eneo

  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wavamia Bonde la Buyuni, wapima viwanja

    Baadhi ya wananchi wamevamia eneo la bonde la Buyuni Kata ya Buyuni wilayani Ilala- Dar es Salaam na kupima viwanja kinyume na utaratibu. Eneo hilo lipo ndani ya Mradi wa Viwanja 20,000 Buyuni. Ni bonde linalotenganisha mtaa wa Serikali Buyuni na Kigezi na ni bonde ambalo lipo nyuma ya Zahanati...
  2. P

    JamiiForums Tanzania KERO Buguruni Madenge relini kuna wakabaji na wezi

    Eneo la viwandani Buguruni Madenge kuna wezi na wakabaji, wamejenga vibanda katika eneo hilo na kusababisha hofu kwa wapita njia waendao kazini hasa kwenye viwanda. Wanaishi na wanalala hapo asubuhi asubuhi na mchana tu, na usiku wanakwenda kuvunja na kuiba vitu mbalimbali hasa vya magari...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Taharuki yaibuka Bunda mkoani Mara, wananchi waambiwa wapishe upanuzi wa eneo la hifadhi, uvuvi wasitishwa, risasi zafyatuliwa

  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hii RUSHWA iliyopelekea ENEO la Namanga Makangira Msasani kuruhusiwa kujengwa Maghorofa ni sh. ngapi?

    Najiuliza Hawa mabwanyenye wanao nunua ENEO la Namanga msasani kwenda mpaka Makangira wakiongozwa na huyo Mwamajeshi kutoka upanga OFISI ya Jeshi, na kuporomosha majengo ya ghorofa ni shi ngapi wanatoa? Mh waziri sisi tulio kuwa wakzi miaka mingi maeneo ya Namanga msasani TUNATAMBUA yakuwa...
  5. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yadaiwa Abdul and Company, amepewa eneo la mnada wa Karatu ajenge Hoteli ya kitalii, Mnada unahamishwa

    Umofia kwenu wakuu. Kuna taarifa za kutoka Chanzo cha kuamimika kwamba Halimashauri ya wilaya ya Karatu imempatia mtoto wa Samia, Abdulu eneo la mnada wa Karatu ili ajenge Hoteli. Kwa mlio wahi fika karatu mtakuwa mnajua lile eneo la mnada ni maarufu sana, sasa ni kwamba mtoto pendwa kapewa na...
  6. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Zimamoto wamefika eneo la tukio kufanya uokoaji na kuzima moto hapa NSSH

    Jeshi la Zimamoto na Uokoaji tayari limefika hapa Posta Jengo la National Social Security House kwa ajili kuuzima moto pamoja na kuokoa waliopo ndani ya jengo hilo. Soma pia: Dar, Jengo la National Social Security House Posta linawaka moto muda huu
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Trump ameahidi kila mwananchi aishie greenland bilioni 2.5 ili wakubali kuachia eneo hilo kuwa chini ya umiliki wa Marekani

    Greenland ina wananchi 57,000.
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Madai ya Halmashauri Bukoba kuuza mchanga wa makaburi ya Kishenge, magari yapigwa marufuku kuingia eneo hilo

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wamekuwa wakiuza mchanga eneo lililokuwa na makaburi ya Kishenge, Bukoba Mjini licha ya kuwa limetengwa kwa ajili ya uwekezaji, hatua zimechukuliwa na Mamlaka husika. Kusoma hoja ya Mdau...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta business partner kwenye uwakala wa benk , mimi na uwakala wa mitandao ya simu , eneo chamwino ikulu

    Natafuta business partner kwenye uwakala wa benk , mimi na uwakala wa mitandao ya simu , eneo chamwino ikulu
  10. TZ-1

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bidhaa ipi ni bora katika ku skimu ndani na eneo la copro(dirishani)

    Hbr wajenzi. Baada ya kumaliza kuchapia/plasta ndani na copro naomba kujua bidhaa gani ni bora kwakuw skimu lakin pia nakarbisha fundi aje inbox tuelewani kazi _ location saiti ilipo ni KIBAHA -kongowe Coral decor Wallputy Gypsum power Na unazo zijua nyingne, napenda kujua na bei elekezi pia...
  11. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kama unajenga eneo Lenye asili ya maji pitia hapa tushauriane

    Habari Kama unajenga eneo Lenye asili ya maji pitia hapa tushauriane
  12. Shetemba

    JamiiForums Tanzania TANROAD KUUZA ENEO LA KEEP LEFT SI SAWA

    Hapa Mbezi Luis kwa Yusuf Kuna mzunguko ambao magari yote yanagawanyika,yanayotolka Kibaha, yanayotoka kinyerezi,yanayotoka Mpigi magoe yanayotoka stendi ya Magufuli yote yanakutania hapa,sasa sijui ni uroho au ulevi mtu anatoa kibali cha kuweka makontena ya biashara katika eneo hili, bila...
  13. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Vita ya Ukraine ni ya Kimkakati, angalia utajiri wa eneo la Donbas ambalo Putin atalichukua kwa jeshi

    Discovered reserves of the system are 1.6 billion barrels of oil . 59 trillion cubic feet of gas. More than one-half of the reserves are in Lower Permian rocks below the salt seal. Aluta kontinua Russia
  14. Sonship

    JamiiForums Tanzania Ofa ya viwanja Kibaha kwa Mathias

    Ofa ya Viwanja Kibaha Kwa Mathias Kidenge B Vipo vya umbali wa km 4-kutoka kituo cha Mathias Lami Vipo vya Km km 6-Kutoka lami Nipazuri sana na huduma zote za kijamii zimefika Bei Ukubwa kuanzia: *million 2 ukubwa 16×13 *Milion 2.5 ukubwa 15×16 *Milion 3 ukubwa 15x19 *Milion...
  15. jT0078

    JamiiForums Tanzania Moto unawaka eneo la keko furniture -Dar

    Wale wanaotumia njia ya barabara ya Chang'ombe - Keko Dsm kuna MOTO mkubwa unawaka ktk moja ya majengo ktk eneo la keki furnuture upande wa kiwanda cha SUMA JKT. Nadhani barabara itakuwa imefungwa muda huu kutokana kuongezeka kwa moto. Watu wa usalama tunaomba muende eneo hilo.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya taarifa ya CNN kutoka, serikali ilishwandwa nini kualika mara moja vyombo vya habari vifike kwenye eneo linalodaiwa kuwepo kaburi la pamoja?

    Hili ndio swali ninalojiuliza na mpaka sasa sipati majibu kwani nilitarajia kuona serikali inaalika vyombo vya habari vya ndani na nje mara tu baada ya taarifa ile ya CNN kutoka Tukumbuke, kuzika watu wengi kwenye kaburi la pamoja, ndio tuhuma kubwa na mbaya kuliko zote iwapo itathibitika kuwa...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kuhuishwa kwa reli ya TAZARA kutahimiza maendeleo ya uchumi wa eneo la SADC

    Tarehe 4 Septemba 2024, kwenye mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Africa (FOCAC) uliofanyika mjini Beijing, China, makubaliano kati ya China, Tanzania na Zambia kuhusu kuihuisha reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) yalisainiwa mbele ya marais wa nchi hizo tatu. Hatua hiyo...
  18. Superintendent kimura

    JamiiForums Tanzania Kila unapotoa pesa kwenye eneo hili unajitapeli mwenyewe

    “Kuna VITABIA vinavyofanana na MSAADA… lakini ni UTAPELI dhidi ya maisha yako.” Havikupi faida. Havikuongezei thamani. Havikujengi. Ni mianya ya kutolewa nguvu, pesa, muda, na akili bila kurudi na chochote. 01. Kukopesha Ndugu na Marafiki – “Mnaingia marafiki, mnatoka maadui.” Kwenye familia...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania mauaji na ukatili wa Oktaba 29 hayana dini, eneo wala jinsia

    Naona mashehe wengi ambao ni mashehena wameamua kuugeuza uislam uchawa. Wanatetea ukatili na mauaji ya Oktoba 29 sijui ni kwa sababu ya dini au uchawa na udini. Mie sijui.
  20. PAYE

    JamiiForums Tanzania Video: Mama huyu apigwa hadharani baada ya kugombania eneo la biashara na kudaiwa alipe fidia

    Huyu mama anayepigwa hapo inadaiwa alipanga biashara yake mahali siyo pake. Mwenye eneo alikuja, akashika biashara ya huyu Mama na akaanza kumpiga akidai alipwe fidia, mpaka msamaria mwema alipomuomba amwache tu. Wenye kujua sheria msaidieni huyu mama jamani apate haki, kunyanyaswa hivi siyo...
Back
Top Bottom