elimu

  1. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Namna ya kuboresha elimu Tanzania

    Kumekuwa na mikakati kabambe ya kuboresha elimu nchini Tanzania. Ata hivyo njia hizo bado zinazalisha wahitimu tegemezi kwa serekali katika masuala ya ajira. Hii imepelekea wahitimu wengi kukosa ajira na kuiona elimu kama haina maana. Serikali inaweza kufanya yafuatayo ili kuboresha elimu kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Awamu ya 6 Tuna Bunge la Ajabu linalodharau elimu na hadhi za Msoto na zenye thamani kwa Taifa hasa hadhi ya Maprofesa wa chuo cha SUA

    Shalom, Ifahamike kuwa ndani ya Bunge la Tanzania kuna wabunge wa Hovyo Sana ambao elimu za za darasa saba, na form 4 za hovyo tu. Hawa wabunge kinara wao ni yule Mbunge mpumbavu ambae amenunua hadhi ya kitaaluma ambayo hana akijiita Dr.Musukuma huyu kiumbe ni mpumbavu sana na katika mazingira...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ni elimu itolewe kwa jamii kuhusu malezi ya watoto hususani Vyuo Vikuu

    Jamii ya sasa imeachia mitandao ya kijamii kulea vijana ni wakati Sasa elimu itolewe juu ya mabadiliko haya ya sayansi na kukua kwa teknologia, vijana wengi wa vyuo vikuu wanatumia mitandao pasipo kujua ni faida zipi na hasara ndani yake. Ni muda Sasa elimu ielekezwe kwa vijana tukizingatia ya...
  4. JamiiForums Tanzania Tusipowakemea hawa wabunge wanaobeza elimu yetu na wasomi wetu, tutazalisha Taifa la hovyo kabisa

    Habari wanabodi... Nimekua mfatiliaji kidogo wa mijadala ya Bungeni hasa michango inayotolewa na wabunge mashuhuri wawili watatu hivi kuhusu Taifa na maendeleo yake Kiuchumi kisiasa na kiteknolojia. Lengo la kuandika huu uzi sio kuwataja hao wabunge au kuwadhalilisha bali ni kuwakosoa ili...
  5. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo inaletwa na uboreshaji wa elimu katika Sekta ya Miundombinu

    UTANGULIZI Miundombinu ni moja ya nyenzo kubwa inayo tumika kuleta maendeleo nchini kwasababu inachangia kwa kiwango kikubwa maendeleo ya sekta nyingine kama vile sekta ya elimu, afya, biashara na mawasiliano.Hivyo, ni muhimu kuboresha elimu katika sekta hii ili kupata Tanzania tuitakayo.Ziko...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo ni ile itakayokuwa na msingi ulio bora katika sekta mama ya elimu

    Kwa Tanzania ijayo Kuna marekebisho mengi ambayo yanaweza kufanyika katika sekta mama ya ya elimu hapa nchini Tanzania na ili kuboresha mfumo wa elimu na kuhakikisha kuwa wanafunzi wanapata elimu bora na ya hali ya juu kabisa, Baadhi ya maoni au mapendekezo au marekebisho hayo ni pamoja na...
  7. V

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maendeleo kwa Tanzania ya kesho kwa sekta ya Elimu na Afya

    Katika nyanja ya elimu, hadithi zina jukumu muhimu katika kuleta mabadiliko chanya na kuchagiza maendeleo ya nchi. kwa kuzingatia mbinu bunifu, desturi-jumuishi, na uwezeshaji katika sekta ya elimu, masimulizi haya yana uwezo wa kuhamasisha mabadiliko ya sera, kukusanya rasilimali, na kukuza...
  8. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Mfumo wa Elimu

    MWANZO Mfumo wa elimu uliopo hauandai mtoto wa kitanzania kwa ajili yakua hazina kwa taifa la kesho kutokana na mtaala uliopo. Mtaala huu hauna dira bora kwa ajili ya taifa tulitakalo kwasababu mtaala huu hauandai watu wenye ubora unaohitajika. MAPUNGUFU Elimu iliyopo ni ya nadharia kuliko...
  9. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ijikite kuibua vipaji na kukabiliana na mabadiliko ya teknolojia

    Kama ijulikanayo kuwa jamii isiyo na elimu bado iko gizani, tena giza haswa ikizingatiwa sasa dunia imeshapiga hatua kubwa kwenye matumizi ya teknolojia. Hivyo hata kila Taifa liko haile haile kuendana na kasi hiyo. Mosi, Tanzania inaweza kuungana na nchi nyingine katika hatua hiyo kwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kodi kwa wafanyabiashara: Kodi ya VAT sio yako

    Wafanyabiashara waelewe ukikusanya kodi ya mauzo ya VAT ya 18% ni juu yako kuweka tax kwenye bei zetu. Ile kodi ya 18% sio pesa yako umechukuwa na kuwashikia serikali. Sasa msije kufikiri ile pesa ni pesa yako ni pesa unatakiwa uweke kwenye bei.
  11. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu yetu yahitaji mabadiliko makubwa ili kuharakisha maendeleo ya nchi

    Elimu ndio silaha na nguzo kuu ya taifa lolote hapa duniani. Tanzania kama nchi inapaswa kulitazama suala la ubora na aina ya elimu wapewayo wananchi kama inakidhi mahitaji ya sasa ya nchi hasa ukizingatia dunia kuwa karibu zaidi katika nyanja mbalimbali mfano ajira, biashara na mawasiliano. Kwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu Elimu Ya Usimamizi Wa Biashara

    Jamii Forum : Biashara 📊 Fahamu Elimu ya Usimamizi wa Biashara Itakuwa ni course ya Mchongo darasa lake ni hapa hapa Jamii Forum..... Tutaiita MBA ya Mchongo. Masters of Business Administration ya Mchongo. Misingi 21 ya Biashara itakayofikisha biashara yako kwa wajukuu zako.... Wapo wengi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mfumo dume wa elimu yetu

    Kijana: "Nimechoka na huu mfumo dume unaopendelea mitihani kuliko stadi halisi za maisha. Hakuna uhusiano kati ya kufaulu mitihani na kuwa na mafanikio." Elimu: "Naelewa hisia zako, kijana. Lakini ni muhimu kutambua kuwa mfumo wa elimu haupaswi kupimwa tu kwa jinsi unavyopenda mitihani...
  14. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ya Teknolojia ya kisasa iwe kipaumbele mashuleni kuendana na utandawazi na maendeleo ya sayansi duniani

    UTANGULIZI Wizara ya elimu imezindua mtaala mpya wa elimu karibuni wenye maboresho mbalimbali ambayo binafsi naona bado hayakidhi matakwa ya kasi ya sasa ya ulimwengu kisayansi na kiteknolojia. Bado tumelenga kuzalisha kundi kubwa la wasomi wasio na uwezo wa kuendana na maendeleo ya sayansi na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ni Ukombozi

    Taifa lolote lile Ili liweze kuendelea halina budi kuimarisha sekta ya Elimu Kwani ndiyo ukombozi wa binadamu na uchumi kwa ujumla. Tunaposema kuimarisha sekta ya Elimu inatakiwa kupata na kuwaandaa walimu Bora vyuoni,mitaala inayoendana na wakati uliopo Karne ya 21. Tukianza na mitaala jinsi...
  16. U

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI, Wizara ya Elimu mko wapi kwa manyanyaso haya Uyui?

    Serikali iingilie manyanyaso haya Wilaya ya Uyui. 1. Wilaya ambayo watumishi wake hawajalipwa pesa zao za likizo. Ikumbukwe likizo hiyo watumishi hizo hiyo walioomba tangu mwezi wa 12. Imekuwa ni mizunguko mwanzo mwisho na mpaka sasa pesa hawajalipwa, imefikia hatua ya matisho kutoka kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Nina mashaka na elimu walizonazo Madaktari pamoja na Wataalamu wa lishe!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Nimekuwa nikiwasikia watu wanaojiita "Madaktari" pamoja na watu wanaojiita "Wataalamu wa lishe" wakizungumza au wakitoa ushauri wa namna ambavyo mtanzania anapaswa kula ili kuyakimbia magonjwa ya FIGO,INI pamoja na KANSA!. Wataalamu " Uchwara " hao...
  18. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kilimo cha mazao ya kimkakati kipewe kipaumbele kwenye mitaala ya elimu

    Tanzania ni miongoni mwa nchi chache duniani iliyojaliwa rasilimali nyingi ambazo ni fursa kwa Taifa na watu wake. Miongoni mwao ni uoto wa asili, milima, vyanzo vya maji sanjari na ardhi yenye rutuba mwanana kwa ajili ya kilimo cha mazao ya chakula na biashara. Japokuwa ni wazi kuwa bado...
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Sekta ya ulinzi na usalama Kwa upande wa Polisi wanapuuzia kigezo cha elimu wakati wa udahili

    Tanzania Tuitakayo inahitaji ulinzi imara ili kuimarisha usalama WA wananchi na mali zao. Kwa sasa kumekuwa na uhitaji wa mkubwa wa Polisi Jamii kwenye kata mbali nchini, Hali hii inatupa taswira sio tu ongezeko la watu lakini hata ongezeko la uharifu. Kwa kipindi Cha miongo kadhaa hapo nyuma...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nimekuja kujua kuna namna elimu ni chanzo cha umasikini

    Wadau mambo ni gani aseee? Nimehitimu chuo mwaka 2020, BSC education chemistry and biology from SUA. Historia ya safari yangu katika elimu from primary mpka chuo ipo hivi... Kwanza nianze kwa kusema kitu kimoja, usifikirie kwamba nimekuja kujigamba au kujionesha hapana nasema ukweli ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…