Ilivyokuwa
Bajaji ziligongana zenyewe mbili hapo juwata njia ikawa blocked. Watu waliovaa kiraia wakashuka kwenye land cruiser nyeupe tinted wakawa wanawafokea wale bajaji. Mmoja wa wale bajaji akawa anajitetea hawezi kutoa bajaji kutokana na Hali iliyokuwepo mpaka watu wasogee.
Reaction ya...
Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu...
TAARIFA KWA UMMA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinalaani vikali kitendo cha Jeshi la Polisi kumshemlulia na kumdhalilisha Wakili Deogratius Mahinyila mmoja wa mawakili wa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Tundu Lissu, baadhi ya viongozi na wanachama wengine.
Leo Jumatatu, Agosti 15...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamikia eneo la Mtemi Beda, Wilaya ya Mpanda akieleza limekuwa kero kero ya muda mrefu kutokana na changamoto ya ubovu wa Barabara ya Mtaa wa Misukumilo kwenda Kitongoji cha Milala Shongo Kijiji cha Milala, ufafanuzi umetolewa sababu ya kukwama kwa mradi huo...
Karibuni wakuu kwa mawazo yenu
Msingi ni wa mawe.
Ukuta ni 6ft
Hapo ni bila kuchapia cement baada ya ujenzi (cement skimming)
Hio 1.5m ya msingi ni kuchimba msingi na labour charges zake
DeepPond RRONDO na wengine karibuni
Huo ndio ukweli na yeyeote aliekuwepo atakuwa ushahidi wa hiki nachokisema.
Daladala zinazofanya safari zake hapa mjini, tangu asubuhi ya jana zilionekana zikiwa zinasafirisha watu waliovaa sare za CCM na jioni baada ya mkutano kwisha, eneo la mkutano liligeuka stand ya Daladala na ya mabasi...
Wakuu, kwamba naomba msinichoke hapa kuna kitu kinaniumiza kichwa sana sielewi. Hapa majuzi katika pitapita zangu za hapa na pale humu nyumbani ndani nimepishana na nyoka ana kichwa kidogo sana ila katikati ni mnene balaa na ana mkia mdogo. Kwanza najua wapo wadau watasema leta picha, sikia...
Watajwa hapo juu nikero eneo la Kigamboni hasa mida ya asubuhi na jioni, wanapaki Malori yao barabarani na kua kero kwa watumiaji wengine wa barabara. Licha ya mkuu wa mkoa kulizungumzia mwezi uliopita lakini bado hali haijabadilika.
Tunafahamu wapo waliochangia chama, lakini tunaomba mamlaka...
Habari za Jioni Wadau,
Niende kwenye Mada.
Binafsi leo naandika thread hii nikiwa na huzuni sana tena sana. Najiuliza maswali mengi kwa hali ilivyo hapa Nchini. Rais alipopata nafasi ya kuongoza nilipata amani na matarajio kuwa ni wakati wa Watanzania kuishi kwa furaha kwenye nchi yao.
Hii...
Eneo Ni heka moja.. nyuma ya kiwanda cha Lake steel misugusugu kibaha. Lina hati Kwa majina yangu.. bei Ni tsh million Tano maongezi yapo.
0759960687.. karibuni
Kiwanda Kinauzwa
Kiwanda kinauzwa kikiwa Kizota, Dodoma. Ukubwa wa kiwanja ni 3,770 sqm, eneo lipo sehemu nzuri na linatoa fursa mbalimbali za uwekezaji.
Bei ni bilioni 2, na maongezi yapo kulingana na makubaliano.
Kwa maelezo zaidi, tafadhali angalia picha zitakazofuata au tuma ujumbe mfupi...
kwamba atajaribu kurejesha baadhi ya maeneo ya Ukraine wakati wa mkutano wake na Rais wa Urusi Vladimir Putin Ijumaa ijayo.
"Urusi imechukua sehemu kubwa ya Ukraine. Wamechukua eneo muhimu. Tutajaribu kurudisha baadhi ya eneo hilo kwa Ukraine," alisema katika mkutano na waandishi wa habari...
#shambalinauzwa
Shamba la Ekari 4,670 linauzwa Pangani, Tanga
Distance Kutoka Kivukoni cha Pangani (ferry) hadi shamba ni km 14
-Shamba lilikuwa linalimwa Mkonge
-Plot size Ekari 4,670
-Document: Title Deed
Bei shilingi milioni 1 kwa kila ekari moja
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Habari za muda huu ndugu zanguni, niende moja kwa moja kwenye mada husika;
Naomba msaada au ushauri wa haraka kuhusu mahali pa kupanga chumba au vyumba kwa maeneo ya karibu na kambi ya Jeshi ya Mgulani au Uwanja wa Taifa. Nimepangiwa kufanya kazi eneo la karibu na hayo niliyoyataja, na...
Waziri wa Usalama wa Israel, Itamar Ben-Gvir ametembelea eneo la Msikiti wa al-Aqsa mjini Jerusalem na kusali huko, na kukiuka mpango wa miongo kadhaa unaohusu mojawapo ya maeneo nyeti zaidi katika Mashariki ya Kati.
Picha na video za ziara yake zinaonyesha Ben-Gvir akiongoza maombi ya Kiyahudi...
Wanandoa nchini Filipino wamewashangaza watu wengi ulimwenguni baada ya kuendesha shughuli za harusi yao katika kanisa ambalo limejaa maji kutokana na dhoruba na mafuriko.
Bwana Newlyweds Jade Rick na Jamaica kiss - wanaeleza Maamuzi hayo kwao ni kama kujitoa sadaka katika jambo Lao, lakini...
Tangazo kwa Wamiliki wa Mali/Viwanja!
Kwa niaba ya mteja wetu, tunatafuta Kiwanja cha JV kilichopo Masaki au Oysterbay, Dar es Salaam.
Mahitaji ya mteja:
-Ukubwa wa kiwanja uwe 2000sqm-4000sqm.
-Masharti 30%/70%.
-Mmiliki anapaswa kuwa tayari kwa maendeleo ya Villa(Villa development).
-Plot...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.