Je kuna faida kujifunza Kichina?

Je kuna faida kujifunza Kichina?

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
7,918
Reaction score
16,248
Hivi kuna faida ya kujifunza Kichina?

Maana naona sikuhizi kuna translators kibao kwenye devices zetu, kuna AI zinasaidia kwa kiasi kikubwa kurahisisha mawasiliano mpaka kuna muda najiuliza kama kujifunza Kichina ni worth it anymore

Je kuna faida gani ya kujifunza kichina, 2026? Au hakuna umuhimu tena
 
Bora ujue lugha rasmi, translator ya mtandao inachukua muda na ile flow nzuri ya mawasiliano inapotea.

Huko mbeleni, china ndio anaenda kuwa super power wa dunia na alivyo mjivuni yule mwamba nadhani lugha yake itatamba sana
 
Umuhimu upo, kazi kibao naziona wanahitaji watu na hawalipi pesa ndogo!
 
Bora ujue lugha rasmi, translator ya mtandao inachukua muda na ile flow nzuri ya mawasiliano inapotea.

Huko mbeleni, china ndio anaenda kuwa super power wa dunia na alivyo mjivuni yule mwamba nadhani lugha yake itatamba sana
Mpaka sasa China imeshakuwa advanced sana, kwa infrastructure wameiacha mbali Marekani
Haijalishi kama itakuwa super power au la ila China ilipofikia tayari imesha gain influence kubwa sana
Especially huku kwetu, Mwafrika anaona ni bora afanye kazi na Mchina kuliko Mzungu
 
Inategemea wewe unajishughulisha na nini,
Mfano, most banks sasa hivi zina chinese desk, so ukiwa relationship manager wa bank ukajua kichina bonge la added advantage.
Ukiwa DALALI utapiga hela sana, kuna wachina wanakuja kutafuta uwekezaji eg kwenye migodi, wanatumia madalali wanaojua kichina, hawa madalali wana nyodo hatari, nilikutana nao mahali . Kwenye website za ajira kila siku zinatangazwa nafasi za wanaojua kichina.
Pia vitengo vya uwekezaji kama TIC, wanahitajika sana chinese translator .Kuna mmoja mahali namjua ni chinese translator analipwa $300 kwa siku.
So angalia fani yako unaweza ukatokamo.
 
Nitaangalia nikipata muda nijifunze
Mi nasomea Mechanical Engineering
 
Mpaka sasa China imeshakuwa advanced sana, kwa infrastructure wameiacha mbali Marekani
Haijalishi kama itakuwa super power au la ila China ilipofikia tayari imesha gain influence kubwa sana
Especially huku kwetu, Mwafrika anaona ni bora afanye kazi na Mchina kuliko Mzungu
Mmmh yan wew mfano ukiambiwa kuna kampuni yamchina inakutaka na kampuni yamzungu utaenda wap, ukwel nikwamba kwamzungu kutoboa uhakika mchina anajitafuta
 
Duu CCM , Yan ss ndio tujifunze kichina na sio wa china wanifunze English au kiswahili.

Kuna watu Wana niam mbaya ya kutaka kuia hi nchi kabisa
 
Of course binafsi nitaenda kwa Mzungu
Mi naongelea kwa hapa kwetu Africa, watu wanafanya kazi sana na wachina. Hata governments nyingi za Kiafrika zinashirikiana na wachina kuliko wazungu

Ila ni kweli, kama kuajiriwa ni bora kampuni ya kizungu
 
Duu CCM , Yan ss ndio tujifunze kichina na sio wa china wanifunze English au kiswahili.

Kuna watu Wana niam mbaya ya kutaka kuia hi nchi kabisa
Vyote mkuu, wapo wachina wanajifunza Kiswahili na wapo waswahili wanajifunza Kichina
 
Hivi kuna faida ya kujifunza Kichina?

Maana naona sikuhizi kuna translators kibao kwenye devices zetu, kuna AI zinasaidia kwa kiasi kikubwa kurahisisha mawasiliano mpaka kuna muda najiuliza kama kujifunza Kichina ni worth it anymore

Je kuna faida gani ya kujifunza kichina, 2026? Au hakuna umuhimu tena
Kwa hiyo utaongea na Mchina kwa AI
 
Vyote mkuu, wapo wachina wanajifunza Kiswahili na wapo waswahili wanajifunza Kichina
Umesema mpaka Kuna desk help kwa lugha ya kichina, labda ni zile benki zao za kichina.

Yan CCM imewakaribisha wa china mpaka Wana control uchumi wa Nchi daa. Ili Hali Hali vijana wao wakibaki kuwa wachuuzi wa bidhaa za kichina

Haya Mambo ukiyaangalia hivi hivi TU,utaona ni jambo la kawaida , kumbe kumbe ni uharibifu wa mnyororo wa fedha
 
Back
Top Bottom