enzi

Michael Bradley Enzi ( EN-zee; born February 1, 1944) is an American politician and accountant who served as a United States Senator from Wyoming from 1997 until 2021. He is a member of the Republican Party.
Raised in Thermopolis, Wyoming, Enzi attended George Washington University and the University of Denver. He expanded his father's shoe store business in Gillette, Wyoming before being elected the city's mayor in 1974. In the late 1970s, he worked for the United States Department of the Interior. He served as a state legislator in both the Wyoming House of Representatives (1987–1991) and Wyoming Senate (1991–1997). During the 1980s and 1990s, he worked as an accountant and executive director in the energy industry.
Enzi was elected to the U.S. Senate in 1996 with 54% of the vote and reelected in 2002 with 73% of the vote, in 2008 with 75% of the vote, and in 2014 with 71% of the vote. During his tenure, he was consistently ranked one of the Senate's most conservative members. He was a member of the 2009 Gang of Six that attempted to negotiate health care reform. From 2015 until his retirement from the Senate, he chaired the Senate Budget Committee, during the 114th, 115th, and 116th Congresses.

View More On Wikipedia.org
  1. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Jamani aliyegundua mziki anastahili Tuzo hasa ule wa zilipendwa enzi zetu, sijajua huu wa Sasa kama unaladha Kama zilipendwa

    Jamaani enzi zile watu naona tuliinjoy Sana ukilinganisha na mziki wa kizazi kipya. Mfano Leo nilikuwa nimekaa sehemu nakuta DJ ameweka mziki wa bendi ya Sasa Kamanyola wakiwa na Maestro King kikki wimbo unaitwa tutoke wore duuu nimekumbuka mbali Sana nikiwa Kijiji cha mbwewe Handeni Tanga...
  2. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Nikikumbuka enzi zile ndege ilinunuliwa moja halafu nchi nzima inahamia uwanjani kuilaki na kuiombea, nacheka sana

    Kwa kweli nchi hii imepita ujima sima katika miaka miatano iliyopita nadhani hata nchi za Afrika walikuwa wanatuona hamnazo kabisa. Hebe we fikiria kidenge kimoja kinanuliwa tena mtumba halafu nchi nzima na mbaya zaidi hata viongozi wa dini wanapenda kuishagaa. Jamani, hivi huyu mtu angekuwa...
  3. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Enzi zile tulimtetemekea sana Lipumba eti ni mchumi

    Wakati tunazaliwa tuliambiwa kwamba hakuna mchumi kama Lipumba na mpaka wakafikia kusema ni mchumi namba mbili tuniani. Sasa nimesoma soma vitabu sijawahi ona hata quotation au mtu aliyemcite Lipumba na Wala sijawahi ona hata theory moja aliyodevelop au kukosoa za watu. Theories nyingi za...
  4. 666 chata

    JamiiForums Tanzania Enzi hizo kwenye mitihani ilikuwa akili kidogo, ujanja mwingi

    Unakumbuka enzi izo za vibomu? wengine wakiita nondo, uangaliziaji na makamati ya kimkakati wakati wa mitihani mashuleni? ujanja ujanja wa kila namna ilimradi tu watu wafaulu mitihani. Baadhi ya matukio Tuko necta ya fomu 6 kuna demu mmoja aka kamatwa na ki karatasi kimekunjwa kwa ustadi mkubwa...
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Matajiri wa siku hizi hawawezi kuishi na watu wengi majumbani mwao kuliko wale wa enzi za zamani?

    Miaka ya nyuma, hata urudi katika vitabu vitakatifu, watu matajiri waliishi na watu wengi nyumbani na wote walinyooshwa na kutii sheria za nyumbani. Mfano Nabii Ibrahim alikuwa Bilionea aliyeishi na mamia ya watu kwenye familia yake. Alikuwa hadi anajeshi la watu 300 ambao ni sehemu ya familia...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Zingekuwa ni Enzi zangu au za akina Kizota, Magoso na Pawasa huyu Mayele angeogopa kabisa Kufunga kwa Rafu zetu Kali

    Natamani kweli kweli GENTAMYCINE nirudie enzi zangu ili nimalizane na Fiston Mayele kwa Kuvalia POP Mwaka mzima na Mimi kupewa Kadi Nyekundu na kufungiwa kucheza Soka kwa Miezi Sita au hata Mwaka. Kila Siku nikikutana na hii Mibeki yenu ya NBC Premier League huwa naiambia kuwa Mayele ana shida...
  7. Jackal

    JamiiForums Tanzania Nani anamkumbuka huyu mwamba enzi hizo?

  8. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kwako Lusinde na Kenani; Dkt. Bashiru aliwahi kusema maneno haya akiwa Katibu Mkuu wa CCM. Je, hamkumuelewa enzi zile?

    KWAKO MH LUSINDE NA MH KENANI;DK BASHIRU ALIWAHI KUSEMA MANENO HAYA AKIWA KATIBU MKUU WA CCM,JE HAMKUMUELEWA ENZI ZILE!? Leo 17:50hrs 20/11/2022 1. "Nimekuta wizi wa kutisha kwenye chama chetu cha CCM na wengine nikiwataja hamtanielewa. Wanajifanya ni waheshimiwa kumbe ni wezi,mijizi,wameiba...
  9. masai dada

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume/mke wako. Anasifa zile ulikua unaziwaza enzi za u-teenager?

    Hivi zile sifa ulizokua unazitaja Za handsome,tall,dark Financial stable Na kwa mke (mnazijua nyie) Ndo anazo sasa hivi Au Ndoa ni upendo Hahahaha Nyie acheni kabisa Ningemshauri mtu yoyote anaetaka kuoa/kuolewa Make sure unawaza vitu vifuatavyo 1.mcha Mungu 2.ana upendo wa dhati. 3.anapenda...
  10. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli katika ubora wake enzi zake

    Ukweli usemwe Hayati Magufuli alifanya mengi kwa kadri mwenyezi Mungu alivyomjalia. Vilevile, yapo aliyoweza kuyatatua kwa u haraka na ama yalikoma au yalipunguka kwa kiwango kikubwa. R.I.P JPM.
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi nanyi Wazee wa zamani mliopo hapa JF nanyi enzi zenu huu Upuuzi 'unaokera' ulikuwepo?

    Je, Wazee ( akina Baba ) wa zamani hapa JamiiForums hivi nanyi Enzi zenu hii tabia tuliyonayo Wanaume / Vijana wa Siku hizi ya Kuchafuana ( Kuuana kwa Mademu ) tunaowawinda 'Kuwangono' mlikuwa nayo au Wenzetu mlistaarabika zaidi? Nimeshasema kuwa GENTAMYCINE sikatai Kumtongoza Demu wangu na...
  12. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Siioni Yanga ya enzi za Nyerere ikijirudia kwenye Ligi ya Mabingwa CAF kwa miaka 50 mbele

    Ukitizama kwa mbali unaona Yanga (Utopolo) malengo yao ni kuifunga Simba tu, ukisogea karibu kumbe ni kweli bwana! Wakati timu za Afrika zikiweka malengo Ligi ya Mabingwa Afrika na Shirikisho, wao Yanga wamewekeza akili zao Derby ya Watani😅 . Inajithibitisha usajil wa hovyo kuikomoa Simba...
  13. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tupac na Yaki Kadafi enzi za utoto wao

    Kila tarehe 9 october ni siku ya kuzaliwa ya Rapper Yafeu Akiyele Fula A.K.A Yaki Kadafi. Mama yake Diamond huwa anasema kwamba kipindi Rommy Jones akiwa mdogo ilifikia hatua hata kumpa nyonyo japo hakua mwanae ila alikuwa na urafiki na mama yake Rommy. Hivyo hivyo kwa huyu bwana mdogo Yaki...
  14. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Enzi zilee, fantastic uzi..!

    "Mwalimu wetu hapendi keleleee, Anapenda nyimbo na vigelegelee, Akivaa kanga inamzuzua, Akivaa kitenge mawingu na mvua" "Naweza kuhesabu namba,12345678910, Vidole vya mikono yangu jumla yake 10, Huku 5 na kule 5 jumla yake 10.. Huwa nikikumbuka nilipotoka,enzi zile utotoni mpaka sasa...
  15. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi: Prof Kabudi ashitakiwe kwa kulidanganya taifa juu ya tril 360. Aliunga mkono udikteta enzi za hayati

    Sugu ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter "Kwa jinsi hii, huyu mzee anatakiwa awe ‘held accountable’ kwa kulidanganya Taifa kama anavyokiri hapo… Huyu mtu ana rekodi ya ovyo sana serikalini na ni mmoja wa watu waliokuwa wakichochea udikteta (Henchmen) kwenye awamu ya Mwendazake…" Na...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mdude Chadema: Nimepata taarifa kuwa Ikulu wana mpango wa kunishughulikia kama enzi za mwendazake

  17. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Mh!! Marehemu Sheikh Yahaya Hussein enzi zake

    Huyu sheikh alisifika hapa ndani na nje ya mipaka kwa elimu na maarifa mbalimbali kuhusu nyota,unajimu, utabiri, uganga n.k. Mimi binafsi namkumbuka aliposema kuwa pale Uingereza mkuu wa majini ni Tony Blair.!!!!!!!!!!! Kwa duniani mkuu wa majini ni Queen Elizabeth(Huyu aliyefariki hivi...
  18. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Hebu tuwe realistic, haya mambo yalikuwa yana nafasi enzi za ujamaa sio dunia ya sasa

    Katika dunia ya sasa ya kibepari ni kuwapotezea vijana muda wao maana hiko kinachofundishwa huko JKT hakina applications mtaani. Vijana wanaenda kuchomeshwa jua miezi au mwaka ila wakirudi mtaani mazingira ya mtaani hayawapi nafasi ya kukiapply walichofundishwa. Ni lini viongozi wetu watakuwa...
  19. Slowly

    JamiiForums Tanzania Mzee wa tozo Enzi hizo akiwa Shule

  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ben lyakwipa mwanafunzi wa Mkwawa enzi hizo aliyekikosoa kitabu cha Abot kwà ufasaha

    Kuna mwamba mmoja alisoma mkwawa sec enzi hizo alikuwa kipanga balaa. Nini kilitokea Rekodi yake ni unwritten kwasababu miaka hiyo kitabu cha Abot na nadhani mpaka sasa kilikuwa kinatolewa kwà matoleo (editions) sasa huyu mwamba alifanya jambo kubwa mno ila halijasimuliwa popote.
Back
Top Bottom