🩸 "Sio dharau, ni self-protection!"
1. 👉 Unajiokoa na wivu wa mtaa
Mtaa una macho lakini hauna moyo.
Watu waliocheka na wewe jana, wakiona unainuka, ghafla wanakuona kama adui.
Kuhama ni kukwepa sumu ya midomo, wivu, na roho za kwanini.
2. 👉 Unajilinda na marafiki wanaotaka kula mafanikio yako...
Wakuu tangu niko mdogo nimezoeshwa kuoga kila siku ila sijawahi kuona faida yake
Vipi kama nisipooga nitanuka halafu baada ya miezi harufu itakata na sitanuka tena. Si itakuwa niko huru maishani mwangu. Nakuwa sihitaji kuoga tena.
Kwani uchafu ukizidi kwenye ngozi kuna madhara gani ya kiafya...
Askari wa kidato Cha nne ana posho ya usafiri, chakula, vinywaji na akiwa na elimu ya diploma au degree au fani nyingine nayo inalipwa posho.
Lakini Lecturer/Mhadhiri mwenye PH D Hana posho yeyote zaidi ya mshahara wake wa mwezi.
Labda apambane na research abahatike kuokota chochote.
Ndugu zangu...
Utangulizi.
Hakunaga mwanamke kicheche ambaye siyo mzuri wa umbo, sura na rangi. Ni sifa hizo tatu ndiyo humpa nafasi na fursa ya kuwa kicheche, kwa kuwa anatakwa na kila mwanaume.
Faida za mke kicheche.
1. Anakupa tulizo la moyo hata kwa kumuangalia tu umbo lake na sura yake. Muda wote...
Yaani mtu unaweka milion 10 Ili ikuletee elfu 99 Kwa mwezi hivi watu wa aina hii Kuna rafiki yangu anamiaka 30 anafanya huu ujinga hivi Hawa watu waga wamerogwa maana hii pesa ukiifanyia biashara unavuna mpunga wa maana sana Kila mwezi aisee embu vijana changamsheni akili acheni kuzubaa
Faida za Kukata Pembe kwa Ng’ombe (Dehorning):*
---
🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI
✂️ Faida za Kukata Pembe kwa Ng’ombe (Dehorning)
---
🔍 Dehorning ni nini?
Ni zoezi la kuondoa pembe za ndama au ng’ombe ili kuboresha afya, usalama na ustawi wa mifugo.
---
🗓️ Muda Sahihi wa Kukata Pembe:
➡️ Wiki...
MPOPOMA - Mti usio na kazi
Wazaramo walipoona haufai kwa mbao, mkaa wala kwa kuni, wakaususa na kuuita mti usio na maana.
Popote ulipomea, haukuguswa wala kushambuliwa na wavunaji wa miti, kwa sababu hauna kazi. Na matokeo yake, umekuwa miongoni mwa miti mirefu hifadhini Pugu Kazimzumbwi...
Toka Nchi hii ya Tanzania ianze kuchimba na kuuza Madini ,Maduhuli na tozo za serikali haijawahi fikia Trilioni 1.
Ni katika awamu hii ya mama Samia ndipo Sekta ya Madini imeweza kukusanya Fedha nyingi zaidi.
Pia soma Sekta ya madini yafikia mchango wa asilimia 10.1 katika pato la taifa |...
---
🐖📌 Elimu kwa Wafugaji – Kuhasi Nguruwe (Castration)
Karibu kwenye somo letu kuhusu umuhimu wa kuhasi nguruwe dume.
---
🔍 Kuhasi ni nini?
Ni mchakato wa kuondoa korodani za nguruwe dume wachanga ili kudhibiti uzalishaji wa homoni za kiume.
---
🗓️ Muda Sahihi wa Kuhasi:
➡️ Week ya 3...
📌 Faida za Kukata Mikia kwa Nguruwe (Piglets):
Karibu kwenye elimu ya huduma bora kwa piglets wako.
🗓️ Muda sahihi wa kukata mikia: Siku ya 3 hadi 5 baada ya kuzaliwa.
👉 Zoezi lifanywe mapema kabla ya mfumo wa neva kuwa na hisia kali, na kabla ya mikia kuanza kuwa migumu.
---
✅ Faida Muhimu...
Faida na Hasara za Kuwa Mbunge
Faida
1. Mamlaka ya Kisheria na Ushawishi wa Kitaifa
Mbunge anashiriki kutunga sheria na kuisimamia serikali bungeni.
Ana sauti kubwa kitaifa, anaweza kushinikiza miradi au sera zifanyike kwenye jimbo lake.
2. Heshima na Umashuhuri
Ana hadhi kubwa kijamii na...
Faida za Kutumia Majina ya Asili Kama Utambulisho wa Jamii Yetu
Katika kipindi cha sasa ambapo utandawazi umeenea kwa kasi, jamii nyingi barani Afrika zimeanza kupendelea kutumia majina ya kigeni hasa ya Kiarabu na ya Kiingereza, huku zikiyapuuza majina yao ya asili. Wapo wanaoona kuwa kutumia...
Kama ushawahi kujiuliza kwamba kuku mmoja anakula kiasi gani akiwa na umri gani,basi Fuga app itakupa majibu yote kuhusu ratiba ya chakula,kila siku . Hautopoteza tena chakula wala kuwapunja tena kuku wako
Download Fuga app playstore [ Fuga - Apps on Google Play]
Kukulia Vijijini kuna Faida zake Nyingi sana.
Nilianza shule mjini Arusha Kaloleni shule ya msingi kwa Sasa hivi nasikia ni shule ya sekondari.Nilisoma pale hadi Darasa la Tatu(3),Nikiwa na Wazazi wangu,.
Mwezi wa Sita tulienda likizo Mbeya kwa Babu na Bibi, tukiwa huko Babu yangu alinitaka...
Wakuu!
Haya mambo pichani yana faida gani mbele ya raisi? Au yana tija gani kwa taifa letu?
Sawa tunaweza kusema tunaenzi Utamaduni wetu, lakini kwanini tuenzi Utamaduni wetu mbele ya Raisi?
Kila kabila lina namna ya kufanya mambo yake ya mila na tamaduni zake. Haya mambo pichani yanaonyesha...
Ingawa wengi hupendelea mafundi wa karibu, kutumia fundi kutoka mbali kunaweza kuwa na faida maalum kulingana na mahitaji na mazingira ya mradi wako. Hapa kuna baadhi ya faida zake:
1. Utaalamu wa kipekee – Fundi kutoka mbali anaweza kuwa na maarifa au uzoefu wa kipekee ambao haumpati fundi wa...
Habarini za Wakati Huu Ndugu wanajamvi.
Nimekua nikifuatilia vita ambavyo vimekua vikiendelea toka nikiwa mdg huko nikiwa sifahamu lolote hadi nimekua mtu mzima nafuatilia kwa ukaribu sana. Mauaji yanayofanyika huko yanaumiza moyo na niwazi kwamba Hivi vita vitadumu maisha yote hata mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.