The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi!

Discussion in 'Jukwaa la Historia' started by Mwiba, Feb 20, 2011.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Habari za kuaminika zinadai kuwa Kiongozi Mkuu wa Libya Muammar Gaddaf amekalia kuti kavu ,habari zinasema kuwa hali iliyofikia hairudi tena nyuma ,nae atakurupushwa na kung'olewa kama shina la muhogo,kuna brigedi za kijeshi ambazo tayari zimeungana na wananchi ,wazalendo wanasema wamefikia point of no return.

  Hata hivyo upande wa Colonel Gadaf umezidisha nguvu na kutoa upinzani wa liwalo na liwe kama ni lawama iwe baadae kwa mikakati huo wanapiga risasi direct kwa wazalendo,habari zinazidi kutonya kuwa makao makuu ya Gadaf yaliopo Benghazi ambao ni mji wa pili kwa ukubwa , yameshachomwa moto na wananchi wanaelekea Tripoli ili kieleweke,kumbuka tu sasa kuna majeshi yalio pamoja na wananchi na wanatumia silaha na magari ya kijeshi katika kumng'oa Gadafi na mafisadi wenzake.

  Vilevile muelewe kuwa Majeshi ya gadafi yapo katika mgawanyo,kuna kundi linaongozwa na mwanawe ,hili ndilo ambalo linasemekana halitakuwa tayari kuachia madaraka kirahisi,hapo ndipo mapambano yatakapokuwa makali.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  sikuamini.
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kikwete should learn in a hard way......nguvu ya umma hushinda risasi na mabomu yake
   
 4. W

  We can JF-Expert Member

  #4
  Feb 20, 2011
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwanini humwamini, kasababu ni Mwiba? Ipo siku atasema AMEVAMIWA na majambazi, kisha utamwambia, "SIKUAMINI"!
   
 5. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #5
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #6
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Haya kumekucha kumekucha.

  Tunisia=Misri

  Who is next?
  Yemen or Iran?
  Libya or Bahrain?
  Tanzania or Uganda?
  Zimbabwe or Ivory Cost?

  Yetu macho
   
 7. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #7
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hosni aliua watu 356 katika siku 18 za kumkataa, Gadafi kwa siku nne tu keshaua zaidi ya watu 200! Kama na yeye akifikisha siku 18 yatakuwa maafa makubwa sana. Mungu aepushe.
   
 8. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #8
  Feb 20, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Protesters in Benghazi, Libya, send a car packed with explosives into a wall at a military camp, witnesses say. Security forces then fire on protesters as they attempt to breach the camp.
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Sikuamini ni tungo tata ngoja aje mwenye aseme hakuamini kama yatatokea yanayotokea Libya au hamwamini mleta mada...
   
 10. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #10
  Feb 20, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  kauli kama hizi madikteta wanazipenda kweli
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Feb 20, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kweli inaonyesha watu wengi sana watakufa........
   
 12. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #12
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mmoja mmoja, mpaka watakwisha...
   
 13. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #13
  Feb 20, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mpendwa Ng'wanangwa...........na mimi ninaipenda kauli hiyo japo si dikteta.
   
 14. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #14
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kweli hii ndio nguvu ya umma!!!
   
 15. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #15
  Feb 20, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  CCM Ntaing'oa peke yangu wala msitie shaka
   
 16. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #16
  Feb 20, 2011
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Ghadaffi hana (mara)rafiki! sijui atakimbilia wapi? Wenzake Ben Ali na Mubarak angalau walikuwa na pakukimbilia
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Feb 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  bora asingekuwa kaua. Hizo damu hazirudi bure na waliobaki hawawezi kukubali kuachia njiani.
   
 18. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #18
  Feb 21, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,744
  Likes Received: 3,182
  Trophy Points: 280
  I do not believe him either.. Mwiba wa kuja na mtindo huu? hainiingii kichwani. Sasa Mwiba mkuu wako wa inji unamshauri nini hahahah
   
 19. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #19
  Feb 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,525
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  Libya: Anti-Gaddafi protests spread to Tripoli

  Anti-government rallies have broken out in the Libyan capital Tripoli for the first time during protests against the country's leader, Colonel Muammar Gaddafi
  http://www.bbc.co.uk/news/world-africa-12520366
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Feb 21, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huyu Jamaa ni noma! Atauwa hasa
   
Loading...