eneo

  1. radhiya

    JamiiForums Tanzania Eneo Lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa Kinondoni Msisiri

    Eneo lenye Nyumba ya Kuvunja Linauzwa. Mahali: Kinondoni Msisiri, Mtaa wa Ndotonadai. Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Kawawa. Eneo liko karibu na Mahakama ya Kinondoni na kanisa la kkkt Kinondoni. Eneo liko karibu na Shule ya Sekondari ya Kambangwa. Ukubwa wa Eneo: SQM 326. Bei: Tzs...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Eneo la Stand ya mabasi la Magufuli pakijaa, watahamishia wapi tena? Kibaha?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Zamani stand ilikuwa kisutu. Palipokuwa mjini sana wakapeleka Ubungo kijijini. Ubungo palivyochangamka, wakapeleka Mbezi kwa Magufuli. Mbezi kwa Magufuli kukichangamka kama Kisutu na Ubungo, watahamishia wapi?? Mile Moja Kibaha?? Na hapo pakichangamka na kuwa mjini...
  3. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship linakwenda kupata uamsho wa kipekee sana na litakuwa ni eneo la makimbilio

    Huu siyo unabii ila ni uhalisia, ni jambo ambalo limeshafanyika katika mawanda ya kiroho. Mtumishi wa Mungu Askofu Zachary Kakobe atakuwa na nafasi ya kipekee sana katika uamsho huu. Sina shaka kwa sababu nina uhakika pasi na shaka kuwa na nilichokiona. Kazi ni kwetu tunaosubiria uhalisia...
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: Utambuzi unaendelea, inasemekana ndiye anayetesa vijana wanaotekwa eneo maarufu kama Garage hapo Oysterbay

  5. T

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Chake Chake avamia danguro ambalo lipo eneo la Chanjamjawiri, atoa onyo kali kwa wanaofanya biashara ya ngono wilayani humo

    Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo, Zuhura Mgeni Othman, amefanya uvamizi katika nyumba inayodaiwa kutumika kama danguro katika eneo la Chanjamjawiri, Kisiwani Pemba. Katika tukio hilo, DC Zuhura amebaini kuwepo kwa kondomu...
  6. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania *ENEO HOT CAKE SANA LINAUZWA* *LIPO DSM VICTORIA* *UKUBWA WA ENEO NI EKA 1 AU SQFT 48,500* NI PLOT YA 3 KUTOKA BAGAMOYO RD *FULL DOCUMENTS*

    ENEO HOT CAKE SANA LINAUZWA LIPO DSM VICTORIA UKUBWA WA ENEO NI EKA 1 AU SQFT 48,500 NI PLOT YA 3 KUTOKA BAGAMOYO RD FULL DOCUMENTS BEI NI USD $6m 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #beachplotsforsale #tanzaniantiktok🇹🇿 #houseforsale #creatorsearchinsights #viral_video_tiktok_treding
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Itolewe Amri, uchafu kukutwa kwenye eneo lako, faini elfu 50

    ITOLEWE AMRI, UCHAFU KUKUTWA KWENYE ENEO LAKO, FAINI ELFU 50. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii nchi unaweza ukadhani haina viongozi. Unaweza ukadhani haina Wasomi. Unaweza ukadhani haina Watu wazima. Unaweza ukadhani haina wanawake wanaosifika kwa usafi. Kuna mambo ukiyafikiria yanaweza...
  8. greater than

    JamiiForums Tanzania Eneo la shule kuwekwa maduka

    Mimi ni Mkazi wa Pugu,Ninapokuwa njiani kuelekea kazini/Mjini nilikuwa nikishuhudia kuvunjwa kwa sehemu ya uzio wa shule na ujenzi wa frame za maduka.... Hiyo shule ni ya elimu ya Msingi Pugu Kajiungeni. 1. Je,hili suala ni linaruhusiwa... 2. Kama ni sawa ,mfumo wa uksanyaji pango na faida yake...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kukosekana maji Kazamoyo, Kirumba na Ilemela, MWAUWASA yasema "Pole Mdau kwa changamoto iliyojitokeza eneo lako"

    Julai 8, 2026 Mdau aliandika kuhusu changamoto ya maji kukosekana Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, kusoma andiko lake bofya hapa ~ Kero ya upatikanaji wa maji Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, ufafanuzi umetolewa na MWAUWASA. Majibu ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Eneo la Kishiri limeendelea kupata huduma kila wiki kadri migao ya maji inavyotekelezwa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyoandikwa ~ Mwezi wa 4 hatuna maji Kishiri - Mwanza, tunanunua dumu Sh 1,000, tunapewa sababu zisizoeleweka. MAJIBU YA MWAUWASA... Habari Mdau wetu, pole kwa changamoto uliyoipata, tafadhali tujuze ni...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Trump anatishia nyau kutangaza eneo la Hormuz kuwa 'eneo la Marekani'

    Aisee Hili zee pumbavu limeshachanganyikiwa Kilichobaki ni kubwabwaja na kulialia kama toto dogo Donald Trump ametishia kutangaza mlangobahari wa Hormuz kama "eneo la Marekani" huku utawala wake ukipambana kumaliza vita na Iran. Wakati wa hotuba katika chuo cha polisi huko Long Island, New...
  12. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Video: Cocobeach ajali ya pili gari inawaka moto hakuna point za fire eneo lote Coco

    JF Video ya sekunde 16 inagoma ku upload hebu na nyie wekeni miundo mbinu yenu vizuri….yaani Video sekunde 16 inagoma ? Wakuu mko serious ?
  13. Think2

    JamiiForums Tanzania Waogelea Kilomita 2–5 Kutoka Morocco Kuingia Ceuta, Eneo la Hispania

    Waafrika tutabaki kuwa waafrika tu raia wa morocco wanaikimbia nchi yao kisa hali ngumu ya maisha walilazimika kuogelea kilometa 2 hadi 5 kutoka pwani ya morocco kuingia ceuta eneo ambalo lipo afrika ila linamilikiwa na Hispania. Morocco inahadaa watu kuwekeza kwenye mpira lakini hali ya...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimemuambia Mzazi;kama anabaraka, anitamkie baraka eneo lolote alafu mimi nitafanya makusudi kuzembea eneo hilo ili nione kama nitabarikiwa. Anacheka.

    NIMEMUAMBIA MZAZI WANGU;KAMA ANABARAKA ANITAMKIE BARAKA ENEO LOLOTE ALAFU MIMI NITAFANYA MAKUSUDI KUZEMBEA ENEO HILO ILI NIONE KAMA NITABARIKIWA. ANACHEKA.. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Tangu nikiwa mtoto mdogo nilijulikana kwa kupenda kutodanganywa. Mtu akinidanganya hasa nikiwa najua...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Eneo la Michenzani, Jumba Namba 2 kuna uchafu ambao unaharibu taswira ya mji - Zanzibar

    Mimi ni mkazi wa Zanzibar na napenda kuwasilisha kero kuhusu hali ya usafi katika eneo la Michenzani, Jumba Namba 2. Eneo hilo limekuwa na mazingira ya uchafu ambayo hayalingani na hadhi ya eneo la mjini na lenye shughuli nyingi. Hali hii si nzuri kwa afya ya wananchi na pia inaharibu mwonekano...
  16. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Dodoma mjini Mtaa wa Chinyoya karibu na Mtaa wa Uzunguni, kina sqm 800 na kina Hati, Maji na umeme vipo vyote

    Habarini wakuu, kiwanja kinauzwa Dodoma Mjini mtaa wa Chinyoya uliopo karibu na Uzunguni kina ukubwa wa Sqm 800 pia kina Hati, Huduma za maji na umeme zipo zote kwenye kiwanja kwahiyo ukinunua huna haja ya kuvuta umeme wala kuunganisha maji..... Bei yake ni 60M kama ukihitaji nicheki Dm tuongee.
  17. Pedeshee212

    JamiiForums Tanzania Panda maua na ukoka eneo liwe kijani

    Mazingira yako yanaboresha na bustani nzuri zilizopangiliwa vzr. Wasiliana NAMI kupitia Namba: 0714693107
  18. Red black

    JamiiForums Tanzania Wakuu huyo mwanamke ulienaye minya kidogo eneo la transaction kwa wiki mbili akiendelea kubaki njoo nikupe 2ml

    Anahama kama fisi waliomaliza kula mzogo somewhere kwenye hifadhi. Pesa, kibunda, dollar,fedha,noti...hii kitu inaamua mambo mengi sana.
  19. jooohs

    JamiiForums Tanzania Kati ya igunga au Tanga ni eneo gani linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi muda mrefu

    Kati ya Igunga na Tanga, ni eneo lipi linafaa zaidi kwa mfanyakazi kuishi kwa muda mrefu? Tafadhali linganisha maeneo haya ukizingatia vigezo vifuatavyo: Maisha nje ya kazi (quality of life). Fursa za shughuli za kiuchumi na biashara. Utulivu na usalama wa mazingira. Upatikanaji wa huduma za...
  20. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Sikugonga Kitu Chochote, Lakini Nilipata Ajali: Simulizi ya Tukio la Kushangaza Lililonibadilishia Eneo la Kazi

    AJALI NILIYOIPATA NJIANI: SOMO KWA MADEREVA WOTE Utangulizi Tarehe 15/06/2026 ni siku ambayo sitaisahau kwa urahisi katika maisha yangu. Nilipata ajali ya pikipiki katika eneo la Butinzya nikiwa safarini kuelekea Ushirombo kutoka Katoro. Kilichonishangaza zaidi siyo ajali yenyewe, bali mazingira...
Back
Top Bottom