Eneo linauzwa 35*35 (1225m²) Boko Basihaya

Eneo linauzwa 35*35 (1225m²) Boko Basihaya

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,144
Reaction score
166,082
Kiwanja kizuri Sana kiko kwenye makazi yaliyopangwa yakapangika, very good neighbourhood.

Sifa za kiwanja.
Marefu ni meta 35
Mapana ni meta 35.
Unaweza ukakiita nuhu hela.

Kiko Boko Basihaya, panafikika kirahisi kwa usafiri wa aina yoyote.
Bei 50 mil only
Mawasiliano:-
0717454455
0767454455
 
Mh!! Ni upande upi ukitokea mwenge?
Je kiko na HATI ya WIZARANI TAYRI?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom