ewura

Kate Victoria Teiba Abbam, born Ewura Ekua Badoe (1934-2016) was a Ghanaian journalist, editor and consultant on women and development. Abbam founded Ghana's first women's magazine, Obaa Sima (The Ideal Woman), in 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia ateua Wakurugenzi wapya EWURA, TTB, TIC na Wenyeviti wa Taasisi mbalimbali

    Janet Z. Mbene ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), James A. Mwainyekule ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Rashid K. Mchatta ameteuliwa kuwa Skauti wa Mkuu Tanzania, Gilead J. Teri...
  2. EWURA yazitaka mamlaka za maji nchini kutoa taarifa sahihi za huduma ya maji na usafi wa mazingira

    MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji ( EWURA) Mhandisi Modestus Lumato,akizungumza wakati wa kikao kazi cha Watendaji wa Mamlaka za Maji za Mikoa na Miradi ya Kitaifa kilicholenga kuhakiki taarifa za utendaji wa Mamlaka hizo kwa mwaka 2021/22 kilichofanyika leo...
  3. EWURA: Tanzania ni kati ya nchi zenye bei ndogo ya Mafuta

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Mhandisi Modeatus Lumato amesema Tanzania ni kati ya nchi zinazouza mafuta kwa bei ya chini kutokana na ruzuku ya Serikali. Amesema mbali na ruzuku hiyo, hatua ya kuwa wananunua mafuta kwa pamoja imesababisha kushuka...
  4. Tunahusika na uwekaji mifumo ya umeme majumbani na viwandani. Tuna leseni ya Ewura na tumesajiliwa kwenye mfumo wa Nikonekt

    Katika Kipengele cha uwekaji mfumo wa Umeme katika jengo mpaka kukamilika hupitia hatua 3 kuu. (1) kutindua ( plan and design circuit's) hii inahusika na ujengaji wa metal box zote single na double, mainswitch, waterproof box pamoja na round box na uwekaji wa bomba baada ya hatua hii plasta na...
  5. EWURA: Mahojiano na vyombo vya habari kuhusu Mradi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania)

    UTANGULIZI 1. Kwanza kabisa, tunawashukuru kwa mwitikio na kufika kwenu kwenye mkutano huu muhimu. Leo tutazungumza masuala ya kitaifa kuhusu Ushiriki wa Watanzania katika Mradi wa Bomba kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania). Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (pamoja na taasisi zake)...
  6. EWURA imetangaza bei mpya za Mafuta, Petroli, Dizeli, Mafuta ya Taa yashuka

    Taarifa iliyotolewa leo Jumanne, Septemba 5, 2022 na Mkurungenzi Mkuu wa Ewura, Modestus Lumato bei za mafuta zimeonekana kupungua baada ya kupanda mfululizo kwa miezi mitano kuanzia Aprili mwaka huu. Hadi leo katika mkoa wa Dar es Salaam bei ya petroli inaonesha inauzwa kwa Sh3, 410 kwa lita...
  7. Prof. Mwandosya ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya EWURA

  8. Bei ya mafuta soko la dunia imeshuka chini ya Dollar 90 Kwa pipa moja Ila EWURA wanasema imepanda

    Maajabu ya Tanzania ni kwamba Bei imeshuka kwenye soko la dunia tokea June Ila huku ewura wanatuambia imepanda
  9. EWURA: Bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli kuanzia Jumatano, tarehe 3 Agosti 2022

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 3 Agosti 2022. Bei za Mafuta katika soko la dunia zimeendelea kuongezeka na kusababisha bei za mafuta katika soko la...
  10. M

    Ziko kampuni za kuuza gesi za kupikia. Kwanini Serikali inatangaza kampuni moja?

    Kwa Mujibu wa Tovuti ya EWURA hadi Septemba 2020 yapo Makampuni 12 kwanini SERIKALI YA TANZANIA inafanyia promotion kampuni moja inapeleka ujumbe gani kwa wananchi na hizo kampuni nyingine LIST OF LICENSED LPG WHOLESALERS IN TANZANIA AS OF SEPTEMBER 2020 Manjis Logistics Limited of P.O. Box...
  11. OMBI: Rais Samia naomba kazi ya kukusaidia kuisimamia EWURA/ au Kilimo

    Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu. Kabla sijaendelea kuelezea kusudio la kutaka kukusaidia kusimamia maeneo niliyotaja hapo juu, naomba nikuhakikishie kwanza mimi sio mganga njaa / almaarufu kama mchumia tumbo na sina lengo la kuwa...
  12. Kuna nini kijacho mbona EWURA wamechimba biti mapema?!

  13. Kulingana na taarifa za Ewura

    Wakuu Kulingana na taarifa za Ewura, Mwaka 2020 tulitulimia mafuta ya wasitani wa lita bilioni 3,500,000,000 . Ripoti ya matumizi ya mafuta mwaka 2021 bado haijawekwa katika mtandao. . Lakini ukijaribu kulinganisha mwaka 2018, 2019 na 2020 tofauti ni ndogo kwenye hizo lita bilioni 3.5. . Twende...
  14. R

    EWURA waongezewe Ulinzi, wanatufumbua macho

    Hatua zinazochukuliwa na EWURA kupandisha bei ya mafuta kila wiki kwa sh. 300 hadi 500 zaweza kuwa ni baraka tusiyoitarajia Hatua kama hizi ziliweza kuleta mabadiliko ya fikra na uongozi katika baadhi ya mataifa, tuwaache waendelee hadi kikombe kijae.. Kuna mambo yanaendelea katika nchi hii...
  15. EWURA yatangaza bei mpya ya mafuta kuanza kutumika 04/05/2022. Petroli na Dizeli bei juu zaidi

    Mafuta yamepanda tena Bei, Dar Lita ya petrol kuanzia kesho ni 3148, dizeli 3258 Bei za mafuta kuanzia April 4, 2022 Bei ya petrol kwa Dar itakuwa ni Tsh 3,148 kwa lita. Kwa watu wa Tanga watanunua kwa Tsh 3,161 na kwa watu wa Mtwara kwa 3,177 kwa lita. Dizeli itauzwa Tsh. 3,258 kwa lita kwa...
  16. Tangazo la kazi EWURA

    Watanzania kuna tangazo la kazi EWURA. Mwenye taarifa sahihi kuhusu ili tangazo tafadhali.
  17. N

    Kihoja; Wabunge wataka EWURA ipewe jukumu la kupandisha na mishahara

    Ilikuwa kama ni kichekesho lakini ni kweli tupu. Mdogo wangu (mtoto wa aunt yangu) kanipigia simu akiwa mghahawa wa pale bungeni leo. Mdogo wangu huyu kaenda Dodoma kupeleka malalamiko yake kwa Waziri Mkuu kwa kuwa baba yake amesingiziwa kesi ya uhujumu uchumi na yupo ndani kwa sababu ya siasa...
  18. EWURA: Bei ya Mafuta itaendelea kupanda

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imesema kuwa kutokana na uhitaji mkubwa wa mafuta, bei ya yake inatarajiwa kuendelea kupanda zaidi hali inayochangiwa na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine, huku usafirishaji na upokeaji wake nchini kuwa hafifu. Akizungumza Kaimu Mkurugenzi...
  19. Bungeni: Kamati ya Bunge yazitaja sababu zinazopaisha bei ya mafuta

    Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini imetaja mambo matatu yanayochangia kupanda kwa bei ya mafuta ikiwemo uwezo mdogo wa maghala ya kupokelea na kuhifadhi mafuta nchini. Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dustan Kitandula ameyasema hayo leo Jumanne Februari 15, 2022 wakati akiwasilisha taarifa ya...
  20. EWURA: Bei ya mafuta ya Petroli yashuka

    Bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa, yaliyopokelewa kupitia bandari ya Dar es Salaam, zitakazoanza kutumika kesho Tar.2/2/2022 zimepungua kwa sh.21/lita (petroli), na sh.44/lita (Taa), wakati bei ya dizeli imeongezeka kwa sh.13/lita. Bei za rejareja kwa mafuta ya petroli na dizeli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…