Fanya biashara ya kukodisha mbao za linta,
Majukwaa Kwa ajili ya kujengea,
Fox,
Mapipa ya kuwekea maji
Kodisha mpaka machepe, Suluku, majembe nk
Changamoto yake kubwa utakayoipata ni mafundi kukata mbao ndefu.
Kuitatua hiyo changamoto nenda saiti fundi apime vipande vyote anavyohitaji nenda...