Half american JF-Expert Member Sep 21, 2018 26,143 68,462 Apr 7, 2023 #2 Kuna lile jicho la mama lenye sauti isiyosikika, akikukata unaelewa tu leo mgeni akiondoka utakoma.
Atoto JF-Expert Member Jul 19, 2013 82,147 159,070 Apr 9, 2023 #7 taamu said: Wamama walipokuwa wamama. Click to expand... Na wababa walipokuwa wababa.
Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,279 1,096,041 Apr 9, 2023 #8 Enzi maisha yalikua na ladha halisi
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 26,215 56,855 Apr 9, 2023 #9 Mliishinda wapi wakati wengine mpk mlitolewa minundu..😁
taamu JF-Expert Member Dec 11, 2012 10,158 8,046 Apr 9, 2023 #10 Atoto said: Na wababa walipokuwa wababa. Click to expand... Jamii iliyostaarabika ikakamilika kike na kiume.
Atoto said: Na wababa walipokuwa wababa. Click to expand... Jamii iliyostaarabika ikakamilika kike na kiume.