eneo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Diamond kalikejeli eneo la Mtoni Mtongani akijisahau ni National Icon Artist mweny mashabiki maenei mbalimbali, hakutakiwa kupadhihaki

    Wengine tuna Ndugu, Jamaa na Marafiki wanaoishi huko Hata wana Jamii Forums maarufu kina Lucas Mwashambwa GENTAMYCINE Ritz kipara kipya Tlaatlaah wanakujua, wana ndugu zao, wanaishi au waliwahi kuishi.
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

    Hayo maeneo ni sehemu ya city centre kwa hiyo yanatakiwa yaboreshwe Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuboresha na kuyafanya ya kisasa ntatumia njia zifuafazo Hayo maeneo yatajengwa gorofa kuanzia 5 na mpaka 100 Wale wote wenye maeneo watatoa maeneo hayo na kuwapa madeveloper Madeveloper watajenga...
  3. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kuanzia eneo la shoprite ya zamani kupita Ngarenaro mpaka kona ya Mbauda ule ni uchafu unatakiwa uondolewe

    Mimi shiishi Arusha ila ni zaidi ya miaka 20 lile eneo la shoprite ya zamani, unapita kona ya kilombero, ngarenaro lipo vile-vile na hakuna dalili hata ya kulibadilisha Ule uchafu kama uchafu, kunanuka, nyumba zimekaa hovyo hovyo, watu wamezagaa hovyo hovyo wengine wanauza kahawa, na wengine...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nauza eneo langu lenye nyumba tatu

    Nimehamia kibaha mji niupendao. Kwangu naona kuna fursa nyingi. Ningependa kupaendeleza zaidi. Nimejenga nyumba nzuri pale kibaha, Nina eneo kubwa ambalo nimejaribu kuliwekea fence. Ila bado Sina umeme na maji.. Kule nilikohama mbezi kwa msuguri nimeacha nyumba tatu: moja ni kumbwa...
  5. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa Bunju A Bagamoyo road

    Eneo linauzwa Bunju A Bagamoyo road. Eneo linatazama barabara kuu ya Lami. Wamiliki WA eneo wapo watatu. Kila mmoja na eneo lake lakini lipo sehemu moja. Mmiliki mmoja anauza milion 300 Mmiliki wa pili anauza milion 300 Wote Hawa wanapunguza Bei kama mkikubaliana. Mmiliki wa tatu anauza...
  6. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Kwanini TANROADS wanajenga kituo cha mwendo kasi eneo la Flyover Mwenge?

    Nchi hii ni ya maajabu sana, ukipita pale mwenge junction, utakuta kuna kituo cha mqendokasi kila upande kinajengwa. Kwa utalaam wa ujenzi, unatakiwa kuondoa vitu kama stand au masoko karibu na junction. Imekuwaje tanroad wameamua kujenga vituo vya mqendo kadi mita chache kutoka junction...
  7. Bakulutu

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kituo cha mafuta kinauzwa (hakikukamilika) kipo kwenye eneo la heka 1

    Kituo kipo barabara ya Bagamoyo/Mlandizi, eneo tambarare kabisa, kina matanki 3 chini tayari na nyumba/ofisi tayari . Bei ni 150M . Hakuna kituo chochote karibu katika hii barabara na barabara nzima yenye umbali wa 35km kuna kituo kimoja tuu . Karibu kwa mazungumzo 0764452424 / 0785452424
  8. Sonship

    JamiiForums Tanzania ENEO LA SHULE LINAUZWA AU KUKODISHWA GOBA MATOSA

    ENEO LA SHULE LENYE MICHEZO YA WATOTO LINAKODISHWA/KUUZWA Eneo la Shule lenye Madarasa kwa ajili ya DAY CARE & NURSERY LINAKODISHWA AU KUUZWA kwa mteja yeyote mwenye uhitaji wa kununua. Eneo hili lenye Ukubwa wa takribani Ekari 2, lipo Dar esalaam Matosa, Goba na lina Madarasa 4,Nyumba 1 ya...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa 35*35 (1225m²) Boko Basihaya

    Kiwanja kizuri Sana kiko kwenye makazi yaliyopangwa yakapangika, very good neighbourhood. Sifa za kiwanja. Marefu ni meta 35 Mapana ni meta 35. Unaweza ukakiita nuhu hela. Kiko Boko Basihaya, panafikika kirahisi kwa usafiri wa aina yoyote. Bei 50 mil only Mawasiliano:- 0717454455 0767454455
  10. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kila Ijumaa eneo la Chagga Street kuna ongezeko kubwa la ombaomba. Je, ni jukumu la nani kushughulikia changamoto hii ya kijamii?

    Wanafika kuazia saa 11 alfajiri kila Ijumaa kumsubiri tajiri wa Oilcom. Naye anawagawia Tsh 2,000/= kila mtu. Mtaa huu ni maarufu kwa vile una migahawa miwili maarufu Chef Pride na KT Shop. Tajiri wa Oilcom anafika mida ya saa 1 kupata breakfast yake Chef Pride Kuna ombaomba wa umri kuanzia...
  11. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kama eneo lako ni asili ya mchanga una faida nyingi sana kwenye ujenzi

    Kama eneo lako ni asili ya mchanga una faida nyingi sana kwenye ujenzi
  12. ommytk

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa makongo mwisho kuelekea kanisa katoliki karibu na josam apartment

    Wadau eneo linauzwa lipo makongo mwisho njia kwenda kanisa katoliki lina ukubwa sqm 2231 lina hati ya wizara.halina shida yoyote ni tambalale na bei ya kutupa linuzwa kwa ajili ya shida tu bei ni 300m Karibu
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali itafute njia sahihi ya Magari ya Mizigo yaliyopo eneo la DUCE

    Pale eneo la Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE) na karibu pia na ulipo Uwanja wa Benjamin Mkapa kuna magari makubwa yanaziba barabara na mbaya zaidi magari hayo yanageuzia kwenye geti la uwanja huo. Watu waonaotumia barabara ile kuelekea Mbagala na kwingineko wamekuwa na changamoto kubwa...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Familia ya Mzee aliyesaidiwa kupata Viwanja na Hayati Magufuli yadai imeporwa eneo hilo na Kamishna wa Ardhi Dar

    Flavian Methew Nyandikuu Mzee Flavian Methew Nyandikuu (85) Mkazi wa Mwenge Mlalakuwa, Mtaa wa Nyendikuu Jijini Dar es Salaam amelia na Ofisi ya Kamishina wa Ardhi Mkoa wa Dar kwa kushindwa kumilikisha ardhi yake kwa zaidi ya Miaka 40 sasa ambapo kila akienda katika ofisi hizo kudai haki yake...
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Eneo la Wazi lililopo Shehia ya Mombasa, Magharib B linajengwa kimyakimya, Viongozi mpo kimya

    Mimi ni Mkazi wa eneo la Mchina Mwanzo katika Shehia ya Mombasa, Wilaya ya Magharib B, hapa karibu na kwetu kuna eneo la wazi ambalo limekuwa hivyo wazi kwa Miaka mingi, lakini hivi karibuni kuna ujenzi ambao unaonekana unataka kuanza na kwa tafsiri ya harakahara ni kama ‘ujenzi wa kimyakimya’...
  16. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo Linauzwa Goba Half London

    Habari wakuu. Eneo Linauzwa Goba Half London. Umbali Hadi barabara kuu ya Lami ni Mita 600 Sqm 3000 Hati Safi (Title Deed) Bei milion 300 Piga simu 0754693556
  17. stabilityman

    JamiiForums Tanzania faida za kumtumia fundi kukujengea nyumba ambaye ni mkazi wa mbali na eneo lako hasa mkoani

    Ingawa wengi hupendelea mafundi wa karibu, kutumia fundi kutoka mbali kunaweza kuwa na faida maalum kulingana na mahitaji na mazingira ya mradi wako. Hapa kuna baadhi ya faida zake: 1. Utaalamu wa kipekee – Fundi kutoka mbali anaweza kuwa na maarifa au uzoefu wa kipekee ambao haumpati fundi wa...
  18. stabilityman

    JamiiForums Tanzania faida za kumtumia fundi kukujengea nyumba ambaye ni mkazi wa jilani na eneo lako

    Habari naitwa Eng James ni mtaalamu wa ujenzi wa nyumba za kisasa ,Ramani za nyumba ,BOQ N.K Wewe endelea kufatilia maandiko yangu utajifunza mengi kuhusu ujenzi na kupata ubora mkubwa sambamba na kupunguza ghalama. Njoo tukujengee tukukabidhi funguo 0743257669 ofisi tupo ukonga dsm Kumtumia...
  19. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Eneo la Viwanda linauzwa

    Plot No. 729 & 730, Block 'A' – CBD Plot 729: 8,912 sqm Plot 730: 7,056 sqm Jumla: 15,968 sqm Eneo lipo ndani ya zone ya viwanda – Kibaha Bei: TZS 1.2 Billion (maongezi yapo) Call/WhatsApp: +255 758 844 717
  20. radhiya

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Eneo la kununua Masaki au Oysterbay

    Tangazo kwa Wamiliki wa Mali/Viwanja! Kwa niaba ya mteja wetu, tunatafuta Eneo la kununua Masaki au Oysterbay, Dar es Salaam. Ukubwa wa Eneo unapaswa kuwa 800sqm-1500sqm. Kiwango cha juu cha bajeti ya mteja Dola 800,000. Kumbuka: Kiwanja kinapaswa kuwa na hati ya umiliki Safi. Toa maelezo...
Back
Top Bottom