Ethiopia kutoa bure maelfu ya mikate kwa wakazi wa Addis Ababa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Mamlaka katika Mji Mkuu wa Addis Ababa,Ethiopia unapanga kutoa bure maelfu ya mikate kwa wakazi kama sehemu ya sherehe za kuadhimisha mwaka mpya wa Ethiopia 2013.

Ruzuku hiyo ya siku moja itakayotolewa Jumatatu ya tarehe saba Septemba, itakuwa mwanzo wa siku tano za sherehe za kuadhimisha mwezi wa mwisho katika kalenda ya Ethiopia.

Mnamo mwezi Juni Serikali ilizindua kiwanda kikubwa cha kuoka mikate viungani mwa mji mkue.

Maafisa wanasema unauwezo wa kuoka mikate milioni mbili ya wastani kwa siku.

Afisa wa serikali alioweka mtandaoni video ya mtambo wa kuoka mkate wa Sheger ukiwa unafanya kazi wakati wa uzinduzi huo.

===

Ethipia inatarajia kusherehekea Enkutatash, siku ya kwanza ya Mwaka katika kalenda yao ambayo ni sawa na Septemba 11, kwa kalenda ya Gregory Mkuu, kalenda inayotumiwa na wengi

Katika kusherehekea siku hiyo, Ethiopia inatarajia kugawa mikate kwa wakazi wa Addis Ababa. Sherehe hiyo huwa ya siku tano na ruzuku hizo zitatolewa September 7, ili kusherehekea mwezi unaoisha na mwezi mpya unaokaribishwa

Mwezi Juni serikali ya Ethiopia ilizindua kiwanda kikubwa cha kuoka mikate ili mji ukue. Na wana uwezo wa kuoka wastani wa mikate milioni mbili kwa siku

Ethiopia inatarajia kuingia mwaka 2013, mwezi wao wa kwanza unaitwa Meskerem, mwezi wanaouaga unaitwa Pagumiene. Kalenda yao ina miezi kumi na tatu
 
Hashim rungwe safi hatumiki na Mabeberu km yule wa Chadema
🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐Kwa hiyo mabeberu wamewatuma CHADEMA wakatafute nyasi?
 
Back
Top Bottom