Event ya Yanga kudorora; nani alaumiwe?

happyxxx

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
568
1,847
Mimi ni Yanga ila tukiweka ushabiki pembeni event ya leo imedoda. Kuna sehemu management ya Yanga imekosea.
Ni agency gani ilipewa kazi ya promotion?
Nani alikuja na wazo la kiingilio cha chini kiwe elfu 10 na VIP 40k?
Nani anapaswa kuwajibishwa?

Ni aibu leo ambayo dunia nzima wanatutizama.
 
Screenshot_20230722-153235.png
 
Tumevuliwa nguo maoni gani yatasaidia katikati ya event.
Watu wametoka kununua jezi elfu 40 leo atoe kiingilio elfu 10. Utasema hawafahamu watazamaji wa mpira ni watu wa aina gani
Kwenye kiingilio cha buku10 mzunguko wamejichanganya wenyewe,uwanja hauwezi kujaa
 
Mimi ni Yanga ila tukiweka ushabiki pembeni event ya leo imedoda. Kuna sehemu management ya Yanga imekosea.
Ni agency gani ilipewa kazi ya promotion?
Nani alikuja na wazo la kiingilio cha chini kiwe elfu 10 na VIP 40k?
Nani anapaswa kuwajibishwa?

Ni aibu leo ambayo dunia nzima wanatutizama.
Matukio ya Yanga yamekua mengi kwa msimu huu lazima watu wapoe kidogo
 
Back
Top Bottom