event

  1. G

    JamiiForums Tanzania Why Is Event Planning in East Africa Still So Stressful? 🤔💍

    One thing many people in East Africa can agree on is this: Planning weddings and events is exciting… until the stress begins. From managing guest lists on WhatsApp, chasing RSVPs manually, tracking budgets in notebooks or Excel sheets, coordinating vendors through calls, and sending updates...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Donald Trump: 7 days from today the world will witness unforgettable and most important event of our time

    COUNTDOWN: 7 Days until the World will witness an unforgettable, behind-the-scenes, look at one of the most important events of our time. - US President, Donald Trump.
  3. biz_mtaa

    JamiiForums Tanzania Unatamani kuanzisha biashara ya event planning? Zijue hizi siri za kufika malengo ya wateja wako katika kuandaa matukio yao

    Kama mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya event planning, jambo kubwa linalokutofautisha na ushindani ni uwezo wa kuhakikisha kila tukio linaendana na malengo ya mteja wako. Tukio linaposhindwa kuendana na matarajio ya mteja, linageuka hasara, sio tu kwa mteja bali pia kwa sifa ya biashara...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Anaejua gharama na taratibu za kukodi ukumbi wa Nkurumah Hall kwa ajili ya social event

    Kwa anaejua gharama za kukodi ukumbi wa Nkrumah Hall pamoja na taratibu zake. With much thanks in advance
  5. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wins prestigious world travel award as africa's leading festival and event destination 2024

    ZANZIBAR WINS PRESTIGIOUS WORLD TRAVEL AWARD AS AFRICA'S LEADING FESTIVAL AND EVENT DESTINATION 2024 Zanzibar has once again solidified its position as a leading global destination by winning a prestigious award at the World Travel Awards. This year, Zanzibar has been recognized as Africa's...
  6. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Leo ni 10 10 Tesla Event: We Robot!

    Baada ya kimya na ahadi za muda mrefu za CEO wa Tesla, Elon Musk, finally ile siku imewadia. Ni tarehe 10 October, ambapo billionaire uyo atafanya uzinduzi wa huduma na bidhaa mbalimbali kutoka kwenye kampuni yake ya Tesla. Event ina tittle “We Robot” ambayo tunaamini kaitoa kwenye series ya...
  7. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Milan Fashion Week 2024

    https://milanofashionweek.cameramoda.it/en/ Fatilia live Milan fashion week event ndani ya Uzi huu Tue, Sep 17, 2024 – Mon, Sep 23, 2024
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania 2024 Apple event: Rangi za upinde zatawala

    Apple event kwa mwaka 2024 inafanyika leo ambapo iPhone 16 series inatarajiwa kuzinduliwa. Rangi za upinde ni sehemu ya tukio hilo la leo. Yapi maoni yako
  9. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Apple event ujio wa IOS 18 na iPhone 16

    Wameanza kwa mbwembwe kama hivyo na ndugu zetu upinde wamepata kipaumbele namna hiyo Website ya AppleBETA iko busy naona soon wale wa dev beta mzigo utakua hewani IOS 18 IOS 18 is out now
  10. Contraband

    JamiiForums Tanzania Apple Event 2023 ilifanyika jana, ni yapi maoni yako?!

    Jana Apple wamezindua next generation ya iPhone na Apple Watches. Moja ya vitu nilivyopenda zaidi ni kuona wamefikia kwenye kutengeneza Carbon Neutral devices. Na kutumia material imara zaidi ulimwenguni ya titanium kwenye iPhones, ambayo yanatumika pia kutengeneza spacecraft.
  11. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Event ya Yanga kudorora; nani alaumiwe?

    Mimi ni Yanga ila tukiweka ushabiki pembeni event ya leo imedoda. Kuna sehemu management ya Yanga imekosea. Ni agency gani ilipewa kazi ya promotion? Nani alikuja na wazo la kiingilio cha chini kiwe elfu 10 na VIP 40k? Nani anapaswa kuwajibishwa? Ni aibu leo ambayo dunia nzima wanatutizama.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila event ninayohudhuria huwa napewa 'first-class treatment'?

    Wakuu, mimi ni mtumishi wa umma tu mwenye kamshahara ambako hakazidi 1.3m take home. Mpaka naandika uzi huu kuna issue inanisumbua, pamoja na kwamba kwenye mamlaka ninayofanyia kazi kuwa me ni mtumishi wa ngazi ya chini kabisa but nimekua nikipata first class treatment kulinganisha na wenzangu...
  13. bahati93

    JamiiForums Tanzania Name initial matata J.F.K

    Coincidence. Random event. Kuna uhusiano gani upo kwenye haya majina: - John Fitzgerald Kennedy. Raisi wa 35 - Kiernan Jarryd Forbes. Amekufa ana miaka 35
  14. D

    JamiiForums Tanzania Event driven programing

    Wakuu mambo vipi, naomba maelezo mazuri ya kumuelewesha mtu kwa ujumla tu kuhusu event driven programming. Nawasilisha
  15. Brojust

    JamiiForums Tanzania FURSA: Event sponsorship proposal

    Salaam ndugu zangu wa JamiiForums. Mimi ni mmoja wa member katika jukwaa hili kwa kipindi kirefu sana na nimekuwa nafatilia jukwaa hili kila siku, Yaani nikifika tu ofisini jambo la kwanza ni kufungua jukwaa hili ili ku refresh mind na kupata madini kadhaa walau dk 15 then kuendelea na majukumu...
  16. alpha walk

    JamiiForums Tanzania Ninatoa huduma ya upambaji kwenye sherehe na matukio ya aina zote

    Habari naitwa Frezier Nehatta kutoka forever events sisi tunajihusisha na event decoration kama vile harusi,kitchen party,birthday, graduation,anniversary,engagement,farewell n.k tupo dar es salaam namba zetu ni 0653110660 na 0622667749 instagram tunatumia foreverevents(profile picture tumeweka...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Team kwa ajili ya tourism event

    Habari wadau, Kuna kijana mwezetu anawazo la kufanya tukio la kitalii,, linahitaji watu takribani watano (5) wa kujitolea kuratibu na kuandaa event hii, watajitoa kwa hali na mali na kulipana baada ya kufanikisha event. Interested?...... contact 0719225113
  18. Ikaria

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya 'Open Day' kwa Kiswahili

    Naomba tafsiri ya 'Open Day' kwa Kiswahili.
  19. F

    JamiiForums Tanzania Kisa cha kuanguka kwa Dkt. Bulugu inaweza kuwa ni "staged event" ya ku-ruin mkakati wa Chanjo ya COVID 19 kwa Watanzania

    Bado naendelea kutathimini tukio lenyewe! Ila niseme tu kuwa kama Taifa tunapita katika kipindi kigumu sana! Kuna distractions na sabotage nyingi sana tangu Rais Samia achukue usukani wa kuongoza Taifa hili kufuatia kifo cha ghafla cha Hayati Rais Magufuli. Hivyo viongozi wetu wanapaswa kuwa si...
  20. Tripo9

    JamiiForums Tanzania UFC 250 main event Amanda Nunes vs Spencer leo 6/6/2020

    Main event hiyo itakuepo around saa 0500am mida ya kibongo Wale wenye bando za bwerere tumieni hapa HesGoal.COM Sports News kuona mtanange live === Amanda Nunes is the greatest women's MMA fighter of all time. She holds the UFC titles at bantamweight and featherweight. On top of that, she has...
Back
Top Bottom