faida

Faida Hamdy (Arabic: فادية حمدي‎, born 1966) is a former Tunisian municipal inspector who contributed to the outbreak of the Tunisian revolution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa jinsi tulivyo na Dreamliners na Bombardiers za kutosha hadi zinabeba Samaki badala ya Abiria, kwa Tanzania nahisi ATCL imepata Faida Kubwa sana

    Shirika la Ndege la Kenya (KQ) limekadiria kupata Hasara ya Dola Milioni 100 katika Kipindi hiki cha janga la CORONA. Kwa jinsi Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) lilivyo na Ndege zake nyingi tu na zikibeba Sato na Sangara wakikaa Vitini nadhani Wamepata Faida. ======== Kenya Airways...
  2. JamiiForums Tanzania Faida kuu tatu za udongo maalum wa kupandia miche uitwao Peat Moss

    PEAT MOSS NI NINI? Peat moss ni udongo maalumu unaotumika kwa ajili ya kuandaa miche hasa kwenye upande wa miche ya mboga mboga na matunda kama vile nyanya,hoho,papai n.k Udongo huu huzalishwa katika nchi za ulaya kama vile Norway,Finland na husambazwa duniani kote ili utumike katika shughuli...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Maana, aina na faida za "Connection"

    "CONNECTION" Nimekosa Kiswahili fasaha labda Watalaamu mtaniambia Kiswahili cha "Connection". " "Connection" hapa namaanisha kupata urahisi kutoka kwa mtu, watu au mazingira ili kuweza kukusaidia wewe na mwisho wa siku ufanikishe kusudi ulilonalo maishani mwako/jambo unalolifanya maishani...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani jifunzeni kutumia unyanyasaji mnaofanyiwa kwa faida yenu - tumieni mahabusu kwa kuhamasisha maelfu kukamatwa dunia yote ione!

    Mara nyingine ili Magufuli na serikali yake waelewe kwamba wanafanya unyanyasaji usiokubalika kwa vyama vya upinzani, inatakiwa vyama vya upinzani waje na namna ya kutumia unyanyasaji huo kwa faida yao wenyewe. Wafuasi wa vyama vya upinzani wanapaswa kuelewa siku zote wale wanaopigania haki zao...
  5. JamiiForums Tanzania Faida za Mafuta ya Mkaratusi

    Mkaratusi ni mti wenye harufu nzuri na unapatikana kila sehemu duniani. Mafuta hukamuliwa kutoka kwenye majani yake na kuweza kutumika kama tiba Hutuliza kikohozi. Hii ni kwa kujichua kwa mafuta kwenye kifua na koo kuondoa dalili zote za kikohozi. Husafisha kifua, kwa vifua vya kubana na kamasi...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faida na hasara za East Africa Community (EAC)

    Ndugu wana JF naomba kiwasilisha. Naomba tujikite kujadili kwa kina faida na hasara za kuungana na kuwa jumuiya ya Afrika mashariki. Kwa historian muungano huu uliwahi kuwepo na ukavunjika kwa sababu kadha wa kadha. Je, zile sababu zilizosababisha kuvunjika kwa Afrika mashariki ya zamani...
  7. JamiiForums Tanzania Zijue faida mbalimbali za kula papai kiafya

    Papai, tunda lenye ladha nzuri kama sukari, siyo tu ni tamu kulila, lakini ni chanzo kikuu cha virutubisho muhimu vinavyotoa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali, yakiwemo yale hatari ambayo huchukua maisha ya watu kila kukicha. Leo soma faida za tunda hili ili ujiepushe na maradhi...
  8. JamiiForums Tanzania Nilioa nikiwa na miaka 17 hadi leo ndoa yetu ina miaka 5

    Ndio hivyo usimuache mke wa ujanani kwako. Karibu kama una swali nitakujibu
  9. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinapata faida gani kuzusha uongo kuihusu Tanzania na Rais Magufuli ?!. Angalia uongo/uzushi wa The Guardian la UK!

    Wanabodi, Wanabodi, kila nipatapo fursa huwa ninawaletea makala ndefu za Kwa Maslahi ya Taifa, hivyo leo nimepata fursa tena naendelea na zile makala zangu za kuhamasisha uzalendo kwa jina la "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo zinaendeshwa kwa mfumo wa maswali, leo nazungumzia media za kimataifa...
  10. JamiiForums Tanzania Hasara 10 na faida 5 za kuchepuka katika ndoa

    Kila jambo lina pande mbili, upande wa uzuri na upande wa ubaya, lakini katika kufanya maamuzi basi ni vyema kuegemea upande wenye mazuri zaidi kuliko mabaya. Kuchepuka ni aina nyingine ya usaliti anaoufanya mtu kwa mpenzi wake, japo wahenga walinena acha michepuko baki njia kuu, michupeku...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ubunge Tanzania ni ulaji tu hakuna faida kwa nchi

    Watanzania tunadanganya na wabunge kwa kujifanya kama vile wanatusaidia. Bunge kwa mfumo wa sasa ndiyo sehemu ya matumizi bila faida yeyote kwa taifa 1. Kwanza Budget ambazo wanatumia muda kujadili na kuchukua pesa nyingi serikali kwenye utekelezaji hawatumii pesa kama walivyopanga. Hivyo...
  12. JamiiForums Tanzania Nini faida ya kumiliki gari?

    Wanajamvi naomba tujuzane kuhusu faida ya kumiliki gari hasa kwa watu wa kipato cha chini wakati huo wakiwa na changamoto nyingi na za msingi zikiwakabili ikiwemo kutokuwa na makazi (nyumba) na bima za afya.
  13. JamiiForums Tanzania Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

    Wadau poleni na swaumu mulio katika mfungo wa mwezi wa Ramadhani. Napenda kujulishwa kwa mwenye uzoefu biashara ya dhahabu inalipa vipi kwa mtaji wa million 5, tahadhali za kuchukua dhidi ya utapeli, vibali vya biashara na maeneo ambayo yako suitable kwa hiyo biashara. Natanguliza shukrani...
  14. JamiiForums Tanzania Biashara ya nyama choma. Mbinu, changamoto na faida zake

    Salam wakuu. Nimejikuta navutiwa kufanya hii biashara ya nyama choma (Grilled meat). kwa walio wazoefu na hii biashara naomba michango yenu kuhusu changamoto, gharama, mbinu na faida za kuanzisha hii biashara. Thanks in advance. ======== Baadhi ya Michango =========
  15. JamiiForums Tanzania Faida za kuezeka nyumba kutumia vigae

    Vigae vinapendeza, huvutia machoni na kuifanya nyumba ionekane nadhifu. Vigae ni imara na havitetereki hata nyumba ikiungua moto vigae haviungui. Vigae vina uhakika wa kukaa salama kwenye paa la nyumba kwa miaka 99. Vigae vina punguza joto ndani ya nyumba
  16. JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mwanamke kutimiza miaka 31 hajaolewa? Ukimuoa kuna faida hapo?

    Mara nyingi mwanamke uolewa akiwa na 23 mpaka 27 ni mara chache sana kukuta mwanamke mwenye nia ya kuolewa akiwa na 30+ Kinachopelekea wanawake kuchelewa kuolewa ni nini? Tabia? Mwonekano? Au nini??
  17. JamiiForums Tanzania Hasara na Faida za Corona

    Kila kitu hapa duniani kina faida na hasara yake hapa Duniani. Pamoja na madhara makubwa ya hili janga lakini pia kuna faida pia kuanzia ngazi ya Dunia nzima mpaka familia; 1. Binadamu sasa Tunamjua Mungu 2. At least Nidhamu inarudi na usawa,wote tunaongea lugha moja kwa sasa anaejaribu kujiona...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuna faida kusajili gari nje ya nchi

    Wakuu, kuna faida gani na risk nikinunua gari South Africa na nikisajili kule kisha nikaja nalo Tanzania nikawa natembelea huku kwa plate number za kule.
  19. JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili nchi ikarudi mfumo wa chama kimoja: Ikitokea hivyo ni faida kwa nani?

    1. Hatuwezi kusema ni faida kwa Rais kwani kikatiba atamaliza muda wake na kupsha mwingine. 2. Serikali itapata ahueni ya bajeti, ruzuku za vyama vingine hazitakuwepo- hapa kuna hoja 3. Vyama vya siasa vitazua migogoro ya kikatiba na serikali, na huenda baadae vikapoteza uelekeo kwa viongozi...
  20. JamiiForums Tanzania Ni faida zipi anazipata mnywaji wa soda kiafya?

    Hello...!! Baada ya kupata kiamsha kinywa nikajisikia hamu ya soda (pepsi) ikabidi niagize. Nikapiga mafundo kadhaa mpaka ikafika nusu. Nilipoitazama likanijia swali kichwani hivi nanufaika na nini kwa unywaji wangu huu wa soda. Nikagundua sifahamu manufaa yeyote. Hususani kiafya zaidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…