posho. Lakini Lecturer/Mhadhiri mwenye PH D Hana posho yeyote zaidi ya mshahara wake wa mwezi. Labda apambane na research abahatike kuokota chochote. Ndugu zangu...
  7. S

    Faida za kuoa mke "kicheche"

    Utangulizi. Hakunaga mwanamke kicheche ambaye siyo mzuri wa umbo, sura na rangi. Ni sifa hizo tatu ndiyo humpa nafasi na fursa ya kuwa kicheche, kwa kuwa anatakwa na kila mwanaume. Faida za mke kicheche. 1. Anakupa tulizo la moyo hata kwa kumuangalia tu umbo lake na sura yake. Muda wote...
  8. Hivi mtu na akili zako timamu unawekezaje milion 10 Ili ikuletee faida ya elfu 99 m wekeza huu ni ukichaa

    Yaani mtu unaweka milion 10 Ili ikuletee elfu 99 Kwa mwezi hivi watu wa aina hii Kuna rafiki yangu anamiaka 30 anafanya huu ujinga hivi Hawa watu waga wamerogwa maana hii pesa ukiifanyia biashara unavuna mpunga wa maana sana Kila mwezi aisee embu vijana changamsheni akili acheni kuzubaa
  9. M

    Faida za kukata pembe kwa ng'ombe (dehorning)

    Faida za Kukata Pembe kwa Ng’ombe (Dehorning):* --- 🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI ✂️ Faida za Kukata Pembe kwa Ng’ombe (Dehorning) --- 🔍 Dehorning ni nini? Ni zoezi la kuondoa pembe za ndama au ng’ombe ili kuboresha afya, usalama na ustawi wa mifugo. --- 🗓️ Muda Sahihi wa Kukata Pembe: ➡️ Wiki...
  10. Mpopoma - Mti Usiokuwa na Kazi. Epuka Kuwa (M)Popoma!

    MPOPOMA - Mti usio na kazi Wazaramo walipoona haufai kwa mbao, mkaa wala kwa kuni, wakaususa na kuuita mti usio na maana. Popote ulipomea, haukuguswa wala kushambuliwa na wavunaji wa miti, kwa sababu hauna kazi. Na matokeo yake, umekuwa miongoni mwa miti mirefu hifadhini Pugu Kazimzumbwi...
  11. Kwa Mara ya Kwanza Katika Historia ya Tanzania, Sekta ya Madini Yaingiza Serikalini Shilingi Trilioni 1.07

    Toka Nchi hii ya Tanzania ianze kuchimba na kuuza Madini ,Maduhuli na tozo za serikali haijawahi fikia Trilioni 1. Ni katika awamu hii ya mama Samia ndipo Sekta ya Madini imeweza kukusanya Fedha nyingi zaidi. Pia soma Sekta ya madini yafikia mchango wa asilimia 10.1 katika pato la taifa |...
  12. Kama kwako ni kopo lisilo na faida kwetu ni malighafi ya ubunifu wa vitu vingi . Tuletee

  13. M

    FAIDA YA KUHASI (CASTRATION) KWA NGURUWE DUME.

    --- 🐖📌 Elimu kwa Wafugaji – Kuhasi Nguruwe (Castration) Karibu kwenye somo letu kuhusu umuhimu wa kuhasi nguruwe dume. --- 🔍 Kuhasi ni nini? Ni mchakato wa kuondoa korodani za nguruwe dume wachanga ili kudhibiti uzalishaji wa homoni za kiume. --- 🗓️ Muda Sahihi wa Kuhasi: ➡️ Week ya 3...
  14. Kama eneo lako ni asili ya mchanga una faida nyingi sana kwenye ujenzi

    Kama eneo lako ni asili ya mchanga una faida nyingi sana kwenye ujenzi
  15. M

    Faida ya kukata mikia nguruwe (Piglet ) wako

    📌 Faida za Kukata Mikia kwa Nguruwe (Piglets): Karibu kwenye elimu ya huduma bora kwa piglets wako. 🗓️ Muda sahihi wa kukata mikia: Siku ya 3 hadi 5 baada ya kuzaliwa. 👉 Zoezi lifanywe mapema kabla ya mfumo wa neva kuwa na hisia kali, na kabla ya mikia kuanza kuwa migumu. --- ✅ Faida Muhimu...
  16. Faida na Hasara za Kuwa Mbunge zidi ya Faida na hasara za kuwa Mkuu wa Mkoa au Wilaya

    Faida na Hasara za Kuwa Mbunge Faida 1. Mamlaka ya Kisheria na Ushawishi wa Kitaifa Mbunge anashiriki kutunga sheria na kuisimamia serikali bungeni. Ana sauti kubwa kitaifa, anaweza kushinikiza miradi au sera zifanyike kwenye jimbo lake. 2. Heshima na Umashuhuri Ana hadhi kubwa kijamii na...
  17. N

    Faida za Kutumia Majina ya Asili Kama Utambulisho wa Jamii Yetu

    Faida za Kutumia Majina ya Asili Kama Utambulisho wa Jamii Yetu Katika kipindi cha sasa ambapo utandawazi umeenea kwa kasi, jamii nyingi barani Afrika zimeanza kupendelea kutumia majina ya kigeni hasa ya Kiarabu na ya Kiingereza, huku zikiyapuuza majina yao ya asili. Wapo wanaoona kuwa kutumia...
  18. App hii inakusaida kuongezea Faida na Kuboresha Ufugaji Wako Bila Stress !!

    Kama ushawahi kujiuliza kwamba kuku mmoja anakula kiasi gani akiwa na umri gani,basi Fuga app itakupa majibu yote kuhusu ratiba ya chakula,kila siku . Hautopoteza tena chakula wala kuwapunja tena kuku wako Download Fuga app playstore [ Fuga - Apps on Google Play]
  19. K

    Faida za kukulia Vijijini na kuja mjini kwa Hekima!

    Kukulia Vijijini kuna Faida zake Nyingi sana. Nilianza shule mjini Arusha Kaloleni shule ya msingi kwa Sasa hivi nasikia ni shule ya sekondari.Nilisoma pale hadi Darasa la Tatu(3),Nikiwa na Wazazi wangu,. Mwezi wa Sita tulienda likizo Mbeya kwa Babu na Bibi, tukiwa huko Babu yangu alinitaka...
  20. Haya mambo yana faida gani mbele ya Rais?

    Wakuu! Haya mambo pichani yana faida gani mbele ya raisi? Au yana tija gani kwa taifa letu? Sawa tunaweza kusema tunaenzi Utamaduni wetu, lakini kwanini tuenzi Utamaduni wetu mbele ya Raisi? Kila kabila lina namna ya kufanya mambo yake ya mila na tamaduni zake. Haya mambo pichani yanaonyesha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…