fahamu zaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Whatsapp Kuzuia chati zako

    Whatsapp iko kwenye mpango wa kuleta feature mpya inayoitwa "Restricted Chat" kwa watumiaji wa Android kwa ajili ya kuongeza Usalama. Restricted Chat Kwa ufupi , hii ni level ya juu zaidi ya kulinda chat maalum. Lengo?Ni Kufanya mazungumzo yako yawe ya siri yenye ulinzi zaidi haswa kwa wale...
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Habari mbaya kwa Wapenzi wa Samsung Galaxy ulimwenguni

    Samsung itaweza kuachia Teknolojia mpya ya Privacy Display kwenye Baadhi ya model ya Simu mpya ya Galaxy S27 sio zote. Kwa ufupi tu Privacy Display Ni teknolojia ya ndani ya OLED inayo punguza sana kile ambacho mtu aliye pembeni anaweza kuona kwenye screen yako. Tofauti na privacy glass ya...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kadi ya Mwendokasi haipo kwenye Google Wallet?

    Inawezekana unatamani sana kutumia simu yako ku scan kwenye mashine mbalimbali za ku scan Kadi ili kupunguza kutembea tembea na Kadi kwenye wallet yako sio 👋. Kadi yako inaweza kuwa na mfumo wa NFC na Simu yako Ina support lakini bado huwezi kuhamisha kadi ya Mwendokasi kwenda Google Wallet...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗔𝗽𝗽𝗹𝗲 𝗸𝘂𝗿𝘂𝗵𝘂𝘀𝘂 𝗶𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗺𝗯𝗶𝗹𝗶 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗡𝗮𝗺𝗯𝗮 𝗺𝗼𝗷𝗮 𝘆𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗯𝗶𝗹𝗮 𝗸𝘂𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶 𝗹𝗶𝗻𝗲

    🍎 Apple kufanya mapinduzi makubwa ya Teknolojia kwa watumiaji wa iphone ulimwenguni 👊. Apple kuja na feature mpya ambayo itaweza kuruhusu iPhone mbili kutumia namba moja ya simu kupitia Mfumo wa eSIM. 🤯📲📲 Maana yake? Unaweza kuwa na iPhone yako ya kawaida na nyingine ya ziada, huku...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 📱𝗨𝘀𝗶𝗱𝗮𝗻𝗴𝗮𝗻𝘆𝗶𝗸𝗲 𝗧𝗲𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗵𝗶𝗶 𝗰𝗼𝗱𝗲 *#*#𝟰𝟲𝟯𝟲#*#*!

    🔥 Umeona watu wakisema ukibonyeza ##4636## unapata internet ya bure? ❌ Huo ni UONGO! #4636 ni Testing Menu ya Android inayokusaidia kuangalia taarifa za mtandao, signal, 4G/5G, Wi-Fi na matumizi ya simu. 📶 ⚠️ Haikupi MB za bure, haiondoi gharama za internet, wala haikuruhusu kutumia data...
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗡𝗲𝘁𝗳𝗹𝗶𝘅 𝗸𝘂𝗳𝗮𝗻𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗜𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺 𝗿𝗲𝗲𝗹𝘀

    Netflix imezindua Netflix Clips 🎬🔥 Kipengele hiki kinakuwezesha kutazama vipande vifupi vya filamu na series, kugundua maudhui mapya kwa haraka, na kuhifadhi au kushiriki clip unazozipenda kabla ya kuanza kutazama filamu nzima. Je, unaonaje hii njia mpya ya kugundua burudani? 🍿📱
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗬𝗼𝘂𝗧𝘂𝗯𝗲 𝘀𝗮𝘀𝗮 𝗸𝘂𝗹𝗶𝗽𝘄𝗮 𝗶𝗺𝗲𝗸𝘂𝗮 𝗡𝗴𝘂𝗺𝘂 𝗹𝗮𝘇𝗶𝗺𝗮 𝘂𝗷𝗶𝘁𝘂𝗺𝗲 𝗵𝗮𝘀𝘄𝗮

    Wanasema pesa ngumu 😃 hakuna Kuonga Aiseeh!!! YouTube imeongeza kiwango cha watch hours kutoka 4,000 hadi 8,000 kwa creators wapya wanaotaka kufuzu na Kuanza kulipwa kupitia mapato ya matangazo. 📈 Na kwa wale wanaotegemea Shorts Video, kiwango chao pia kimepanda kutoka 10M hadi 20M views...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗔𝗣𝗣𝗟𝗘 𝗞𝗨𝗧𝗛𝗜𝗕𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗞𝗔𝗠𝗔 𝗣𝗜𝗖𝗛𝗔 𝗬𝗔𝗞𝗢 𝗜𝗠𝗘𝗣𝗜𝗚𝗪𝗔 𝗡𝗔 𝗜𝗣𝗛𝗢𝗡𝗘 𝗔𝗨 𝗔𝗜 😀😀

    Apple inaonekana kutengeneza mfumo mpya unaoitwa “Apple Reference Image” ambao unaweza kusaidia kuthibitisha kwamba picha fulani ilipigwa moja kwa moja na kamera ya iPhone. 🤯 Katika dunia ambayo AI inaweza kutengeneza picha zinazofanana kabisa na uhalisia, Apple inataka kuweka uthibitisho wa...
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa Google assistant inaondolewa kwenye simu za Android

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. 🤖 Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  10. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗔𝗗𝗢𝗕𝗘 𝗦𝗔𝗦𝗔 𝗜𝗡𝗔𝗣𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗖𝗛𝗔𝗧𝗚𝗣𝗧👋

    Sasa hivi mambo yamebadilika kabisa! 😱 Adobe imeleta tools zake ndani ya ChatGPT, ikiwemo Photoshop, Firefly, Premiere, Acrobat na Adobe Express. 🎨📸🎬 Kuanzia Agosti 6, 2026, Adobe imeleta Adobe plugin ndani ya ChatGPT, ikiwa na zaidi ya tools 70 kutoka kwenye ecosystem yake. 🖼️ Photoshop –...
  11. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania TIKTOK Imeweka Mfumo wa Voice Call 📞

    TikTok inataka kugeuka kuwa Whatsapp 👋, baada ya kuleta feature ya VOICE CALLS ndani ya DM! 📱📞 Ndiyo! Badala ya kutoka TikTok kwenda WhatsApp kupiga simu, baadhi ya watumiaji wameanza kuona kitufe cha kupiga audio call moja kwa moja kwenye DM za TikTok. 👀🔥 Na hii ni hatua nyingine ya TikTok...
  12. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ChatGpt hakuna kulipia Tena ni Bure bila kikomo😱🤯

    Kama wewe ni mtumiaji wa ChatGPT Free, kuna habari kubwa inakuja! 🔥 Kuanzia wiki ijayo, OpenAI inatarajiwa kuondoa kikomo cha kawaida cha text chats kwa watumiaji wa Free kwenye GPT-5.6 Luna. 🤖🔥. Yaani ile hali ya kuambiwa umefikia kikomo Cha kutuma message limit inaenda kufa na kubaki...
  13. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Update mpya ya WhatsApp kiboko aiseeh, umejaribu lakini?

    Baada ya kusubiria kwa muda mrefu hatimaye Whatsapp imeanza kuachia feature ya Username kwa watumiaji wake ulimwenguni. 📢 Sasa utaweza kuchati na watu mbalimbali kupitia Whatsapp kwa kutumia Username badala ya namba ya simu. Hii ni hatua kubwa katika kuongeza Usalama na faragha kwa watumiaji...
  14. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Vita ya Google na Apple nani Mshindi?

    Kama unafikiria Google tunaweza kutumia mfumo wa Liquid Glass kuendana na iPhone kwenye vifaa vyetu sahau kabisa 👋. Hii ndo kauli mpya ya ametoa Bwana Sameer Samat Rais wa Google kwenye masuala yote ya Ecosystem ya Android. Aliweza kutoa kauli hiyo baada Uvumi kusambaa kuwa Google wataweza...
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania App ya Google chrome itaruhusu watumiaji kudanganya location

    Program ya Google itaweza kuongeza Usalama zaidi kwa watumiaji wa simu za Android kuhusu location uliyopo. Google chrome itaweka option mpya upande wa location kuruhusu Mtumiaji kuweza kuchagua kudanganya au kusema kweli kuhusu eneo ulilopo kupitia Google chrome. 🚨Kutakua na option mbili...
  16. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Samsung kuna feature 5 zinakuja kwenye simu yako hata hivyo

    Watumiaji wa Samsung kwenye toleo jipya la Samsung one UI version 8.5 wametoa update mpya ya feature mbalimbali nzuri sana. Feature mpya imekuja kuongeza ubora kwenye muonekano wa apps, mipangilio ya simu, ufanisi, stability pamoja na security kwa ujumla. kama unatumia Simu ya Samsung Kuna...
  17. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗩𝗜𝗩𝗢 𝗫𝟯𝟬𝟬 𝘂𝗹𝘁𝗿𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗶𝗻𝗮𝘆𝗼𝗺𝗻𝘆𝗶𝗺𝗮 𝘂𝘀𝗶𝗻𝗴𝗶𝘇𝗶 𝗦𝗔𝗠𝗦𝗨𝗡𝗚 𝟮𝟬𝟮𝟲

    Kama Kuna simu ambayo kampuni ya Samsung bado inawanyima usingizi kwa mwaka 2026 basi Vivo X300 Ultra Toka China. Kampuni ya vivo imeachia simu Bora nzuri kwenye kila Eneo kwa mwaka 2026, ambayo ni VIVO X300 Ultra, kuanzia upande wa Kamera ni nzuri mno Yani nzuri Balaa inatoa picha Kali Sana...
  18. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝗸𝘂𝗹𝗲𝘁𝗮 𝗰𝗹𝗼𝘂𝗱 𝘀𝘁𝗼𝗿𝗮𝗴𝗲 𝘆𝗮𝗸𝗲 𝘆𝗮 𝗸𝘂𝗵𝗶𝗳𝗮𝗱𝗵𝗶 𝗱𝗮𝘁𝗮 𝘇𝗮𝗸𝗼 𝘇𝗶𝘀𝗶𝘄𝗲𝘇𝗲 𝗸𝘂𝗽𝗼𝘁𝗲𝗮

    Wengi tumezoea ukitaka kuhifadhi data zako zilizopo kwenye Whatsapp lazima uwe na Google Drive au icloud sio 🫢. Jambo linalopelekea ukipoteza email ndo basi Tena huwezi kuzipata data zako kirahisi, Sasa jambo ilo linakwenda kufa. Kwani watumiaji wengi wa Android wanatumia Google drive kuweza...
  19. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝘀𝘁𝗮𝘁𝘂𝘀 𝘇𝗶𝘁𝗮𝗸𝘂𝗮 𝗷𝘂𝘂 𝘂𝗽𝗮𝗻𝗱𝗲 𝘄𝗮 𝗰𝗵𝗮𝘁𝗶

    Ni rasmi sasa feature mpya ya Whatsapp kuonyesha Status upande wa juu kabisa kwenye chati imeanza kutoka. Mwanzoni tuliposti kuwapa taarifa kuwa iko kwenye Development stages, lakini Sasa imeachiwa kwa watumiaji wa simu za Android wanatumia beta version lakini kwa watu kadhaa sio wote...
  20. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Sasa itakuwa ngumu mtu kufanya activation ya Windows offline

    Kama ulikua unapenda kufanya activation ya Windows Kwa njia ya Offline 🫵, sasa itakua haiwezekani tena. Lazima kila mtu awe na akaunti ya Microsoft (Microsoft account now is mandatory), Ambapo Kampuni ya Microsoft imeua mfumo wa watu kutumia njia ya local (bila kuwa na akaunti ya...
Back
Top Bottom