Kariakoo ni moyo wa biashara Tanzania. Watu wengi hufika hapa kila siku kutafuta bidhaa kwa bei nafuu, lakini wachache sana wanajua kuwa ndani ya msongamano huo — kuna machimbo halisi ya faida.
nitakuonesha faida kuu za kuagiza bidhaa kutoka Kariakoo, hata bila kwenda mwenyewe dukani, na...
Za leo wakuu
Nauliza hili, maana pia naona simulizi nyingi humu na za kuvutia zikiwa ndefu vya kutosha. Nitafaidika vipi na utaratibu ni upi wa kuanza kuweka?
Natanguliza shukrani zangu
Tunapokutana na matatizo au changamoto mbalimbali tunapata fursa ya kuchagua mambo mawili. Mosi ni kukabiliana na changamoto na kujaribu kuzitatua ili zisiwepo na jambo la pili ni kujaribu kuzoea changamoto na kuendelea kuishi nazo hata kama zinakutesa.
Miaka mitano iliyopita bi mkubwa wetu...
Mimi najivunia tu kinaniwezesha kusoma habari hapa jamii F basi hata mtandao wa x habari nyingi na nzuri ni za english pia vitabu vingi vilivoandikwa na viongozi au wasomi wa tanzania vingi ni kwa kiingereza labda tu erick shigongo ndo kaandika kwa kiswahili.
Kutoka kwenye kichwa HapO Nina 2M nataka kufungua kibanda cha chipsi nimuweke jamaa maeneo Kati ya Goba Centre,Tegeta Nyuki na Mbezi
Nifanye nini kuepuka
1.Kuibiwa na muuzaji maana Mimi nitakuwa naendelea na kazi zangu zingine
2.Changamoto na namna ya kuziepuka
3.Nifanye nini ili kuvutia...
Aloo kuna mitingo mingi yenye kuleta stimu lakini sigara haina faida yeyote, hupati stimu yeyeto zaidi ya kuujaza moshi kwenye mapafu tu.
Alafu ilivyo na uraibu mbaya yani ukiamka asubuhi tu chakwanza fegi iko wapi, kosa usishibe msosi utaitafuta fegi ilipo wengine wamefika mbali hawezi kupata...
Unapofikiria kuanzisha biashara, hatua ya kwanza muhimu zaidi ni kusajili rasmi biashara yako. Sababu ni rahisi: bila usajili, biashara yako haina kinga ya kisheria, haiaminiki machoni pa wateja na wawekezaji, na inakuwa rahisi sana kuibiwa jina lako la biashara.
A. Usajili wa Jina la Biashara...
Katika ulimwengu wa biashara za kisasa, dhana kwamba "mtaji mdogo hauwezi kuzalisha faida kubwa" ni kasumba ya kifikra inayotakiwa kuondolewa. Katika tafsiri ya kiuchumi, mtaji (capital) si lazima uwe mkubwa ili kuzalisha thamani; bali ni uwekezaji wenye tija (productive allocation of resources)...
Wajasiriamali wengi hudhani wanaweza kuendesha biashara bila leseni, lakini ukweli ni kwamba, bila nyaraka hii muhimu, wanajinyima fursa kubwa zinazoweza kukuza na kulinda biashara zao.
1. Uhalali wa Kisheria na Uaminifu
Kumiliki leseni ya biashara kunakupa heshima na hadhi kisheria. Mteja...
Kuna nchi nimeenda, wana madhehebu mengi sana ya Kikristo, na kila mtu katika nchi hiyo anajisikia vizuri sana kuitwa Mkristo. Kama huna habari, kuna faida nyingi madhehebu yanapokuwa mengi. Hizi hapa ni faida za kuwa na madhehebu mengi ya Kikristo, katika nchi yoyote:
Madhehebu yanapokuwa...
Watu wako serious —baada tu ya kujifunza na kujua faida zake wameanza kuyapanda majumba. Huu mmea unasurvive popote hata kama unaishi nyumba ya kupanga, panda kwenye ndoo na uweke chumbani kwako.
Mdharau asili hufa kikatili
Kama kichwa cha habari kinavyosema nilikua mraibu wa punyeto kupita kiasi takribani robo tatu 3/4 ya umri wangu na maisha yangu..
Nilianza uraibu wa punyeto baada ya kubalehe tuu na niliijua kupitia kwa kiongozi wa dini ambaye mpaka leo na muona kuwa ni shetani. yeye ndiye aliyenifunza kupiga...
🩸 "Sio dharau, ni self-protection!"
1. 👉 Unajiokoa na wivu wa mtaa
Mtaa una macho lakini hauna moyo.
Watu waliocheka na wewe jana, wakiona unainuka, ghafla wanakuona kama adui.
Kuhama ni kukwepa sumu ya midomo, wivu, na roho za kwanini.
2. 👉 Unajilinda na marafiki wanaotaka kula mafanikio yako...
Wakuu tangu niko mdogo nimezoeshwa kuoga kila siku ila sijawahi kuona faida yake
Vipi kama nisipooga nitanuka halafu baada ya miezi harufu itakata na sitanuka tena. Si itakuwa niko huru maishani mwangu. Nakuwa sihitaji kuoga tena.
Kwani uchafu ukizidi kwenye ngozi kuna madhara gani ya kiafya...
Askari wa kidato Cha nne ana posho ya usafiri, chakula, vinywaji na akiwa na elimu ya diploma au degree au fani nyingine nayo inalipwa posho.
Lakini Lecturer/Mhadhiri mwenye PH D Hana posho yeyote zaidi ya mshahara wake wa mwezi.
Labda apambane na research abahatike kuokota chochote.
Ndugu zangu...
Utangulizi.
Hakunaga mwanamke kicheche ambaye siyo mzuri wa umbo, sura na rangi. Ni sifa hizo tatu ndiyo humpa nafasi na fursa ya kuwa kicheche, kwa kuwa anatakwa na kila mwanaume.
Faida za mke kicheche.
1. Anakupa tulizo la moyo hata kwa kumuangalia tu umbo lake na sura yake. Muda wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.