WakatiTwende
New Member
- Sep 1, 2022
- 1
- 0
Mufumo tulionao hauendani na maisha ya watanzania badara yakufanya marekebisho hapa munakimbilia lugha yakiswahili.
Madaraka ya kuanzia la Kwanza mpaka kidato cha Sita si lazima! Tunakiwa kumuandaa kijana kuingia “work force “akiwa ameliza degree yakwanza na umri mdogo ili aweze kufanya kazi mda mrefu ambapo ataweza kuwa na mafao ya kutosha ifikapo umri wakustafu.
Lakini mufumo uliopo nikutoka enzi za ukoloni kipindi ambo “mtu mweusi mweulichuliwa kama myama pori.
Sasa tulisha jitambua, tuna wasomi kwanini tunaendeleza mifumo hiyo? Inchi lmbalimbali za Africa walisha tambua suala hili.
Kuna viashilia vingi sana vitofautasha msomi wa Tanzania na wasomi wa Inchi Ningana, mfano mtu amesomea udakitali hawezi simamia alichosomea bali anachanya siasa mfano ishu ya korona!
Turudi nyuma wasomi mutwambie mtoto anakuwa na kumbukumbu akiwa na umri gani?
Nilini anastahili kuwa darasa la Kwanza? Kidato cha tano na sita ni vya nini? Silabasi zinafundisha nini? Dunia inaenda wapi? NK. Yote hayo yakizingatiwa tutaona ni wapi tuelekee!