Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,619
Program ya Google itaweza kuongeza Usalama zaidi kwa watumiaji wa simu za Android kuhusu location uliyopo.
Google chrome itaweka option mpya upande wa location kuruhusu Mtumiaji kuweza kuchagua kudanganya au kusema kweli kuhusu eneo ulilopo kupitia Google chrome.
🚨Kutakua na option mbili kupitia Google chrome;
âś… Precise Location hii inakuonyesha eneo kabisa Halisi ulilopo kupitia app hiyo na kuweza kukusanya data za eneo Hilo.
âś… Approximate Location hii inakuonyesha Eneo ulilopo karibu nalo hivyo haitaweza kukuonyesha eneo lako Halisi kabisa uliopo ila litakuonyesha eneo la karibu yako ili kulinda Usalama wako.