Kwanza kabisa nipende kuweka angalizo...
Haya ni maoni yangu, sio fundamental kwa watu wengine.
Humu hakuna kitu cha kujifunza, kumejawa na watu feki. Sio kwa ubaya ila hizi ID fake zina haribu sana uchangiaji.
JF ya zamani ilikuwa bomba, kulikuwa na intellectuals ila leo, kumegubikwa na...