enzi

Michael Bradley Enzi ( EN-zee; born February 1, 1944) is an American politician and accountant who served as a United States Senator from Wyoming from 1997 until 2021. He is a member of the Republican Party.
Raised in Thermopolis, Wyoming, Enzi attended George Washington University and the University of Denver. He expanded his father's shoe store business in Gillette, Wyoming before being elected the city's mayor in 1974. In the late 1970s, he worked for the United States Department of the Interior. He served as a state legislator in both the Wyoming House of Representatives (1987–1991) and Wyoming Senate (1991–1997). During the 1980s and 1990s, he worked as an accountant and executive director in the energy industry.
Enzi was elected to the U.S. Senate in 1996 with 54% of the vote and reelected in 2002 with 73% of the vote, in 2008 with 75% of the vote, and in 2014 with 71% of the vote. During his tenure, he was consistently ranked one of the Senate's most conservative members. He was a member of the 2009 Gang of Six that attempted to negotiate health care reform. From 2015 until his retirement from the Senate, he chaired the Senate Budget Committee, during the 114th, 115th, and 116th Congresses.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Namtafuta Rafiki yangu Shunie. Tulipotezana humu mwaka 2015 mwanzoni enzi za JK

    Wakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na ladha ya kipekee Sana. Shunie popote upatapo ujumbe huu nakutafuta mwenzio ni Kitambo sana...
  2. JamiiForums Tanzania Haji Manara: Bandari ya Dar es Salaam ni ya waarabu toka enzi na haituhusu

    Kada na Afisa wa Chama cha Mapinduzi wa zamani ndugu Haji Manara amenukuliwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii akisema na nina mnukuu; " Bandari ya Dar es Salaam ilijengwa na Sultan wa kiarabu toka enzi hizo. Tusijifanye tuna uchungu nayo kivile ilhali haituhusu." Haji. Alichoandika...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Wanaotetea Sakata la mkataba wa bandari hawana tofauti na waliokanusha kifo cha Rais enzi zile ilikuwa hivi hivi

    Wanaotetea Sakata la mkataba wa bandari hawana tofauti na waliokanusha kifo cha rais enzi zile ilikuwa hivi hivi! Wengine walikwenda mbali zaidi wakidai wameongea nae kwa simu asubuhi kawaambia wachape kazi yuko mzima! Watu walizidi kuhoji rais wetu yuko wapi walijibiwa yupo chato anawageni...
  4. JamiiForums Tanzania The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Habari za kuaminika zinadai kuwa Kiongozi Mkuu wa Libya Muammar Gaddafi amekalia kuti kavu, habari zinasema kuwa hali iliyofikia hairudi tena nyuma, nae atakurupushwa na kung'olewa kama shina la muhogo, kuna brigedi za kijeshi ambazo tayari zimeungana na wananchi, wazalendo wanasema wamefikia...
  5. JamiiForums Tanzania Ulifanya mambo gani zamani ambayo ukikumbuka unajiona mjinga?

    Niaje niaje, Wadau tukumbushane enzi hizo na matukio yetu ambayo ukiwaza sasa hivi unajiona mshamba fulani hivi. ~ Nakumbuka nilitoa hela ndefu ili niungwe Facebook, nikiwaza nataman niende Internet Cafe nikamchape yule dada vibao. ~ Shati yangu ya shule bila kutia blue nilihisi...
  6. JamiiForums Tanzania Kama Mshauri wako Mkuu alikuwa Mtu wa hovyo enzi zake unategemea Wewe ndiyo uwe Bora?

    Yaani kabisa Dr Matola PhD awe Boss wangu Himayani na amesfaafu ( na najua aliharibu mno kuanzia mfano mwaka 2005, kisha Mimi GENTAMYCINE nimekalia Kiti changu ( alichokikalia Yeye ) kisha niwe namsikiliza Yeye kwa kila Kitu hata kama ni Pumba na mambo yasiyofaa Himayani. Nitakachokitoa a ni...
  7. JamiiForums Tanzania TBT: Tujikumbushe filamu hii ya Baby's Day Out iliyopata umaarufu mkubwa sana kwenye deki za mikanda enzi hizo

    Najua hapo zamani lugha zilikuwa zinapiga chenga na hata wanaotafisir nao saa nyingine wanaongeza chumvi kwa lugha kupiga chenga, hapa kuna subtitles kabisa zenye tafsiri sahihi. Kila siku ntakuwa naweka kipengere hadi imalizike. ITAENDELEA!!
  8. JamiiForums Tanzania Enzi za Hayati Magufuli Leo angeondoka na Vichwa kariakaoo

    Watumishi wa umma Kwa sasa wamejaa viburi na dharau wanajua fika kabisa Mzee Baba hayupo na serikali ni dhaifu Bin taabani. Enzi zile Kelele hizi zingelambisha watu mchanga Leo, ila ndo hivyo tena hii serikali yakustwa tu afu unaachwa uendelela na Ujinga ujinga
  9. JamiiForums Tanzania Mawakili katika mkutano mkuu Arusha wasema sasa hawakamatwi ovyo kama enzi ya Magufuli, wamwaga kongole kwa Rais Samia

    #MauaYaSamia Mawakili wasomi wanaokutana Arusha mwaka huu 2023 wamekunwa na sera nzuri na tamu za SSH. Mawakili hao wamesema Sasa wanafanya kazi kwa Uhuru mkubwa na utawala wa sheria umetamalaki. Mawakili hao walionekana kukerwa kabisa na uongozi wa awamu ya tano. Mawakili ni moja ya makundi...
  10. JamiiForums Tanzania Hizi ni biashara zilizovuma sana enzi zake lakini kwa sasa zimebaki Historia

    1. Biashara ya kuuza vocha za simu; 2. Biashara ya vibanda vya kupiga simu; 3. Biashara kutembea na Camera kupiga picha; 4. Biashara ya Disco vumbi; 5. Biashara ya Kuonesha Video (VHS); 6. Kusoma mita za Umeme (japo hii haikuwa biashara bali ajira) 7. Biashara ya kuchezesha Joyce Wowowo; Ongeza...
  11. JamiiForums Tanzania Leo ikiwa ni Alhamisi hebu tuwakumbuke wabunge machachari enzi ya Bunge la Spika Marehemu Samwel Sitta!

    Leo ni alhamisi , huwa tunakumbuka mambo ya zamani kidogo. Mnalikumbuka Bunge la Spidi na Viwango chini ya uongozi wa Spika Marehemu Sitta? Hebu leo tuwakumbuke wabunge waliokuwa machachari kwenye kuibua hoja zenye maslahi mapana ya Taifa. Wabunge hao ni wale waliokuwepo katika uongozi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi tulivyoishinda tamaa enzi zetu wahenga

  13. JamiiForums Tanzania Wakati Rais Samia anaibeba sekta ya michezo, TFF wanaturudisha kwenye migogoro ya enzi za FAT

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu amejipambanua kuwa mpenda michezo na amekuwa mara kadhaa akiunga mkono sekta hii kwa vitendo akitoa hamasa na zawadi mbalimbali kwa michezo tofautitofauti. Tumeshuhudia Serikali yake ikiondoa kodi katika nyasi bandia ili kuboresha viwanja...
  14. JamiiForums Tanzania Unaikumbuka blogspot gani enzi hizo?

    Miaka ya 2005 kuja 2010 enzi hizo Jamiiforum siyo maarufu, kulikuwana na blogspots nyingi sana zilizokua hot. Mimi nazikumbuka hizi. 1. Mbeya yetu blog, Morogoro yetu, Iringa yetu, habari za maendeleo ya mikoa 2. Dinahicious blog mambo ya malavidavi na mahaba ili kua chimbo balaa sana 3...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya Watangazaji maarufu enzi hizo Radio Tanzania kabla ya TBC

    David Wakati, Sarah Dumba, Eda Sanga, Jacob Tesha, Ananilea Nkya, Sango Kipozi, Omar Jongo, Ahmed Jongo, Barnabas Mluge, Idrissa Sadallah, Benjamin Kikomongo "Ben Kiko", Bartholomeo Kombwa "Bart Kombwa", Danstan Tido Mhando, Masoud Masoud, Yusuph Omar Chunda, Bujaga Izengo Kadago...
  16. JamiiForums Tanzania Alicom wa Selina hii Ngoma ilibamba sana enzi hizo

    Miaka Ile wimbo wao ulibamba sana😊😊 Alicom na Celina_wapambe Katika pita pita nimesikia uki pigwa Enzi izo ulikua moto Africa mashariki na kati🌍🌍 Jamaa sijui yupo wap Kwa Sasa... "Wapambe tusi wakubali.....// Selina wangu we kimwana...// Unizalie na wanaa... Wewe ulikua wap enzi izo..😊😊🤓🤓
  17. JamiiForums Tanzania Kwa wahenga tu, Zama zetu zileee, tujikumbushe enzi zetu, tuliokulia vijijini

    Jamani maisha ni safari ndefu, hasa tuliokulia vijijini tuliishi maisha ya kipekee saaana. 1. Kuoga ilikuwa ni mtoni hasa kwa maeneo ya Tukuyu Miaka hiyo ya tisini. 2. Kuvaa nguo mpya mashati ya Julian na suruali special za Tokyo huku chini na mokas 3. Kupaka mafuta ni mpaka unaenda mjini au...
  18. JamiiForums Tanzania Alinikazia enzi hizo, Lakini sasa kaachia. Hii imekaaje?!

    Mwaka 2018 mwanzoni, aliajiriwa kwenye kampuni niliyokuwa nafanya kazi mimi. Na alifanya kazi chini yangu. Yaani mimi ndiye nilikuwa msimamizi wake wa kazi. Huyu dada alinivutia tuu ile siku ya kwanza ametambulishwa kwangu kwa jinsi alivyokuwa mzuri na mtulivu. Siku hiyo nilimpa ABCs za...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi HESLB waliongeza mikopo kimya kimya kwa baadhi ya wanafunzi?

    Wakuu, kwema? Hii kitu sijaielewa naomba kueleweshwa, nimepita kwenye account ya dogo ya HESLB nimekuta kuna Additional loan ya kama laki 4 kwenye upande wa tuition fees,nimemuuliza dogo nae anaonekana kushangaa tu hajui chochote. Naomba kuuliza hawa first year waliongezewa mkopo kimya kimya...
  20. JamiiForums Tanzania Lissu anakuwa na nguvu pale panapokuwa na Siasa za mapambano (confrontational politics), zilikuwepo enzi ya Magufuli, Sasa hazipo, kapoteza relevancy

    Lissu ni mwanasiasa anaye shine/anayeng'aa pale panapokuwa na Siasa za mapambano, Siasa hizo zilikuwepo enzi ya jiwe, yule Mzee wa Chato. Kwa Sasa ni SSH, hana Siasa hizo za piga nikupige. Ndio maana baada ya ujio wa Lissu, ndani ya muda mfupi "amechuja" na umaarufu wake umechuja kwa asilimia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…