eneo

  1. radhiya

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Eneo kwa ajili ya biashara

    Tangazo kwa Wamiliki wa Mali! Kwa niaba ya mteja wetu, tunatafuta sehemu kwa ajili ya kukodi kuweka biashara ya chakula cha haraka(fast food). Maeneo yawe: Oysterbay(Haile Selassie), Masaki(Chole road). Ukubwa: Kuanzia sqm 200. Bajeti ya mteja: Itategemea na eneo litakalopatikana. Ikiwa una...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo linauzwa Goba Maghorofani

    Eneo la ekari moja linauzwa Goba Maghorofani. Bei: Tsh. 160,000 per sqrmt. Mawasiliano: Wasiliana na mwenyewe moja kwa moja bila dalali 0788 284 554
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali isafishe eneo la Kata ya Nala - Dodoma litafaa kwa kuegesha magari

    Serikali isafishe eneo la Kata ya Nala iruhusu watu wafuate utaratibu mzuri na mpango mzuri zaidi wa watu 2000 wanaweza kupata kujiajiri, itapata mapato kwa maegesho kwa kila gari linaloingia, itapata kodi ya kila gari linalo lala ikijenga na vyoo na mabafu pia itapata hela. Dodoma Nala hamna...
  4. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzingatia unapojenga nyumba ya makazi kwenye eneo lenye udongo wa mfinyanzi

    vitu vya kuzingatia unapojenga nyumba ya makazi kwenye eneo lenye udongo wa mfinyanzi Udongo wa mfinyanzi (clay soil) ni mgumu kujengea kwa sababu huvimba ukiwa na maji na kusinyauka ukikauka. Hii husababisha nyufa kwenye kuta na msingi. Haya mambo 8 muhimu ya kuzingatia ukijenga kwenye udongo...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nyumba 2,450 zilibomolewa Mitamba-Kibaha, CAG kaibua upigaji wa Halmashauri eneo hilohilo, je, hatukutendewa haki?

    Mimi ni Mwananchi kutokea Pwani, Wilaya Kibaha kero yangu ni kuwa ninachukizwa na ukiukwaji na ukatili tuliofanyiwa na Serikali kuvunja nyumba takribani 2,450 wakidai ni wavamizi waliovamia pori maeneo Mitamba Kata ya Pangani kisha wakapima maeneo na kuuzia watu wengine. Juzi tunasikia Ripori...
  6. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Biashara yako kwenye eneo lenye wateja wengi! Kariakoo!

    Je, unatafuta sehemu sahihi ya kukuza biashara yako? Hii ndio nafasi ambayo umekuwa ukiisubiri. 🏢 Jengo jipya kabisa, lenye muonekano wa kisasa na mazingira yenye mzunguko mkubwa wa wateja (high foot traffic). Biashara yako itapata mwonekano na uhai unaostahili. 🔹Maduka yanapatikana kuanzia: •...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matosa - Goba (Dar) eneo la Shule ya Msingi More Light hakuna maji mwezi mmoja sasa

    Wakazi wa Matosa - Goba DSM, hususan eneo la Shule ya Msingi More Light, tumekumbwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa. Kila tunapouliza, tunaelezwa kuwa bomba linaloleta maji kutoka Uzalamoni limeharibika, hata hivyo, inashangaza kuona kuwa bomba hilohilo...
  8. Sonship

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo la shule linauzwa Goba

    Eneo hili la shule linauzwa Ukubwa wa eka moja na robo Lipo Goba kwa Ndambi Eneo ambalo mteja anaweza kujenga hata apartments kwa Goba zinalipa sana. Hapo ni Goba jirani sana na Mbezi Beach Masana Bei ya kutupa Tsh 650m/- mazungumzo yapo *Lina hati halali Anauza kwa hasara sana ili...
  9. radhiya

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa bahari beach

    Eneo lenye Nyumba Iinauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Eneo/Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF boresheni eneo lenu la Kiluvya, lina vichaka, linatumika kama njia kwa Wanafunzi

    Kuna eneo ambalo ni kama pori linalomilikiwa na Mfuko wa NSSF lipo huku Kiluvya kutokea kwa Sumaye mpaka Shule ya Secondary Makurunge, Wanafunzi wanapita mpaka mida ya usiku wakitoka shule na sio salama kwao. Ukiangalia kwenye ramani kuna Barabara kubwa tu iliyo chini ya TANROADS na ni...
  11. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Iran yafanya shambulio Kubwa katika eneo la viwanda vya chuma na Chemicals huko Israel

    Katika Hali iliyotarajiwa ya kulipa kisasi baada ya marekani na Israel kushambulia viwanda vya chuma huko Iran. Muda mfupi uliopita Iran imefanya shambulizi na kulenga eneo la viwanda kusini mwa Israel ambapo uharibifu mkubwa na Moshi mzito umeonekana ukitanda katika anga kutokana na shambulizi...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANROADS imeridhia ujenzi huu eneo la barabarani karibu na Ofisi ya DC Ubungo?

    Kuna jambo linaendelea naona kuna dalili ya kitu fulani ambacho hakipo sawa, kuna ujenzi wa kituo cha mafuta (Sheli) umeanza Mitaa ya Luguruni. Wameanza kujaza kifusi katika sehemu ambayo nafikiri siyo sahihi kwa sababu, kwanza ipo kwenye roundabout ya kwenda kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uchafuzi wa mazingira kwa kuchimba moramu na kulipua mawe kutumia baruti eneo la Kijiji cha Nyangomango kitongoji Nyaruhama kata Usagara

    Eneo hili Kuna uharibifu mkubwa wa mazingira kwa uchimbaji molamu na kulipua mawe kwa kutumia baruti ambazo zinatoa mlipuko kama bomu.Wakazi wa maeneo haya mwaka jana 2025 walilalamika kwenye ofisibza NEMC mkoa wa Mwanza na wakazuia mhusika kuendelea kuchimba badala yake afukie hili shimo...
  14. petro matei

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Bagamoyo tumaini jipya kwa ukanda wote wa Pwani

    Kwa kweli kwa wasiojua kuwa bandari bagamoyo ambayo itajengwa sambamba na eneo maalumu la kiuchumi la viwanda (economic zone). Mradi huu utakuwa na manufaa makubwa sana kwa wakazi wote wa ukanda wa pwani yaani dar es salaam, pwani yenyewe na tanga na Tanzania kwa ujumla. Bandari hii inajengwa...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Msumi: DAWASA yakabidhi eneo la Ujenzi wa Tenki

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekabidhi rasmi eneo la ujenzi wa tenki la maji litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi lita 500,000 katika eneo la Mbezi Msumi kwa mkandarasi Jeccs Construction and Supply Limted. Hatua hiyo ni kuashiria kuanza rasmi kwa shughuli za...
  16. Bakulutu

    JamiiForums Tanzania Nawezaje pata/calculate square meter kwa eneo lenye pembe 4 lenye urefu tofauti?

    Mfano eno lina 15m, 18m, 21m na 10m tafadhali wataalamu nipeni squre meter..
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya Barabara eneo la Kibirizi, Manispaa ya Kigoma Ujiji iboreshwe, mashimo yanakera

    Hapa ni Kibirizi, jirani na Msikiti wa Mtendeni Manispaa ya Kigoma Ujiji, hii barabara ni kubwa, inaelekea katika Bandari ya Kibirizi na kuelekea Kigoma Mjini. Eneo hili limekuwa kero ya muda mrefu kwa madereva wanaotumia barabara hii. Licha ya uwepo wa kero hiyo ila bado wahusika wameendelea...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Askofu Mwamakula: Kuna Miili iliyoharibika zaidi ya 20, ilifukiwa eneo la MSAE, KIBAHA. Miili ilikuwa kwenye Viroba

    Hii Miili kwa Mujibu wa Mtoa taarifa, ilikua inatoa harufu Kali sanaaaa , maana yake Kama imefukiwa na Serikali, ni kwamba sehemu ilipokua miili hiii, Serikali haikua na uwezo wa kuihifadhi , Je Serikali inakoswa uwezo wa kuhifadhi miili ??? TAHARUKI YAZUKA BAADA YA MIILI MINGI ILIYOHARIBIKA...
  19. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania KERO Maajabu! Goba Mageti hadi mtaa wa Muhimbili, Dar es Salaam eneo hili halina mtandao

    Igweeeeeee Hii nchi ukiifikiria kiundani utaishia kulaani wazazi wako kukuzaa bongo Nimepata kwenda kumtembelea rafiki yangu ana site yake huko goba, mji umepangika vizuri na watu wanaishi maisha standard ikiwa na ujenzi wa kisasa kabisa Ajabu ya eneo hili goba mageti hususani upande huu wa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Manispaa ya Ubungo: Vyoo viwili eneo la Stendi ya Simu 2000 vimesitishwa kwa muda kutokana na changamoto ya kujaa maji mara kwa mara

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HUDUMA YA VYOO KATIKA STENDI YA MAWASILIANO (SIMU 2000) Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu taarifa zilizochapishwa na Jamii Forum tarehe 31 Jan 2026 zinazosema "KUSITISHA HUDUMA YA VYOO STENDI YA MAWASILIANO, KUNASABABISHA KERO KWA...
Back
Top Bottom