elimu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kujiendeleza kwa walimu hukuleti tija ya kuinua ubora na kiwango cha elimu?

    1. Nianze hoja kwa kuomba wahusika na wadau wa idara, kurugenzi na wizara wafanye uchunguzi ili wajiridhishe na kuthibitisha uhalisia wa swali hili. 2. Lengo la serikali kuwapa watumishi wake fursa ya kujiendeleza kimasomo (mafunzo kazini) ni kuweza kuongeza ufanisi katika utendaji kazi kwa...
  2. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya Upili Tanzania

    ELIMU YA UPILI TANZANIA Elimu ni ujuzi na maarifa juu ya jambo fulani,inayomwezesha binadamu kupata uelewa juu ya dhana tofauti. Elimu ziko za aina mbalimbali,ila hugawanywa katika aina kuu mbili nazo ni, elimu rasmi na elimu isiyo rasmi. Elimu rasmi ni elimu inayowasilishwa katika taasisi...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Nini/kipi kifanyike ili tuwe na elimu bora Tanzania?

    Nikiwa kama mdau wa elimu, nafahamu kwamba kufundisha na ujifunzaji ni mchakato mgumu sana. Unahitaji utekelezaji na ufuatiliaji. Katika insha hii, lengo langu halisi ni kuangalia cha kupaswa kufanywa ili kupatikane ufundishaji na ujifunzaji bora, yaani kwa maneno mengine, tupate elimu bora...
  4. JamiiForums Tanzania Kati ya Nguvu za kiume, Six Packs, Hela, Elimu, kazi au Mali, unachagua kipi?

    Hili swali ni kwa ajili ya vijana waliomo Humu JF. Kati ya kuwa na Nguvu za Kiume, kuwa na mwili uliojengeka misuli (Six Packs), Kuwa na Hela, kuwa na Elimu, Kufanya kazi, au kumiliki mali, kipi unaona ni muhimu kwako? Kama ukiambiwa uvipange kwa kufuata mtiririko kipi kingekuwa Namba...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Samaki Mkunjeni, Ila Mwanangu Msimguse!

    (Mwanzo) Hadithi Fupi “Mamu, Mamu, we Mariamu si nakuita ina maana hunisikii?”, ilisikika sauti ya Mama Ibra kama ilivyo kila siku mida ya saa kumi na moja na nusu akiwa anamuamsha mwanaye. “Amka haraka jamani tutakosa wateja, na wateja ndio pesa. Au unafikiri hivi vitumbua vitajipeleka vyenyewe...
  6. H

    JamiiForums Tanzania SoC02 Haki, elimu

    Katika Kijiji cha ntakuja kulikuwa na familia ya mzee chales ambaye alikuwa na watoto wawili wakike na wakiume mzee chales alikuwa na fikra mbaya na tamaduni zakizamani kwamba mtoto wa kike hatakiwi kusoma Bali wakiume kila siku binti yake alivyokuwa akimuomba ampeleke shule halimwambia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Changamoto zinazowakabili wanafunzi wa maeneo ya vijijini katika kupata elimu bora

    CHANGAMOTO NA NJIA ZA KUPATA ELIMU BORA VIJIJINI Ikisiri. Lengo la makala haya ni kudhihirisha kwa uwazi changamoto mbalimbali ambazo hukabiliana nazo wanafunzi hususani wa maeneo ya vijijini katika kupata elimu iliyo bora. Wapo waandishi wengi tofautitofauti ambao wametoa machapisho mbalimbali...
  8. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu na Mazingira yetu

    ELIMU NA MAZINGIRA YETU. Habari hii itajikita katika Elimu tunayowapatia vijana wetu na namna isivyoakisi kwa asilimia miamoja mazingira yetu. Elimu, ni maarifa yatolewayo darasani au nje ya darasa, kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine au kundi la watu, pia kutoka kundi kwenda kwa mtu...
  9. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ule Ufunguo umekwishapotea!

    Elimu ni uwezo wa mtu kumudu mazingira yake, elimu isiyomsaidia mtu kufanya hivyo ni mufilisi, sawa na ngombe anayepeleka ulimi wake puani kisha kuurudisha tena kinywani. Shaban Robert aliandika hivyo katika kitabu chake cha kusadikika, huenda aliandika hivyo sababu aliona watu waliokuwa na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo la ajira nchini ni taarifa kwa mamlaka husika kupitia upya mitaala ya elimu inayotumika nchini

    Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua na uhakika wa nini atakula, nini atavaa na wapi atalala. Kabla ya kufikiria ubora wa mahitaji haya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukosefu wa ajira ni taarifa kwa mamlaka husika kupitia upya mitaala ya elimu inayotumika nchini

    Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua na uhakika wa nini atakula, nini atavaa na wapi atalala. Kabla ya kufikiria ubora wa mahitaji...
  12. T

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wahadhiri wa Elimu ya juu na Matumizi mabaya ya ratiba za masomo

    WAHADHIRI WA ELIMU YA JUU NA MATUMIZI MABAYA YA RATIBA ZA MASOMO. UTANGULIZI; Kwa kawaida, miaka ya masomo kwa elimu ya juu huwa ina mihula miwili yaani muhula wa kwanza na wa pili wa masomo. Wahadhiri wengi wamekuwa wakitumia vibaya muda uliowekwa wa masomo na hivyo kupelekea malimbikizi...
  13. JamiiForums Tanzania Kilimo na TEHAMA yewe masomo ya lazima shuleni

    Kwa kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu na kinachangia 80% ya pato la Taifa, ni vyema Serikali ikalifanya somo hilo kuwa la lazima ngazi zote za shule. Pia kwa upande wa TEHAMA tunaona jinsi ambavyo dunia inakimbia kwenda kwenye mapinduzi ya Kiteknolojia na ndio msingi wa maendeleo wa...
  14. JamiiForums Tanzania Shida ya Marefa wetu ni Umri, Elimu, Weledi au ushabiki??

    Ukiondoa kiwango cha juu cha ushabiki wa mpira tulichonacho kuliko uhalisia wa timu tunazozishabikia, uduni wa wachezaji wetu, lakini pia Ligi Kuu ya Mpira wa Miguu Tanzania inaharibiwa kwa asilimia sitini (60%) na uchezeshaji wa marefa wa mchezo huo. Ligi yetu inaharibiwa sana na marefa wetu...
  15. JamiiForums Tanzania Je, ni wakati sahihi kwa watoto wa kiume kupewa Elimu ya Jinsia?

    Kwa kawaida imezoeleka kwenye jamii nyingi za ki Afrika mtoto wa kike ndio mwenyE kupewa elimu jinsi ya kujitunza utasIkia mara ooh mtoto wa kike unatakiwa kua msafi, jichunge na mapenzi kabla ya ndoa. Lakini Watoto wa kiume wamekua wakisahaulika sana katika haya je, ni kweli watoto wa kiume...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu kipofu

    Na EVANCIAN. Kwa miaka mingi sasa, tumekuwa tukiendelea kushuhudia uporomokaji wa viwango vya Thamani ya Elimu yetu ya Tanzania katika nyanja zote za Uchumi, Siasa, Jamii na Utamaduni ndani na nje ya Nchi. Licha ya jambo hili kuwa hatari sana, Juhudi za kulitatua zimekuwa chache sana na...
  17. JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ni mwanga ila kwa upande huu ni giza

    UTANGULIZI Elimu ni nini ? Ni ujuzi wa utambuzi wa jambo na uwezo wa kuwa na maarifa juu ya jambo fulani na kuwa na mbinu stahiki ya kuhamisha maarifa hayo katika utendaji yakaleta matokeo chanya kwa jamii. Sera ya elimu ya mwaka 2014 inaeleza katika Dira yake ni pamoja na kuwa na Mtanzania...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Mufumo wa elimu ya Msingi na Secondary Tanzania

    Mufumo tulionao hauendani na maisha ya watanzania badara yakufanya marekebisho hapa munakimbilia lugha yakiswahili. Madaraka ya kuanzia la Kwanza mpaka kidato cha Sita si lazima! Tunakiwa kumuandaa kijana kuingia “work force “akiwa ameliza degree yakwanza na umri mdogo ili aweze kufanya kazi...
  19. JamiiForums Tanzania Elimu ya biashara kwa vijana wanaotaka kuanza

    Vijana tulio wengi mara nyingi tunakwama sana kwenye biashara kutokana na kupeana mawazo ya maandishi na siyo ya mazoezi unakuta vijana wengi tunakuwa na mitaji ambayo kweli tuki isimamia vyema ni rahisi kufanikiwa ila tunashindwa namna ya kufanya bishara kinachotufelisha mara nyingi ni...
  20. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya kujitambua kwa Binti wa Kitanzania

    ELIMU YA KUJITAMBUA KWA BINTI WA KITANZANIA. Pamoja na juhudi za serikali kuwekeza zaidi katika kumpatia mtoto wa kike elimu ya darasani (shuleni ) lakini bado tunaona kuwa namba ya mabinti walioishia njiani na kukatisha masomo yao kwa miaka kadhaa iliyopita imekuwa ikiongezeka siku baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…