I Ikariiah Senior Member Joined Jul 17, 2019 Posts 140 Reaction score 254 Nov 23, 2021 #1 Naomba tafsiri ya 'Open Day' kwa Kiswahili.
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 38,613 Reaction score 119,876 Dec 7, 2021 #2 Siku ya ufunguzi,siku ya maonyesho, Siku ambayo watu huruhusiwa kuingia na kukagua au kuangalia jambo ambalo hua sio rahisi kuruhusiwa katika siku za kawaida, Wataalamu watakuja kutoa ufafanuzi zaidi.
Siku ya ufunguzi,siku ya maonyesho, Siku ambayo watu huruhusiwa kuingia na kukagua au kuangalia jambo ambalo hua sio rahisi kuruhusiwa katika siku za kawaida, Wataalamu watakuja kutoa ufafanuzi zaidi.
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,745 Reaction score 25,676 Dec 28, 2021 #3 Siku ya ufunguzi au uzinduzi