Heshima zenu wakubwa
Wakati tukiwa tunaendelea kupambana na COVID-19 na magonjwa mengine mengi na tkuiwa tunaepuka kwa kupunguza
misongano ,kuvaa barakoa na njia nyinginezo .nimekuja na mbinu mpya ya kuwa saidia wahitaji wa vitu viuzwavyo masokoni na magengeni kwa kuweka order online na mimi...